Huku Zanzibar kuna mgawanyiko mkubwa kisiasa. Mzee Mwinyi anafanya vizuri sana kuleta maendeleo lakini hakubaliki. Baadhi ya factors zinazofanya asikubalike ni hizi hapa.
1. Siyo Mzanzibari
2...
Wamepotelea wapi wenye courage namna hii? Hivi wasanii wa sasa wangekuwa na uwezo wa kuwachapa namna hii sii pengine kila mtu angeamka?
Ila kumbe chuki za raia dhidi ya CCM hazijaanza leo, ona...
Mpango wa kuanza kutumia jamii namba (unique number) kwa ajili ya utoaji wa huduma nchini katika ujenzi wa mfumo wa utambulisho wa kidigitali kufikia uchumi wa kidijitali
Wizara ya Habari...
Wakati ukimjibu dereva aliyelalamikia ukamataji wa madereva wanaobeba mkaa. Umetolea mfano kuwa huwezi kumwona nurse akienda kununua dawa kwenye Pharmacy kisa ana deal na dawa tena ukakazia kuwa...
VITABU VINAVYOELEZEA UTEKELEZAJI WA ILANI YA UCHAGUZI YA CCM NDANI YA JIMBO LA MUSOMA VIJIJINI
ILANI 2020-2025
Vitabu viwili vimechapishwa na vinasambazwa. Uchapishaji wa vitabu vingine...
Serikali ya Rais Samia haieleweki ni serikali ya nini na inasimamia nini, hii ni shida kubwa. Serikali ya awamu ya tano ilikuwa ya viwanda na matendo yake yalikuwa ya kiviwanda ndiyo maana mkoa wa...
KOMREDI MWAJABU MBWAMBO AONGOZA UWT MKOA WA DAR ES SALAAM KUTEMBELEA IHSAN ORPHANAGE CENTER KIGAMBONI-KIBADA
Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Mkoa wa Dar es salaam ukiongozwa na Mwenyekiti UWT...
Kupitia ukurasa wake wa X Meya Mstaafu wa Ubungo Boniface Jacobo ameandika namnukuu
" Taarifa ya ununuzi wa MAJUMBA nje ya nchi uliofanywa na mawaziri INATISHA
1.Maziri kutoka Zanzibar kanunua...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January Makamba amekutana kwa mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia masuala ya Uhamiaji (IOM)...
Sijui ni uwezo mdogo kielimu ndiko kunapelekea polisi kunyima haki pindi watu wanapopeleka malalamiko! au ni serikali kupitia CCM ndio mnawafumbia macho hawa polisi? kuna kesi nyingi sana za watu...
KONGAMANO LA UVCCM KUELEKEA MIAKA 3 YA UONGOZI WA RAIS DOKTA SAMIA NA MIAKA 47 YA KUZALIWA KWA CCM
Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi wamefanya Kongamano kubwa kuelekea Miaka Mitatu ya Rais...
Mishahara ya wakuu wa taasisi zifuatazo ni zaidi ya kufuru..... Hapa ndipo panga la Rais Magufuli linashuka kwa ukali wote
NHC..... 36M
EWURA..... 36M
NSSF......... 36M
TANESCO.... 36M...
Wanabodi, vijana badala ya kufikiria maarifa ili waweze kuendeleza wapatacho wao wanawaza mishahara minono kwenye taasisi za kiserikali ambazo Kiuhalisia mishahara hiyo minono haipo kwa vijana...
Tulikua tunabishana hapa mtaani kuhusu mgawanyo wa madaraka ndani ya chama na serikali.
Mimi bado nilikua nimeshikiria kwamba viongozi wa chama wakiamua wanaweza kuwa na nguvu kuliko mawaziri...
1. Tatizo lilianza seriously wakati wa utawala wa Jakaya Kikwete (2005 - 2015). Alijaribu kulitatua lakini serikali yake haikuwa na nia ya kutatua bali viongozi wa serikali kutumia tatizo hilo...
Mambo ni magumu sana,
Katika uongozi mambo ni tofauti sana.
Kiongozi unaongoza watu, watu wote wanakuangalia wewe.
Hivyo ndugu yangu ukitaka kupendwa na hao watu wekeza akili yako kwao.
Hata...
Kwanini wazee wengi wako CCM kuliko vyama vingine?
Kwanini vijana wengi walokuwa upinzani wakimaliza ujana na kuanza uzee hujongea kwenda kumalizia maisha yao CCM?
CCM kina uhusiano gani na uzee...
Nchi hii ina kero nyingi zinazoikabili na kero hizo zinatokana na watendaji wabovu ambao ni waajiriwa wa serikali na serikali hiyo huongozwa na chama cha ccm kwa hiyo mwenezi anapopita Kila sehemu...
Leo kwenye post ya kada wa chama cha Mbowe ndugu Yericko Nyerere nimeona post inayoelezea kada mwenzie Malisa Godlisten akilalamikia kulamba Block toka kwa Mheshimiwa Nape huko Twitter. Mimi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.