Tathmini yangu ya maaandamano ya CHADEMA

Shotocan

JF-Expert Member
Nov 21, 2023
2,218
4,634
Hili ndio Tathimini yangu ya maaandamano ya Chadema

1.CHADEMA Kwa Dar es salaam Haina nguvu Tena hii ni kutokana na idadi ndogo.ya waandamanaji waliojitokeza . Bodaboda walikuwa wachache na machinga walikuwa wakiendelea na biashara kama kawaida nk tofauti na kabla ya 2015 makundi hayo yalikuwa ndio nguvu kuu ya Chadema

2.Waandamaji wengi walitoka mikoani .Hili lilitamkwa na mama mmoja live kwenye gari ya matangazo akisema sisi tumetoka Morogoro kuja kuandamama nyie watu wa Dar es salaam mnatuangalia tu

3.Maandamano yalipita sehemu zenye watu wengi kama Kariakoo au Manzese na Buguruni lakini watu walikuwa hawaongezeki Kujiunga na maandamano tofauti na miaka ya nyuma kufikia 2015

4.CHADEMA inaonyesha kutelekeza baadhi ya wilaya au imekata tamaa nazo wilaya hizo ni Kinondoni na Temeke huko naona hawakuwashirikisha kikamilifu Wala kuwa na route za kuanzia maandamano huko

Kama ni ubunge CHADEMA naweza kusema jimbo la ubunge Dar es salaam wamelipoteza. Dar Ina watu milioni Tano na zaidi Kwa idadi ile ya watu waliojitokeza nadhani viongozi wa CHADEMA watakuwa hawakulala Kwa mawazo
 
Hata yule mdau wa chadema kutoka kyela Erythrocyte alieleza kuwa wamekodi magari mawili kutoka kyela... akalalama mafuso na magari kutoka sehemu mbalimbali yanasumbuliwa njiani...
Nijuavyo mimi siasa maandamano yaliyofanyika usiku kwenye Guest house ni makubwa kuliko yake ya mchana tena M4C watu wa maji sanaa
 
Ni kweli, CDM ya kabla ya 2015 na sasa ni vitu viwili tofauti. Sasa sio CDM ile, sasa imekwisha habari yake. Katika mistake walizofanya no kujitoa kwenye bunge na siasa toka 2015 na ile ya watu kuunga juhudi. Imeumiza sana wadau nikiwemo mimi.

Nikikumbuka nilivyompambania Mzee Arfi pale Mpanda na kule Arusha kwa Joshua Nassari alafu leo wameunga mkono, naumia sana. Sasa kuliko kuwa mfuasi kindakindaki ni bora nipambanie ugali wa watoto wangu.
 
..hapo unawakatisha tamaa waliovumilia mateso na hujuma za Ccm.

..na kungekuwa na katiba nzuri mambo ya kuunga mkono juhudi yasingekuwepo.
 
Kumbe sio kufikisha ujumbe ni kuangalia idadi ya watu......ccm itaendelea kuongoza manyumbu kwa kipindi kirefu sana
Kufikisha ujumbe Kwa maandamano ni ni pamojanna wananchi wenyewe kuwa wanaupokeaje huo ujumbe Kwa kuuunga mkono Kwa kujitokeza Kwa wingi kwenye maandamano kama wanauunga mkono.

Kujitokeza wachache Ina maana huo ujumbe kwao haujwafikia Wala kupata uuungaji mkono

Kufikisha ujumbe sio.kuupeleka tu ofisi ya umoja wa mataifa unatakiwa ufike Kwa wananchi na uungwe mkono na wengi wajitokeza maandamano

Binafsi nilihoji wananchi wengi yalikopita hayo maandamano nikawauliza hivi Chadema wanaandamana Kwa ajil ya Nini wakasema hatujui
 
Hili ndio Tathimini yangu ya maaandamano ya Chadema

1.CHADEMA Kwa Dar es salaam Haina nguvu Tena hii ni kutokana na idadi ndogo.ya waandamanaji waliojitokeza . Bodaboda walikuwa wachache na machinga walikuwa wakiendelea na biashara kama kawaida nk tofauti na kabla ya 2015 makundi hayo yalikuwa ndio nguvu kuu ya Chadema
Naunga mkono hoja.
P
 
Hili ndio Tathimini yangu ya maaandamano ya Chadema

1.CHADEMA Kwa Dar es salaam Haina nguvu Tena hii ni kutokana na idadi ndogo.ya waandamanaji waliojitokeza . Bodaboda walikuwa wachache na machinga walikuwa wakiendelea na biashara kama kawaida nk tofauti na kabla ya 2015 makundi hayo yalikuwa ndio nguvu kuu ya Chadema

2.Waandamaji wengi walitoka mikoani .Hili lilitamkwa na mama mmoja live kwenye gari ya matangazo akisema sisi tumetoka Morogoro kuja kuandamama nyie watu wa Dar es salaam mnatuangalia tu

3.Maandamano yalipita sehemu zenye watu wengi kama Kariakoo au Manzese na Buguruni lakini watu walikuwa hawaongezeki Kujiunga na maandamano tofauti na miaka ya nyuma kufikia 2015

4.CHADEMA inaonyesha kutelekeza baadhi ya wilaya au imekata tamaa nazo wilaya hizo ni Kinondoni na Temeke huko naona hawakuwashirikisha kikamilifu Wala kuwa na route za kuanzia maandamano huko

Kama ni ubunge CHADEMA naweza kusema jimbo la ubunge Dar es salaam wamelipoteza. Dar Ina watu milioni Tano na zaidi Kwa idadi ile ya watu waliojitokeza nadhani viongozi wa CHADEMA watakuwa hawakulala Kwa mawazo
Hii ni tathmini- mtazamo au maoni? ⁰ unadhani watu wengine wangeacha kwenda kazini wakaandamane? Wengine mioyo yao imefarijika na wameunga mkono maandamano huko waliko not necessarily waende Road! But they are proud kwamba grievances zao zimefika panapo takiwa! Sema huu ni mtazamo! Evaluation haifanyiki kwa kuangalia tu na macho makubwa kama unachomelea gate. Shule mnaenda kujifunza ujinga au kuondoa ujinga?
 
Umeongea kitu sahihi.

Nguvu ya CHADEMA Dar siyo kama ile ya 2010 hadi 2015.

Factors ni nyingi:

1. Sera za kuua demokrasia za Magufuli.
2. Kukosekana kwenye news cycle, magazeti ya siku hizi ni kama yameipiga blockade CHADEMA.

3. Enzi zile siasa za bungeni ziliwainua.

4. Hoja ya Ufisadi ilicklick na wananchi.

6. Sasa hivi Yanga na Simba zimerudi kwenye chati vijana wako interested na mambo ya mpira na kubeti kuliko siasa.

7. Makada wenyewe wa Chadema wanakatisha watu tamaa. Mtu kama Halima Mdee, Upendo, Na makamanda kibao waliounga mkono juhudi imewafanya wananchi waone kuwa kumbe hata hawa siyo wapambanaji kivile.

8. Chadema huwa inajivutavuta kwenye ajenda zinazohusu maslahi ya watu wa chini. yaani haiwi Front kabisa na kuzishikia bango!. Kwa mfano ishu ya bomoabomoa ya biashara za wamachinga huwa haitoki FULL FORCE kusema NO. Huwa inachomekeachomekea tu hapa na pale, hii inafanya watu wa chini waone kuwa hiki chama hakiko nao wakati wa shida zao!

9. Kubadilikabadilika kwa ajenda.
Mwanzo unasema hatutashiriki chaguzi bila katiba mpya, halafu baadae unageuka unasema tufanye marekebisho ya sheria ili tuingie ktk uchaguzi. Simamia ajenda moja ya maana hata kwa kusacrifice kitu , utalose temporalily ila utagain heshima na trust ya watu. Dar ni mji wenye wasomi wengi na taarifa nyingi kuliko mikoa mingine, kwa hiyo watu wako informed zaidi na kinachoendelea. Chadema ikisacrifice uchaguzi wa 2025, kwa hoja ya bila katiba mpya basi uchaguzi ni feki. Ni kweli itapata tabu sababu ya kukosa ruzuku na kukosa siasa za bungeni lakini ujumbe wake utaclick na wananchi, itajijenga zaidi, na itaweka pressure kubwa kwa serikali na hivyo kuhakikisha tunaandika katiba mpya.
 
Hili ndio Tathimini yangu ya maaandamano ya Chadema

1.CHADEMA Kwa Dar es salaam Haina nguvu Tena hii ni kutokana na idadi ndogo.ya waandamanaji waliojitokeza . Bodaboda walikuwa wachache na machinga walikuwa wakiendelea na biashara kama kawaida nk tofauti na kabla ya 2015 makundi hayo yalikuwa ndio nguvu kuu ya Chadema

2.Waandamaji wengi walitoka mikoani .Hili lilitamkwa na mama mmoja live kwenye gari ya matangazo akisema sisi tumetoka Morogoro kuja kuandamama nyie watu wa Dar es salaam mnatuangalia tu

3.Maandamano yalipita sehemu zenye watu wengi kama Kariakoo au Manzese na Buguruni lakini watu walikuwa hawaongezeki Kujiunga na maandamano tofauti na miaka ya nyuma kufikia 2015

4.CHADEMA inaonyesha kutelekeza baadhi ya wilaya au imekata tamaa nazo wilaya hizo ni Kinondoni na Temeke huko naona hawakuwashirikisha kikamilifu Wala kuwa na route za kuanzia maandamano huko

Kama ni ubunge CHADEMA naweza kusema jimbo la ubunge Dar es salaam wamelipoteza. Dar Ina watu milioni Tano na zaidi Kwa idadi ile ya watu waliojitokeza nadhani viongozi wa CHADEMA watakuwa hawakulala Kwa mawazo
Unaishi nchi gani hujui hata historia? Hukumbuki Magu kwa kipindi chake chote aliwafanyia nini wapinzani?
Huu ni mwanzo mzuri wa kuamsha hisia pale walikoishia 2015. Mungu awabariki, tunayasubiri maandamano kama hayo huku mikoani na mawilayani. Naamini kuelekea 2025,CHADEMA itakuwa na nguvu 10x ya ile ya 2015. Kazi iendelee...
 
Umeongea kitu sahihi.

Nguvu ya CHADEMA Dar siyo kama ile ya 2010 hadi 2015.

Factors ni nyingi:

1. Sera za kuua demokrasia za Magufuli.
2. Kukosekana kwenye news cycle, magazeti ya siku hizi ni kama yameipiga blockade CHADEMA.

3. Enzi zile siasa za bungeni ziliwainua.

4. Hoja ya Ufisadi ilicklick na wananchi.

6. Sasa hivi Yanga na Simba zimerudi kwenye chati vijana wako interested na mambo ya mpira na kubeti kuliko siasa.

7. Makada wenyewe wa Chadema wanakatisha watu tamaa. Mtu kama Halima Mdee, Upendo, Na makamanda kibao waliounga mkono juhudi imewafanya wananchi waone kuwa kumbe hata hawa siyo wapambanaji kivile.

8. Chadema huwa inajivutavuta kwenye ajenda zinazohusu maslahi ya watu wa chini. yaani haiwi Front kabisa na kuzishikia bango!. Kwa mfano ishu ya bomoabomoa ya biashara za wamachinga huwa haitoki FULL FORCE kusema NO. Huwa inachomekeachomekea tu hapa na pale, hii inafanya watu wa chini waone kuwa hiki chama hakiko nao wakati wa shida zao!

9. Kubadilikabadilika kwa ajenda.
Mwanzo unasema hatutashiriki chaguzi bila katiba mpya, halafu baadae unageuka unasema tufanye marekebisho ya sheria ili tuingie ktk uchaguzi. Simamia ajenda moja ya maana hata kwa kusacrifice kitu , utalose temporalily ila utagain heshima na trust ya watu. Dar ni mji wenye wasomi wengi na taarifa nyingi kuliko mikoa mingine, kwa hiyo watu wako informed zaidi na kinachoendelea. Chadema ikisacrifice uchaguzi wa 2025, kwa hoja ya bila katiba mpya basi uchaguzi ni feki. Ni kweli itapata tabu sababu ya kukosa ruzuku na kukosa siasa za bungeni lakini ujumbe wake utaclick na wananchi, itajijenga zaidi, na itaweka pressure kubwa kwa serikali na hivyo kuhakikisha tunaandika katiba mpya.
Kama mwanasiasa wa upinzani ni lazima uwe dynamic kwenye stratergies zako kutimiza lengo Kuu. Hicho ndicho kinachofanyika. Process ya kubadilisha katiba yote ni ndefu. 2025 imekaribia ni lazima uje na stratergy tofauti na inayotekelezeka na yenye mafanikio. Kazi iendelee...
 
Dynamism yenye kusacrifice principles hiyo ni flip-flopping. Gain yake inaweza kuwa temporary ila adhabu yake kisiasa huwa ni kubwa sana!.

Nitakupa mfano, Chadema iligain Temporary kwa kumleta Lowasa ktk chama, ikapata viti vingi bungeni, ila kwa sababu ilisacrifice agenda yake ya ufisadi leo inapata adhabu kubwa ya kutoaminika kwa kusacrifice agenda ile. Na hata watu waliokuja na Lowasa alirudi nao CCM huku CHADEMA ikipoteza mtaji wake wa kuaminika mbele ya umma kuwa kinapiga vita ufisadi.
 
Hili ndio Tathimini yangu ya maaandamano ya Chadema

1.CHADEMA Kwa Dar es salaam Haina nguvu Tena hii ni kutokana na idadi ndogo.ya waandamanaji waliojitokeza . Bodaboda walikuwa wachache na machinga walikuwa wakiendelea na biashara kama kawaida nk tofauti na kabla ya 2015 makundi hayo yalikuwa ndio nguvu kuu ya Chadema

2.Waandamaji wengi walitoka mikoani .Hili lilitamkwa na mama mmoja live kwenye gari ya matangazo akisema sisi tumetoka Morogoro kuja kuandamama nyie watu wa Dar es salaam mnatuangalia tu

3.Maandamano yalipita sehemu zenye watu wengi kama Kariakoo au Manzese na Buguruni lakini watu walikuwa hawaongezeki Kujiunga na maandamano tofauti na miaka ya nyuma kufikia 2015

4.CHADEMA inaonyesha kutelekeza baadhi ya wilaya au imekata tamaa nazo wilaya hizo ni Kinondoni na Temeke huko naona hawakuwashirikisha kikamilifu Wala kuwa na route za kuanzia maandamano huko

Kama ni ubunge CHADEMA naweza kusema jimbo la ubunge Dar es salaam wamelipoteza. Dar Ina watu milioni Tano na zaidi Kwa idadi ile ya watu waliojitokeza nadhani viongozi wa CHADEMA watakuwa hawakulala Kwa mawazo
Huo ni upande wako wewe, kwa upande wangu naona wamefanikisha lengo sana kuliko nilivyotarajia. Kwa miguvu na propaganda tulizozisikia, mpaka tunafikia Polisi kufanya kile kinachotakiwa ni hatua kubwa sana.
 
Hili ndio Tathimini yangu ya maaandamano ya Chadema

1.CHADEMA Kwa Dar es salaam Haina nguvu Tena hii ni kutokana na idadi ndogo.ya waandamanaji waliojitokeza . Bodaboda walikuwa wachache na machinga walikuwa wakiendelea na biashara kama kawaida nk tofauti na kabla ya 2015 makundi hayo yalikuwa ndio nguvu kuu ya Chadema

2.Waandamaji wengi walitoka mikoani .Hili lilitamkwa na mama mmoja live kwenye gari ya matangazo akisema sisi tumetoka Morogoro kuja kuandamama nyie watu wa Dar es salaam mnatuangalia tu

3.Maandamano yalipita sehemu zenye watu wengi kama Kariakoo au Manzese na Buguruni lakini watu walikuwa hawaongezeki Kujiunga na maandamano tofauti na miaka ya nyuma kufikia 2015

4.CHADEMA inaonyesha kutelekeza baadhi ya wilaya au imekata tamaa nazo wilaya hizo ni Kinondoni na Temeke huko naona hawakuwashirikisha kikamilifu Wala kuwa na route za kuanzia maandamano huko

Kama ni ubunge CHADEMA naweza kusema jimbo la ubunge Dar es salaam wamelipoteza. Dar Ina watu milioni Tano na zaidi Kwa idadi ile ya watu waliojitokeza nadhani viongozi wa CHADEMA watakuwa hawakulala Kwa mawazo
Hata kama wangejitokeza watu watano tu kikubwa ni je madai yao yanamshiko. Wameandamana siku ya kazi watu wengi tumekwendwa makazini na kwenye biashara zetu. Kikubwa ni kuwa serikali haikupenda maandamano ila imeona siku baada ya siku resistance inazidi kuwa kubwa kwahiyo ikaamua ipunguze tension kiasi fulani. Maandamano siyo mazuri na hii inakwenda mpaka baadaye yanazaa vurugu, mimi ninachoomba watu tofauti zao wamalizie mezani maandamano ni nusu shari siku za usoni tutazamie shari kamili.
 
Back
Top Bottom