GRAMAA
JF-Expert Member
- Nov 1, 2014
- 1,155
- 3,399
Kwa habari za kuaminika zinasema kwamba CCM imejipanga kufanya maandamano makubwa sana jijini Dar Es Salaam ili kuwafunika chadema.
Kiongozi mmoja wa chama hicho amesena kwamba wamejipanga kufanya maandamano hayo ya kumpongeza Rais Dr. Samia kwa kuruhusu demokrasia nchini.
Kiongozi huyo ameongeza kuwa kamwe hawawezi kushindwa na chama kidogo kama chadema hivyo wao CCM wanakuja na maandamano ya funga mwaka ili kuzima kelele zote za chadema.
Kila mkoa ambao chadema wanakwenda kufanya maandamano CCM wanakwenda kusafisha mazingira.
Maandamano hayo ya CCM jijini Dar yatahusisha wakazi wote wa Dar na viunga vyake vyote ili kuwafundisha chadema maana halisi ya maandamano.
Acha upepo upulize tuone nyeti za kuku.