Wakati wengi wanazungumzia ufaulu wa hesabu, jambo la kushangaza ni kwamba, waliopata A kwenye somo la hisabati ni wengi zaidi kuliko waliopata A kwenye somo la Civics. Hapa nimetumia masomo saba...
Uganda imeanzisha mashauriano na Tanzania kuruhusu Kampuni ya Mafuta ya Kitaifa ya Uganda kuuza na kushughulikia uagizaji wa mafuta.
Hatua hii inafuatia kukataliwa kwa leseni ya Kampuni ya Mafuta...
Habari wakuu,
Naandika kidogo hapa maana mambo ni mengi,jana wakati naangalia taarifa ya habari nikaona habari kuwa kuna watu wametapeli wananchi zaidi ya milioni 900 kwa kuwauzia ardhi ambayo ni...
Ukifiatilia hotuba zote alizotoa Kilimanjaro na Arusha hakuwa na ajenda ya kueleweka zaidi ya kuzungumzia maandamano ya Chadema na kujikomba kwa Mbowe.
Mara akasema siasa inalipa, mara nitalala...
Kulingana na kanuni za Bunge chama kinaweza kuunda serikali kivuli endapo angalau kitakuwa na wabunge wasiopungua 21 na kiwe kimepata angalau (12%)? ya kura za urais (ready to be corrected).
Kwa...
15 December 2023
Mahakama Kuu ya Tanzania imeagiza kusitishwa kwa mkutano mkuu wa dharura wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika TLS uliopangwa kufanyika kesho jumamosi tarehe 16 December 2023...
MAKONDA: MBUNGE SAASHISHA MAFUWE NI HAZINA
"Na hapa mna bahati ya kuwa na Mbunge Kijana (Saasisha Mafuwe, Mbunge wa Jimbo la Hai) na Mimi nilimuona Bungeni hata kabla sijawa Kiongozi...
Tangu nimemfahamu Makonda kama mkuu wa wilaya na baadaye kuteuliwa kama mkuu wa mkoa wa Dar, nimekuwa nikiona namna anavyopambana kutatua kero za wananchi. Wakati mwingine kuziongelea tu hata kama...
Wasalaam Wakuu.............!!!
Moja kati ya mambo ambayo uwa naumia sana kuyaona kwenye hii nchi ni kuwaona watu wasio staili kukalia nafasi za wale wanao staili
Ukienda Bungeni kuna watu mpaka...
October 23 2016
Baraza la halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni, Dar es salaam lilitangaza ushindi wa nafasi ya umeya kwa Benjamin Sitta ambaye alipigiwa kura na baadhi ya wajumbe. Lakini moja ya...
Tanzania mwaka 2015 tulitangaziwa kama imempata RAIS wa WANYONGE Rais ambaye yupo karibu na Wananchi RAIS ambaye yupo kwa ajili ya Wanyonge Rais ambaye alitangaza atahakikisha Wanyonge wanaishi...
"Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) walitegemea tutawaletea Polisi na tutawapiga mabomu, nimwambie kaka yangu Freeman Mbowe awamu hii imebadilika, tutawapa kila kitu lakini kura...
Wanaukumbi.
Chadema wanapoelekea kwa sasa itakuwa kama UMD kinakufa taratibu, leo hii Chadema wanaandaa Maandamano wanakusanya Bodaboda na Bajaji zaidi ya 200 wajaze Maandamano wanamdanganya...
Kuna makosa tumefanya kama nchi, zamani ombi la uraia lazima ulipeleke kwenye kamati za ulinzi na usalama na ilikuwa vigumu sana kupata uraia.
Alipopewa wizara Laurence Masha akapokonya hayo...
Jana kulikua na maandamano ya chadema yalikuwa yanalenga kuaddress kero tofauti tofauti na ilikua ni hiyari na sio lazima.
Mimi binafsi sikuandamana sababu watanzania ni wanafki na kumpigania mtu...
Ushauri Kwa jeshi la polisi maandamano kama njia ndefu sana wawaambie waandaa maandamano kuwe na Ambulance ya wagonjwa nyuma kabla kuidhinisha
Mfano ni Jana maandamano ya Chadema Ile njia ya...
Yaani hii nchi sijui tunaelekea wapi, kipindi cha nyuma matokeo ya kidato Cha pili na nne, watu walikuwa wanayafanyia analysis. Na serikali ilikuwa inawajibika aswaa kuboresha Elimu.
Sasa hivi...
Salaam ndugu zangu,
Matokeo ya Kidato cha nne yametoka leo. Kama ilivyo kawaida kila mwaka, pia takwimu za masomo ya Mwaka huu zinaonesha ufaulu unaongezeka.
Kwa upande wangu nimetazama...
Umeingia ofisini saa 2 asubuhi, ukakuta hakuna umeme umekaa siku nzima ukisuniri umeme.
Unaamua kuondoka saa 11 jioni, ukijifariji kwamba utaukuta umeme nyumbani angalau ufanye kazi za wateja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.