Benki ya DCB Kufilisiwa na CCM? Wanahisa kupata hofu, DSE hawajatoa tamko?

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Feb 20, 2016
14,047
20,411

b0GYDEaYBBkiTWRaYasx7fZjrsKuSQyFYuqmn2T6.jpeg

GBoMgsmWIAAH0Jx.jpeg

Benki ya DCB iliingia soko la hisa la Dar es salam na share zake zilianza kupanda lakini kwa Tangazo hili la Benki ni ukweli ulio wazi kutakuwa na mabadiliko makubwa sana kwenye hisa zake, wanahisa watakuwa na hofu na fedha zao na walizowekeza.

Wadau wanasema hii benki ni ngumu kuendelea kubaki kutokana na waliokopa kuwa ni makada wa chama na wadhamini wao pia ni wakubwa kwenye mfumo.

Washauri wakongwe wa uwekezaji huwa wanasisitiza watu kutowekeza kwenye tasisi zinazomilikiwa ama zenye undugu na Wanasiasa.

Kilio muda wowote kitatok kwa wanahisa wa DCB.

Benki yetu ya Dar es Salaam Community Bank ambayo ilikuja kugeuzwa kuwa benki ya biashara ya DCB.ilianzishwa na Rais Benjamin William Mkapa.

Kama benki ya wafanyabiashara wadogo wadogo wa Dar es salaam waliokuwa wanafanya biashara zao katika soko la karume,IlalaBenki ya biashara ya DCB ilianzishwa na halmashauri nne za Jiji la Dar es Salaam ambazo ni Ilala,Temeke, Kinondoni na halmsahauri ya Jiji la Dar es Salaam kwa kuchangia kianzio cha mtaji wa benki.

Mpaka sasa halmsahauri za Dar es Salaam zote tano ni sehemu ya wamiliki wa benki ya biashara ya DCB kwa kumiliki hisa zake ambazo wanapata gawio lao kutokana na faida inayopatikana kila mwaka ambapo sasa benki ya biasharaya DCB inamtaji wa billion 28.5.(as per June 30,2023).

Nimesikitishwa kuona leo katika gazeti la Mwananchi toleo la tarehe 18 December 2023,Watumishi na wafanya kazi wa CCM kupitia Jumuiya ya Vijana (UVCCM,jumuiya ya wazazi na Jumuiya ya wanawake wamekopa fedha katika benki yetu ya DCB kupitia mishahara yao katika benki ya umma na Wananchi wa Dar es salaam kisha kukimbia na fedha bila kuzirejesha kinyume na taratibu za kibenki.

Huu ni ukosefu wa maadili,wizi,utapeli na ujambazi,haukubaliki kwa namna yoyote ile katika Jamii iliyo staharabika.Imekuwa ni kawaida kwa wanachama wa CCM,Viongozi na watumishi wa CCM kujichotea pesa katika mashirika na taasisi za umma kinyume na utaratibu bila kujali madhara yake kwa wananchi.

Kama Watumishi wa CCM wamekopa bila shaka mdhamini wa watumishi "Guarantor" alikuwa ni Katibu mkuu wa CCM,ambaye ndiyo mwenye Jukumu la Kukata mishahara ya watumumishi wake na kupeleka benki.

CCM ituambie makato ya Watumishi wake kwanini yalikuwa hayapelekwi katuka benki ya biashara ya DCB kinyume na mkataba wa Ukopaji.Mpaka benki ya biashara ya DCB kufikia kutangaza hadharani kupitia gazeti la Mwananchi leo tarehe 18 December 2023 walichukua jitihada za kuwatafuta Viongozi wa CCM bila mafanikio au kwa kiburi Viongozi wa CCM waliamua kuwapuuza DCB.

Je, BOT hawakujua hizi habari za makada kujiczolea fedha kutoka DCB?
Je, BOT ina fahamu kwamba kila mwaka kabla ya Chaguzi kuu makada hukomba fedha kwenye mabenki na soko la hisa huyumba, Rest assured mwakani DSEitayumba, share zitashuka sana kwasababu za hawa watu ambao wanaogopwa na BOT!

Je CCM imeamua kuifilisi benki yetu ya biashara ya DCB...?
 
Kuna rafiki yangu ambaye alikuwa mwenyekiti wa wazazi wilaya, aliwahi kuzema kuwa kama mnaanzisha kampuni, tazama kama humo ndani ya orodha kuna wanahisa ambao ni makada wa CCM au viongozi wa Serikali. Ukiona tu wamo, kimbia haraka sana. Akacheka, akasema, "sisi tunafahamiana'
 
Sasa huo ndio UGAIDI zaidi ya HAMAS ...tena hayo Magaidi hayatumii mitutu ya bunduki..
 
Huu ni ukosefu wa maadili,wizi,utapeli na ujambazi,haukubaliki kwa namna yoyote ile katika Jamii iliyo staharabika.Imekuwa ni kawaida kwa wanachama wa CCM,Viongozi na watumishi wa CCM kujichotea pesa katika mashirika na taasisi za umma kinyume na utaratibu bila kujali madhara yake kwa wananchi.

Kama Watumishi wa CCM wamekopa bila shaka mdhamini wa watumishi "Guarantor" alikuwa ni Katibu mkuu wa CCM,ambaye ndiyo mwenye Jukumu la Kukata mishahara ya watumumishi wake na kupeleka benki.
Wanafichama kwenye mgongo wa kuimarisha chama

Soon wataisukumia huo mzigo bima ifidie hiyo hasara
 
Wajinga kweli hao. Unaikopesha CCM unategemea itakulipa?. Na wafilisike kabisa maana hawajitambui.
Take my words, kitakachofanyika kuelekea 24 na 25, watachota kule kwa Daudi Balali, halafu hizo jumuiya zitaandaa maandamano ya kumpongeza
 
Kitendo cha hii benki kuhusisha ccm au watu wa ccm ndani yake kifo kinakwenda kutokea! kama mnabisha chunguzeni sehemu zote ccm ilipohusishwa!
 
View attachment 2846762

View attachment 2846738
Benki ya DCB iliingia soko la hisa la Dar es salam na share zake zilianza kupanda lakini kwa Tangazo hili la Benki ni ukweli ulio wazi kutakuwa na mabadiliko makubwa sana kwenye hisa zake, wanahisa watakuwa na hofu na fedha zao na walizowekeza.

Wadau wanasema hii benki ni ngumu kuendelea kubaki kutokana na waliokopa kuwa ni makada wa chama na wadhamini wao pia ni wakubwa kwenye mfumo.

Washauri wakongwe wa uwekezaji huwa wanasisitiza watu kutowekeza kwenye tasisi zinazomilikiwa ama zenye undugu na Wanasiasa.

Kilio muda wowote kitatok kwa wanahisa wa DCB.

Benki yetu ya Dar es Salaam Community Bank ambayo ilikuja kugeuzwa kuwa benki ya biashara ya DCB.ilianzishwa na Rais Benjamin William Mkapa.

Kama benki ya wafanyabiashara wadogo wadogo wa Dar es salaam waliokuwa wanafanya biashara zao katika soko la karume,IlalaBenki ya biashara ya DCB ilianzishwa na halmashauri nne za Jiji la Dar es Salaam ambazo ni Ilala,Temeke, Kinondoni na halmsahauri ya Jiji la Dar es Salaam kwa kuchangia kianzio cha mtaji wa benki.

Mpaka sasa halmsahauri za Dar es Salaam zote tano ni sehemu ya wamiliki wa benki ya biashara ya DCB kwa kumiliki hisa zake ambazo wanapata gawio lao kutokana na faida inayopatikana kila mwaka ambapo sasa benki ya biasharaya DCB inamtaji wa billion 28.5.(as per June 30,2023).

Nimesikitishwa kuona leo katika gazeti la Mwananchi toleo la tarehe 18 December 2023,Watumishi na wafanya kazi wa CCM kupitia Jumuiya ya Vijana (UVCCM,jumuiya ya wazazi na Jumuiya ya wanawake wamekopa fedha katika benki yetu ya DCB kupitia mishahara yao katika benki ya umma na Wananchi wa Dar es salaam kisha kukimbia na fedha bila kuzirejesha kinyume na taratibu za kibenki.

Huu ni ukosefu wa maadili,wizi,utapeli na ujambazi,haukubaliki kwa namna yoyote ile katika Jamii iliyo staharabika.Imekuwa ni kawaida kwa wanachama wa CCM,Viongozi na watumishi wa CCM kujichotea pesa katika mashirika na taasisi za umma kinyume na utaratibu bila kujali madhara yake kwa wananchi.

Kama Watumishi wa CCM wamekopa bila shaka mdhamini wa watumishi "Guarantor" alikuwa ni Katibu mkuu wa CCM,ambaye ndiyo mwenye Jukumu la Kukata mishahara ya watumumishi wake na kupeleka benki.

CCM ituambie makato ya Watumishi wake kwanini yalikuwa hayapelekwi katuka benki ya biashara ya DCB kinyume na mkataba wa Ukopaji.Mpaka benki ya biashara ya DCB kufikia kutangaza hadharani kupitia gazeti la Mwananchi leo tarehe 18 December 2023 walichukua jitihada za kuwatafuta Viongozi wa CCM bila mafanikio au kwa kiburi Viongozi wa CCM waliamua kuwapuuza DCB.

Je, BOT hawakujua hizi habari za makada kujiczolea fedha kutoka DCB?
Je, BOT ina fahamu kwamba kila mwaka kabla ya Chaguzi kuu makada hukomba fedha kwenye mabenki na soko la hisa huyumba, Rest assured mwakani DSEitayumba, share zitashuka sana kwasababu za hawa watu ambao wanaogopwa na BOT!

Je CCM imeamua kuifilisi benki yetu ya biashara ya DCB...?
KILA CKU NASEMA CCM NI MAJAMBZI
 
DCB Bank ambayo kiuhalisia ni benki ya wananchi wa Dar huku ikimilikiwa na manispaa za Dar, UTT na wananchi wachache walionunua hisa huenda ikaangukia pua kama ilvyotokea kwa YETU MICROFINANCE BANK , yaani kufilisika na share zake kushuka hasa baada ya kugundulika wanasiasa ndipo wanapochota fedha na wanapo default hakuna wa kuwauliza.
 
Binafsi nitafurahi sana ikifirisika maana waendeshaji wake wamekuwa ni makada wa ccm.

Haiwezekani bank inayojiendesha kwa matarajio ya kufanikiwa kukuza mtaji na kulinda mtaji unatoa mikopo kwa uvccm tena kwa dhamana ya kadi ya ccm.
 
Back
Top Bottom