Alipokuwa katibu wa hadhina mapato yalisimamiwa vyema kwenda consolidated fund.
Wewe unaweza kazi kuliko Mwigulu Nchemba.
Gombea ubunge Chato ili 2025 upate uwaziri wa pesa.
Natambua kuna sheria ya Uraia inayoniruhusu mimi kama RAIA wa Tanzania kuukataa uraia wangu wa Tanzania na kuwa RAIA wa nchi nyingine niipendayo.
Natambua kwamba katiba ya JMT na sheria za Ardhi...
Haya maandamano yaliyofanyika, utulivu ulionekana na mashirikiano chanya yaliyowekwa na Jeshi la Polisi ni wazi kwa miaka mingi wanasiasa wa CCM wamekuwa wakitumia jeshi la Polisi vibaya kudhibiti...
Kipindi cha Rais samia cha sasa kuna mambo mengi yamekua hayaendi sawa Kupanda kwa vitu bei ila kwenye suala la kuruhusu maandamano ameonyesha busara na hekima ya hali ya juu sana kitu ambacho...
Habari JF , kwa kifupi kabisa kwa katiba tuliyo nayo ni katiba ambayo ina upendeleo mkubwa kwa watawala na kuwapa nguvu kubwa kutawala .
Kwa maana nyingine sio katiba ya kizalendo sababu haiwapi...
UKIMPATA KIONGOZI AMBAYE NI MWAMINIFU KATIKA MAJUKUMU YAKE MAENDELEO NI KAZI RAHISI SANA: MHE. NICODEMAS HENRY MAGANGA, MBUNGE WA JIMBO LA MBOGWE MKOANI GEITA
"Mwanzoni kulikuwa na watu siyo...
Rasmi sasa maandamano yetu ya amani ya kupinga mkataba wa bandari ni tarehe 9 Novemba 2023 kama tamko linavyojieleza. Watanzania anzeni kujiandaa na mvua za manyunyu kabla hatujaanza na mvua za mawe.
Habari.
Kwa mujibu wa Vatican news, Kanisa katoliki Tanzania kupitia TEC limesisitiza kuwa haliungi mkono mkataba wa kukodisha bandari uliofikiwa baina ya Tanzania na DPW.
Taarifa ya TEC imesema...
Hawa ni miongoni mwa vijana wachache sana ndani ya chama wanaojua WANACHOFANYA.Ninamwona mmoja kati yao akipeperusha bendera ya chama 2025 na muda utasema.Hutaki unaacha usilete kejeli,karibu!
Huwa nawaambia mara nyingi viongozi wa Afrika wengi hawana akili za kutatua matatizo. Toka mradi wa Mwendo kasi uwasaidie watu kupiga pesa sasa imekuwa kila barabara inalazimishwa mwendokasi...
Ukiachana na TISS au CID ambao ni polis bado kitengo cha usalama jeshini (MI) wanaweza kupenyeza nani akafanye kazi za kiraia hasa zile za ushauri wa mgambo kwenye halmshauri zote hapa nchini ni...
Listen please
Ujumbe: mnalikaribisha JESHI kuwa na hisia za kuutaka urais, kuitaka siasa, kuutaka UKUU/UTUKUFU and the like...ndio ujumbe mkuu wa ndiko/clip hiyo.
Utamaduni /tabia /matamanio...
Yapo mambo yaliyoibuliwa kwenye haya Maandamano tunayoendelea nayo yanasisimua sana .
Imeibuka Taarifa kwamba yuko Waziri mwenye ng'ombe wengi sana , ambaye anatumia V8 kuchungia mifugo hiyo ...
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amepiga marufuku maandamano ndani ya mkoa wa Dar es Salaam. Makonda amesema kuwa kufuatia kauli ya Rais,yeye anaitekeleza.
Makonda amesema kuwa kauli...
RC wa Manyara, Alexander Mnyeti amefuta kikundi cha watu wa Kilimanjaro waishio Manyara. Wiki chache zilizopita alikifuta kikundi cha watu wa mkoa wa Mara waishio Manyara. Amesema ataendelea...
Nimemsikiliza kwa makini Rais wetu Magufuli wakati wa kuipokea ndege yetu mpya, aina ya AirBus A200-300, alipokuwa akijipa sifa za ziada kuwa yeye amekaa madarakani miaka 3 pekee, lakini kutokana...
Kwa kile kinachoitwa mshtuko Waziri mkuu MAJALIWA KASSIM MAJALIWA leo Apiga marufuku mikutano ya kisiasa ya kuwashukuru wananchi hasa kwa wale wagombea walioshindwa uchaguzi.
Nini tafsiri ya hii...
Sina uhakika wa takwimu za ukosefu wa ajira lakini nimefanya uchunguzi wangu makini kabisa kutoka na uzoefu wangu wa jiji. Nia yangu siku zote ni kufanyakazi za kijamii baada ya kazi zangu za...
Salaam ndugu zangu,
Aisee kumekuwa na tabia ya viongozi wa Mitaa mbalimbali kugeuza shida za Wananchi kama miradi yao ya kujipatia pesa.
Mpaka sasa kwa hapa Dar es Salaam nimeishi mitaa mitatu...
Yaani habari inayo trendi ni Rais KURUHUSU Maandamano.
Imekua ndipo habari kubwa zaidi hâta ya hoja za Chadema.
Kiukweli Mpaka Sasa ni kama hakuna MAANDANO yaliyo tokea.
Kwa jambo hili Rais...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.