Umeingia ofisini saa 2 asubuhi, ukakuta hakuna umeme umekaa siku nzima ukisuniri umeme.
Unaamua kuondoka saa 11 jioni, ukijifariji kwamba utaukuta umeme nyumbani angalau ufanye kazi za wateja...
TANGAZO KWA WAKUU WOTE WA SHULE MOSHI MANISPAA:
Wakuu wa Shule za msingi Moshi Manispaa, Mkoa wa Kilimanjaro ,tafadhali wasilisheni michango kwa ajili ya chakula cha walimu watakaohudhuria semina...
Bila katiba nzuri wafanyabiashara ambao mnakaa na kuona katiba haikuhusu unajidanganya kwa sababu hii hapa ya msingi.
1. Kwanza maandamano ya juzi sio kwamba serikali ilipenda bali umma umepata...
Mmiliki wa bendi ya mziki ya Twangapepta awagawa watanzania.
Asha Baraka ametoa maneno ya chuki na kibaguzi dhidi ya wana ccm na watanzania wengine wasio wana ccm.
Ebu msikilizeni ila...
Wafuasi wengi Bado hawajui wanahitaji nini , wenyew wanachojua CCM ni wezi , chama kimeanza kuongoza Toka enzi za babu yangu mpk leo, lkn Bado wamelala awafahamu majukumu Yao kama wanachama...
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete amesema mifumo mipya mitatu iliyobuniwa na kufungwa kwenye utumishi wa umma itasaidia kwa kiasi kikubwa sana kupima utendaji...
Hayo ndio maelezo Kwa mujibu wa sheria za uhamiaji za Tanzania.
So acheni kunyooshea Mawaziri na watu wengine wenye Asili ya Nchi jirani Vidole.
Ila ni bahati mbaya tumewahi kuwa na Rais...
Gwajima alimsalia sala maalum,Mkuu wa mkoa,Paul Makonda,.Ni dhahiri sala zake na Laana hizo zililenga,Makonda aharibikiwe,kwa kufukuzwa kazi na aliyemuajiri.Pongezi zimuendee mheshimiwa...
Akihojiwa na Waandishi wa Habari ili atoe maoni yake kuhusu anavyoiona awamu ya 6 , Mh Bernard Membe , amezungumza machache lakini kimsingi amesisitiza kwamba katika utawala huu hutosikia Mtu...
Raisi Samia natoa ushauri tu. Wengi wetu sio wanasiasa hapa tunapenda maendeleo ya nchi yetu tu.
Tunakuomba uweke maslahi ya nchi mbele kuliko maslahi ya vigogo wa CCM na wewe binafsi.
Katiba...
Kwa miaka yote Tulipokuwa tunaelimisha Jamii kuhusu Haki , Uhuru na Demokrasia tulionekana kama vichaa, Kujihusisha na siasa ilionekana kama kujitafutia kifo na ujinga , Mamluki wa Watawala...
Kuna watu wamezaliwa na roho mbaya, wana roho na wataendelea na roho mbaya. Kuna watu niwakatili na wataendelea kuwa wakatili.
Ukiona kiongozi anasimama adharani analalamika chama cha siasa...
Rais wa Ujerumani awaomba radhi Watanzania kuhusu uhalifu wa Wajerumani wakati wa Vita vya MajiMaji
Rais wa Ujerumani Frank-Walter Steinmeier siku ya Jumatano ameomba radhi na kueleza...
Watanzania sio watu wa kuwatetea na itachukua muda sana watu kama Mbowe kuja kugundua hili. Ni mara 100 kuwatetea wanyama, au hata Mbwa ila sio Watanzania, ni vigumu sana kutetea mtu asie jitetea...
Kwa habari za kuaminika zinasema kwamba CCM imejipanga kufanya maandamano makubwa sana jijini Dar Es Salaam ili kuwafunika chadema.
Kiongozi mmoja wa chama hicho amesena kwamba wamejipanga...
Hili ndio Tathimini yangu ya maaandamano ya Chadema
1.CHADEMA Kwa Dar es salaam Haina nguvu Tena hii ni kutokana na idadi ndogo.ya waandamanaji waliojitokeza . Bodaboda walikuwa wachache na...
Nimekuta sehemu mjadala ukizungumzia Makonda kuhamia Kwa wakwe zake nchi jirani nikataka kujua mke wake ni Raia WA nchi gani? Mwenye taarifa atusaidie may be amekimbia kumkwepa Lisu
Benki ya DCB iliingia soko la hisa la Dar es salam na share zake zilianza kupanda lakini kwa Tangazo hili la Benki ni ukweli ulio wazi kutakuwa na mabadiliko makubwa sana kwenye hisa zake...
Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe wakati akiwasilisha ujumbe wa maandamano ameonya kuwa serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Samia imekuwa ya anasa kupitiliza kwa maafisa wake kulipana...
Kumekuwa na upotoshwaji mkubwa kutoka kwa wale wanazoziendesha nchi zao kiimla na kujitetea kuwa demokrasia siyo sawa sawa na kinywaji cha coca-cola ambapo radha yake itakuwa moja Dunia nzima...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.