Kulwa Jilala
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 3,510
- 7,755
Serikali ya Rais Samia haieleweki ni serikali ya nini na inasimamia nini, hii ni shida kubwa. Serikali ya awamu ya tano ilikuwa ya viwanda na matendo yake yalikuwa ya kiviwanda ndiyo maana mkoa wa Pwani vikaanzishwa kama uyoga , lakini viwanda hivi vinafungwa chini ya serikali ya awamu ya sita na kufungwa kwa kiwanda maana yake kufungwa kwa ajira!
Sasa ili serikali ya Samia ipone kwenye eneo hili inatakiwa imteue kijana mzalendo balozi Polepole ili awashughulikie hao wanaohujumu viwamda vya nchi yetu
MSD ilikabidhiwa kiwanda cha madawa Keko lakini kinaelekea kufa…

DOKEZO - MSD ilikabidhiwa kiwanda cha madawa Keko lakini kinaelekea kufa…
Ni ajabu ila ni kweli. Bohari ya Dawa (MSD) ambayo ipo chini ya Wizara ya Afya ambayo Waziri wake ni Ummy Mwalimu ilikabidhiwa uendeshaji wa Kiwanda cha Dawa cha Keko na Msajili wa Hazina mwaka 2020, ambacho kinamilikiwa kwa Asilimia 70 na Serikali huku mbia binafsi akimiliki Asilimia 30...
www.jamiiforums.com