Kauli ya Makonda imerejea kauli ya "Kila mbuzi hula urefu wa kamba yake"

Escrowseal1

JF-Expert Member
Dec 17, 2014
4,434
4,222
Wakati ukimjibu dereva aliyelalamikia ukamataji wa madereva wanaobeba mkaa. Umetolea mfano kuwa huwezi kumwona nurse akienda kununua dawa kwenye Pharmacy kisa ana deal na dawa tena ukakazia kuwa kila mtu anapata kwenye ofisi yake.

Kauli yako Makonda imerejea Kauli ya boss wako ya kila mbuzi hula urefu wa kamba yake. It's very sad kuwa nyie ndio viongozi tena wa kitaifa tulio nao.

Impact ya hizo kauli ndo ujambazi na umangimeza tunaouona kwenye serikali yenu ya CCM. Mnaowaongoza wanawa reflect nyie viongozi

Sisi tunaofanya kazi nchi zilizoendelea tukisikia kauli kama hizi honestly tunasikia kuingiwa kichaa kwani tunajua tunapotamani kuiona nchi yetu ikiwa ila kwa mawazo hayo ya viongozi wetu hayo. Hayo mawazo .aliyewaroga alishajifia na yeye.

Duu niwe encouraged kwa mzungu kuchukua paracetamol free kwa kuwa tu mi ni nurse? Tunahitaji more exposure kujua elements za maendeleo.

Mwisho niseme kuwa hii dhambi ya ufisadi kwenye jamii yetu CCM mnau nurture wenyewe ila inatupa kinyaa tunaojua maana ya maendeleo na ili jamii iendelee inahitaji ku behave vipi.

Pia soma: Awamu ya Sita na mbuzi kula kwa urefu wa kamba yake
 
Kuna siku CCM watatoa MTU Milembe wampe Uongozi Nyeti WA nchi! Hawa wanajiokoteaga Tu ilimradi ana maslahi kwao kwa wakati huo. Mfano mzuri ni suala la wakimbizi, wanawatumia kwenye deals zao na kuwazawadia Vyeo na kujisahau kuwa hizo nafasi ni nyeti.

Akili zikija kuwarudi wanakurupuka kulaumu wengine na kamwe hawawezi kuwa responsible
 
Mwisho niseme kuwa hii dhambi ya ufisadi kwenye jamii yetu CCM mnau nurture wenyewe ila inatupa kinyaa tunaojua maana ya maendeleo na ili jamii iendelee inahitaji ku behave vipi.

Watoto wakikusumbua sana unawatafutia dude wahangaike nalo upumue kidogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati ukimjibu dereva aliyelalamikia ukamataji wa madereva wanaobeba mkaa. Umetolea mfano kuwa huwezi kumwona nurse akienda kununua dawa kwenye Pharmacy kisa ana deal na dawa tena ukakazia kuwa kila mtu anapata kwenye ofisi yake.

Kauli yako Makonda imerejea Kauli ya boss wako ya kila mbuzi hula urefu wa kamba yake. It's very sad kuwa nyie ndio viongozi tena wa kitaifa tulio nao.

Impact ya hizo kauli ndo ujambazi na umangimeza tunaouona kwenye serikali yenu ya CCM .mnaowaongoza wanawa reflect nyie viongozi

Sisi tunaofanya kazi nchi zilizoendelea tukisikia kauli kama hizi honestly tunasikia kuingiwa kichaa kwani tunajua tunapotamani kuiona nchi yetu ikiwa ila kwa mawazo hayo ya viongozi wetu hayo. Hayo mawazo .aliyewaroga alishajifia na yeye.

Duu niwe encouraged kwa mzungu kuchukua paracetamol free kwa kuwa tu mi ni nurse .??? Tunahitaji more exposure kujua elements za maendeleo.

Mwisho niseme kuwa hii dhambi ya ufisadi kwenye jamii yetu CCM mnau nurture wenyewe ila inatupa kinyaa tunaojua maana ya maendeleo na ili jamii iendelee inahitaji ku behave vipi.
Acha wale ndio kinafanya wanapigana hadi kutoana nishai kwenye uongozi na uchaguzi.
 
Hivyo ndivyo ulivyomtafisiri MAKONDA,na unabaki kuwa mtazamo wako binafsi ngoja waje na wengine na tafsiri zao tutofautishe
 
Wakati ukimjibu dereva aliyelalamikia ukamataji wa madereva wanaobeba mkaa. Umetolea mfano kuwa huwezi kumwona nurse akienda kununua dawa kwenye Pharmacy kisa ana deal na dawa tena ukakazia kuwa kila mtu anapata kwenye ofisi yake.

Kauli yako Makonda imerejea Kauli ya boss wako ya kila mbuzi hula urefu wa kamba yake. It's very sad kuwa nyie ndio viongozi tena wa kitaifa tulio nao.

Impact ya hizo kauli ndo ujambazi na umangimeza tunaouona kwenye serikali yenu ya CCM .mnaowaongoza wanawa reflect nyie viongozi

Sisi tunaofanya kazi nchi zilizoendelea tukisikia kauli kama hizi honestly tunasikia kuingiwa kichaa kwani tunajua tunapotamani kuiona nchi yetu ikiwa ila kwa mawazo hayo ya viongozi wetu hayo. Hayo mawazo .aliyewaroga alishajifia na yeye.

Duu niwe encouraged kwa mzungu kuchukua paracetamol free kwa kuwa tu mi ni nurse .??? Tunahitaji more exposure kujua elements za maendeleo.

Mwisho niseme kuwa hii dhambi ya ufisadi kwenye jamii yetu CCM mnau nurture wenyewe ila inatupa kinyaa tunaojua maana ya maendeleo na ili jamii iendelee inahitaji ku behave vipi.
unajipa umuhiiiiimu binafsi sana, unatoa hukumu na kujihesabia haki kama vile we ni mdogo wake mungu...

Mambo yanabadishwa na watu wenye mipango, ushawishi wa hoja na maono...

Kulalama tu na kughadabishwa na utendaniji wenye kasoro wa baadhi ya viongozi hakutoshi kubadili chochote na ni dalili ya wazi ya kukata tamaa na kukosa uelekeo 🐒
 
"Nchi yetu nzuri Tanzania tutaiharibu wenyewe kwa kuteua na kutumia watu kama kina Makonda"
Ukitaka kujua ukubwa wa tatizo tazama msafara wake ulivyojaa magari ya serekali, kisha anasema anasikiliza na kutatua KERO za wananchi. Cha kushangaza matatizo halisi ya wananchi ni umeme, mfumuko wa bei, huduma mbovu za jamii, na hakuna lolote analotatua, ila anafanya personal attack, na mazingaombwe ya kugawa fedha, huku akimalizia na mikogo ya kupigia simu mawaziri watatue matatizo! Unatatuaje matatizo ya wananchi kwa kufuja fedha zao?
 
Makonda, Nape, Tulia, yule bibi, JK, makamba, CDF, IGP, Majaliwa, Jaji mkuu, TISS, Riziwani, Kinana, Mhagama, hili kundi hili !!!! Ninawaombea mungu siku Moja wapande Airbus Moja, litokee Lile la Ethiopian airlines.
 
Sisi tunaofanya kazi nchi zilizoendelea tukisikia kauli kama hizi honestly tunasikia kuingiwa kichaa kwani tunajua tunapotamani kuiona nchi yetu ikiwa ila kwa mawazo hayo ya viongozi wetu hayo. Hayo mawazo .aliyewaroga alishajifia na yeye.
Halafu kuna majitu wanaitwa; Maskini na wanyonge nao wanakubali!
Pasipo kujua kuwa umaskini na unyonge wao umesababishwa na CCM kwa MIAKA 60
 
Ukitaka kujua ukubwa wa tatizo tazama msafara wake ulivyojaa magari ya serekali, kisha anasema anasikiliza na kutatua KERO za wananchi. Cha kushangaza matatizo halisi ya wananchi ni umeme, mfumuko wa bei, huduma mbovu za jamii, na hakuna lolote analotatua, ila anafanya personal attack, na mazingaombwe ya kugawa fedha, huku akimalizia na mikogo ya kupigia simu mawaziri watatue matatizo! Unatatuaje matatizo ya wananchi kwa kufuja fedha zao?
wew upo umejificha mahali kwenye kona flani unachungulia, roho inakuuma unalalamika na kunung'unika mwenyewe tu kwa uchunguuuu .

Utawehuka wew punguza makasiriko na chuki 🐒
 
Halafu kuna majitu wanaitwa; Maskini na wanyonge nao wanakubali!
Pasipo kujua kuwa umaskini na unyonge wao umesababishwa na CCM kwa MIAKA 60
yaani kwamba kwa kusema hivyo ndio unadhani watakuskiza kwamba umekonga nyoyo zao sana 🐒

zaidi said sana wata kutazama na kukushangaa tu kisha waku🚮🐒

kwaamba apo ndio umewashawishi wawe na fikra kama zako 🤣
 
Back
Top Bottom