Mjadala huu ni darasa tosha kuhusu nchi yetu ilipo kiuraia (CIVIL)

Mitandao ya kijamii inajitahidi sana kuelimisha watu katika maisha ya watu.Tazama jamaa anavyo chambua mambo ya msingi kuusu serikali yake.Ila uta kutana na mtu mmoja ana shabikia maanda mano lakini hajiu chochote.
 
..Ni mjadala mzuri.

..Na wanaojadili ni wananchi wa kawaida.

..Maandamano yameleta hamasa ya wananchi kujadili kile wanachokidai Chadema.
 
Mitandao ya kijamii inajitahidi sana kuelimisha watu katika maisha ya watu.Tazama jamaa anavyo chambua mambo ya msingi kuusu serikali yake.Ila uta kutana na mtu mmoja ana shabikia maanda mano lakini hajiu chochote.
Tatizo mmoja hapo yupo off point na ni chawa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom