Boniface Jacob ataja Mawaziri walionunua mahekalu

zanku

Member
Jun 9, 2020
69
149
View attachment 2886260

Kupitia ukurasa wake wa X Meya Mstaafu wa Ubungo Boniface Jacobo ameandika namnukuu

" Taarifa ya ununuzi wa MAJUMBA nje ya nchi uliofanywa na mawaziri INATISHA

1.Maziri kutoka Zanzibar kanunua hekalu la Mabillioni ya pesa,DUBAI

2.Waziri mmoja kutoka Tanga amenunua mahekalu 2,South Africa

3.Waziri mwingine kutoka Tanga kanunua Zanzibar mahekalu 2

Picha zinakuja

Rai yangu:

Tanga kuna Mawaziri watatu January Makamba, Jumaa Aweso(Aweso kaoa Zanzibar) na Ummy Mwalimu.

Zanzibar inasemakana ni Waziri aliejiuzulu ndugu Simai.

Kazi kwenu wana jamvi.
 
Huenda atakua huyo wa katikati.
 
Bahati mbaya hata kama wakitajwa hawatafanywa chochote, sioni sababu ya kushangilia, labda tuwe tumeamua kujichukua sheria mkononi, vinginevyo hao ndio majasiri wa hii awamu.

- Makamba alipiga $30mil, Nape akapiga kwenye alama za majina ya mitaa, Bashe nae kapiga kwenye BBT.

Mwambieni bonny hao walisharuhusiwa kula kwa urefu wa kamba zao, watalindwa vizuri na yule aliyewapa ruhusa ya kula lakini wasivimbiwe.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom