Watanzania sio watu wa kuwatetea, bora kutetea hata wanyama wa porini

BLACK MOVEMENT

JF-Expert Member
Mar 11, 2020
2,704
6,501
Watanzania sio watu wa kuwatetea na itachukua muda sana watu kama Mbowe kuja kugundua hili. Ni mara 100 kuwatetea wanyama, au hata Mbwa ila sio Watanzania, ni vigumu sana kutetea mtu asie jitetea na mnafiki na muoga.

Hivi watu kama Walimu unaanzia wapi kwa mfano kuwatetea?unaanzia wapi kuwapigania watu ambao unawaona fika hawajitambui?Hawajipiganii?

Watanzania ni watu wakuwaacha wanyoshwe na CCM, ni kupoteza nguvu kuwatetea watu wasio jitambua, watu waoga, watu mazezeta.

Kule Kenya Raila Odinga ana advantage ya kutetea watu wanao jitambua na wanao jitetea wenyewe,Wakenya wanajua kujitetea hata kabla hawajatetewa, Mfano Walimu wa Kenya kila mwaka wanalianzishaga kudai masilahi zaidi.

Sasa Walimu wa Tanzania wanataka labda Mbowe atoke Barabarani awasemee kwamba wanahitaji masilahi zaidi wao wakati huo wakiwa wamelala.

Wale Wamasai kule Ngorongoro nilishangaa sana kuona na kusikia kuna watu au vikundi vya watu vinawatetea, wale sio watu wa kutetea hakuna watu vigeu geu kama Wamasai wale hawana msimamo na ni raia ambao hawajitambui milele na hawaaminiki,na usirogwe ukafabya nao dili, itatibuka kabla jogoo halijawika, wale hata ukikuta wanapigwa risasi sio watu wa kuwatetea kabda kama huwajui. Wamasai wa Ngorongoro bora kutetea hata wale Tembo wanao uliwa na Majangiri.

Kwa kifupi wanao watetea Wabongo nawashangaa sana wanavyo poteza muda na hata pesa kutetea watu ambao kwanza hawawezi wao kama wao kujitetea na pia hawajitambui.

Tutumie muda na nguvu kutetwa hata wanyama ila sio Wabongo.
 
MUNGU automatic amewapa watu Fulani mioyo ya kuwatetea wengine mfano kama mbowe huyu Hadi anakufa ataendelea kufanya hivyo kwasababu ndiyo kazi MUNGU amempa
 
Upo sahihi boss wangu.juzi niliambiwa nusu ya sukari 2,200 nikamwambia mke wangu natamani sukari iuzwe 9,000 nusu kilo ili akili isogee kwenye fuvu la kibongo.
 
Hahahaa mbona una hasira hivyo
 
Back
Top Bottom