Maandamano ya CHADEMA tija imepatikana?

Filosofia ya Rorya

JF-Expert Member
Sep 20, 2021
3,214
3,587
Madai yao yanatekelezeka?

Yatatekelezwa na nani?

Yatatekelezwa lini?

Yatatekelezwa wapi? Tz hii?

Yasipotekelezwa what is the next course of action?

Maandamano yalipeleka ujumbe kwa mhimili upi wa dola?

1. Utendaji?
2. Mahakama?
3. Bunge?
4. CCM?

NB
Kwa jinsi ya mfumo tunaoishi nao, namba 4 hapo juu nayo ni mhimili kamili.

Kwanini ni mhimili kamili?

1. Wapinzani waandamizi na wafawidhi waliotokea CCM kuunda upinzani wote wameendelea ku-retain kadi zao za uanachama wa mhimili namba 4. Mrema amekufa nayo, Kabourou amekufa nayo, Ndesa amekufa nayo, Kingunge amekufa nayo, Membe amekufa nayo, Maalim amekufa nayo, Wassira aliondoka nayo amerudi nayo, Lowassa aliondoka nayo amerudi nayo, Mgana Msindai aliondoka nayo amerudi nayo, Slaa aliondoka nayo akarudi nayo na ameondoka nayo tena na atarudi nayo tena nk nk. Tuwapo upinzani tunakaa kwa akili.

2. Kadi za mhimili namba 4 zina nguvu sawa na pasipoti na NIDA katika uhalisia wa mambo.

4. Kamati ya Maadili ya mhimili mamba 4 inaogopwa na ina nguvu kuzidi mhimili namba 2.
 
Ndio imepatikana serikali ya KIZIMKAZI imetaja Bei ya sukari mwanzo walikaa kimya. Na Leo Bodi ya mtihani kutoa matokeo.pia mkuu wa mkoa wa Dar afanya usafi ndani y ofisi zake tu.bila jeshi kufanya usafi.
 
Madai yao yanatekelezeka?

Yatatekelezwa na nani?

Yatatekelezwa lini?

Yatatekelezwa wapi? Tz hii?

Yasipotekelezwa what is the next course of action?

Maandamano yalipeleka ujumbe kwa mhimili upi wa dola?

1. Utendaji?
2. Mahakama?
3. Bunge?
4. CCM?

NB
Kwa jinsi ya mfumo tunaoishi nao, namba 4 hapo juu nayo ni mhimili kamili.

Kwanini ni mhimili kamili?

1. Wapinzani waandamizi na wafawidhi waliotokea CCM kuunda upinzani wote wameendelea ku-retain kadi zao za uanachama wa mhimili namba 4. Mrema amekufa nayo, Kabourou amekufa nayo, Ndesa amekufa nayo, Kingunge amekufa nayo, Membe amekufa nayo, Maalim amekufa nayo, Wassira aliondoka nayo amerudi nayo, Lowassa aliondoka nayo amerudi nayo, Mgana Msindai aliondoka nayo amerudi nayo, Slaa aliondoka nayo akarudi nayo na ameondoka nayo tena na atarudi nayo tena nk nk. Tuwapo upinzani tunakaa kwa akili.

2. Kadi za mhimili namba 4 zina nguvu sawa na pasipoti na NIDA katika uhalisia wa mambo.

4. Kamati ya Maadili ya mhimili mamba 4 inaogopwa na ina nguvu kuzidi mhimili namba 2.
Sisi watu ambao tunashi pwani tunajua jinsi mawimbi yanavyosogea nchi kavu wimbi la kwanza litaishia kule mbali wimbi la pili litasogea kiasi fulani wimbs tatu linazidi kusogea mpaka wimbi la mwisho linafika ufukweni kabisa kwahiyo hilo ni wimbi la kwanza wala tusishangae kuona halina impact sana ila ndivyo yanavyozidi kusogea ufukweni. CCM siyo kama haijui watanzania wanataka nini, ila wanachoringia ni Watanzania watawafanya nini. Wakiona kuwa kuna hatari yoyote ya mtu yoyote kuwaondosha madarakani wanamuondosha mtu huyo mapema kabisa.
 
Au walikuwa wanaandamana huku wamebeba magunia ya misumari.?
IMG-20240124-WA0198.jpg
 
Madai yao yanatekelezeka?

Yatatekelezwa na nani?

Yatatekelezwa lini?

Yatatekelezwa wapi? Tz hii?

Yasipotekelezwa what is the next course of action?

Maandamano yalipeleka ujumbe kwa mhimili upi wa dola?

1. Utendaji?
2. Mahakama?
3. Bunge?
4. CCM?

NB
Kwa jinsi ya mfumo tunaoishi nao, namba 4 hapo juu nayo ni mhimili kamili.

Kwanini ni mhimili kamili?

1. Wapinzani waandamizi na wafawidhi waliotokea CCM kuunda upinzani wote wameendelea ku-retain kadi zao za uanachama wa mhimili namba 4. Mrema amekufa nayo, Kabourou amekufa nayo, Ndesa amekufa nayo, Kingunge amekufa nayo, Membe amekufa nayo, Maalim amekufa nayo, Wassira aliondoka nayo amerudi nayo, Lowassa aliondoka nayo amerudi nayo, Mgana Msindai aliondoka nayo amerudi nayo, Slaa aliondoka nayo akarudi nayo na ameondoka nayo tena na atarudi nayo tena nk nk. Tuwapo upinzani tunakaa kwa akili.

2. Kadi za mhimili namba 4 zina nguvu sawa na pasipoti na NIDA katika uhalisia wa mambo.

4. Kamati ya Maadili ya mhimili mamba 4 inaogopwa na ina nguvu kuzidi mhimili namba 2.

View: https://twitter.com/Jambotv_/status/1750232019697598660?t=kD8AzhHpaGH2Lz614xzWUw&s=19
 
Hivi ukiandamana halafu ukapuuzwa unachukua hatua gani nyingine?
Je, maandamano ya madhara gani kwa walengwa.?

Nielimisheni wakuu.
 
Madai yao yanatekelezeka?

Yatatekelezwa na nani?

Yatatekelezwa lini?

Yatatekelezwa wapi? Tz hii?

Yasipotekelezwa what is the next course of action?

Maandamano yalipeleka ujumbe kwa mhimili upi wa dola?

1. Utendaji?
2. Mahakama?
3. Bunge?
4. CCM?

NB
Kwa jinsi ya mfumo tunaoishi nao, namba 4 hapo juu nayo ni mhimili kamili.

Kwanini ni mhimili kamili?

1. Wapinzani waandamizi na wafawidhi waliotokea CCM kuunda upinzani wote wameendelea ku-retain kadi zao za uanachama wa mhimili namba 4. Mrema amekufa nayo, Kabourou amekufa nayo, Ndesa amekufa nayo, Kingunge amekufa nayo, Membe amekufa nayo, Maalim amekufa nayo, Wassira aliondoka nayo amerudi nayo, Lowassa aliondoka nayo amerudi nayo, Mgana Msindai aliondoka nayo amerudi nayo, Slaa aliondoka nayo akarudi nayo na ameondoka nayo tena na atarudi nayo tena nk nk. Tuwapo upinzani tunakaa kwa akili.

2. Kadi za mhimili namba 4 zina nguvu sawa na pasipoti na NIDA katika uhalisia wa mambo.

4. Kamati ya Maadili ya mhimili mamba 4 inaogopwa na ina nguvu kuzidi mhimili namba 2.
Ile ni mbegu wamepanda tusubiri tuone
 
Serikali imetoa amri ya kushusha bei ya sukari baada ya maandamano
Mmeanza kuokoteza matokeo ya matembezi yenu ya hisani.
Bei elekezi ya sukari ilitokewa kabla ya hayo matembezi yenu. Sasa viongozi wenu wanawaona nyumbu wanaamua kuwaambia lolote tuu kwakuwa hamuelewi chochote kichwani mwenu.
 
Madai yao yanatekelezeka?

Yatatekelezwa na nani?

Yatatekelezwa lini?

Yatatekelezwa wapi? Tz hii?

Yasipotekelezwa what is the next course of action?

Maandamano yalipeleka ujumbe kwa mhimili upi wa dola?

1. Utendaji?
2. Mahakama?
3. Bunge?
4. CCM?

NB
Kwa jinsi ya mfumo tunaoishi nao, namba 4 hapo juu nayo ni mhimili kamili.

Kwanini ni mhimili kamili?

1. Wapinzani waandamizi na wafawidhi waliotokea CCM kuunda upinzani wote wameendelea ku-retain kadi zao za uanachama wa mhimili namba 4. Mrema amekufa nayo, Kabourou amekufa nayo, Ndesa amekufa nayo, Kingunge amekufa nayo, Membe amekufa nayo, Maalim amekufa nayo, Wassira aliondoka nayo amerudi nayo, Lowassa aliondoka nayo amerudi nayo, Mgana Msindai aliondoka nayo amerudi nayo, Slaa aliondoka nayo akarudi nayo na ameondoka nayo tena na atarudi nayo tena nk nk. Tuwapo upinzani tunakaa kwa akili.

2. Kadi za mhimili namba 4 zina nguvu sawa na pasipoti na NIDA katika uhalisia wa mambo.

4. Kamati ya Maadili ya mhimili mamba 4 inaogopwa na ina nguvu kuzidi mhimili namba 2.
Mhimili namba 4 ndiyo nini?
 
Kuna wanaobeza idadi ya washiriki, kwamba walikuwa wachache ati, mie nijuavyo hata mtu mmoja akiandama huwa ujumbe umefika!
 
Madai yao yanatekelezeka?

Yatatekelezwa na nani?

Yatatekelezwa lini?

Yatatekelezwa wapi? Tz hii?

Yasipotekelezwa what is the next course of action?

Maandamano yalipeleka ujumbe kwa mhimili upi wa dola?

1. Utendaji?
2. Mahakama?
3. Bunge?
4. CCM?

NB
Kwa jinsi ya mfumo tunaoishi nao, namba 4 hapo juu nayo ni mhimili kamili.

Kwanini ni mhimili kamili?

1. Wapinzani waandamizi na wafawidhi waliotokea CCM kuunda upinzani wote wameendelea ku-retain kadi zao za uanachama wa mhimili namba 4. Mrema amekufa nayo, Kabourou amekufa nayo, Ndesa amekufa nayo, Kingunge amekufa nayo, Membe amekufa nayo, Maalim amekufa nayo, Wassira aliondoka nayo amerudi nayo, Lowassa aliondoka nayo amerudi nayo, Mgana Msindai aliondoka nayo amerudi nayo, Slaa aliondoka nayo akarudi nayo na ameondoka nayo tena na atarudi nayo tena nk nk. Tuwapo upinzani tunakaa kwa akili.

2. Kadi za mhimili namba 4 zina nguvu sawa na pasipoti na NIDA katika uhalisia wa mambo.

4. Kamati ya Maadili ya mhimili mamba 4 inaogopwa na ina nguvu kuzidi mhimili namba 2.
Utakuwa mjinga sana kama hujaona umuhimu wa maandamano yake.

Tatizo ulilonalo ni uchawa na kushikiwa akili. Ni kwa kuwa umeweka akili yako tumboni critical thinking kamwe huwezi kuwa nayo!
 
Back
Top Bottom