Malisa GJ huna uhalali wa kumlalamikia Nape kuku-block. Wewe ni kinara wa kupiga block

Matongee

JF-Expert Member
Jun 17, 2023
253
629
Leo kwenye post ya kada wa chama cha Mbowe ndugu Yericko Nyerere nimeona post inayoelezea kada mwenzie Malisa Godlisten akilalamikia kulamba Block toka kwa Mheshimiwa Nape huko Twitter. Mimi sifurahishwi kabisa na mambo ya watu kupigana block mitandaoni kwasababu ni mwanzo wa chuki na upotevu wa amani. Sio jambo dogo kama linavyochukuliwa. Ikitoka block ya mtandaoni itafuatia block ya nje ya mtandao ambayo ni mbaya sana.

Nimemwonea huruma Malisa kwa kilichomkuta ila naye akumbuke kuwa hana tofauti na Nape kwenye suala la block. Tena inawezekana Nape ana unafuu kuliko Malisa. Huyu kada wa CHADEMA ukitoa maoni tofauti na yake unakula block fasta. Wahanga wa hii tabia yake mbaya ni wengi sana. Malisa hana uvumilivu wowote wa kisiasa na dikteta aliyejificha kwenye mwamvuli wa kusaidia watu.

Kama ameamua kuwa msaidiaji wa wenye shida kupitia watanzania wenzake basi ajikite zaidi huko badala ya ku-block watu ambao pia huchangia pesa kila anapotoa wito. Malisa anafanya mazuri mengi ila anaharibu kwa kitu kidogo ambacho ni kutoruhusu mawazo tofauti kwenye mada zake anazopost. Tabia aliyo nayo Malisa ndo tabia ya madikteta wote waliowahi kuwepo duniani na waliopo kwa sasa.

Namkumbusha kijana huyu kubadilika kwa sababu tabia hii ikiendelea itazaa tabia nyjngine mbaya zaidi ya kutotaka kupingwa kwa lolote. Yeye akiitwa coward atafurahi? Kuhusu kusaidia wenye shida tuendelee kumuunga mkono.

FB_IMG_1689965527569.jpg
 
Malisa tapeli Sana...anafikiri atadanganya watu milele...
Anajinufaisha na misaada anayojifanya anachangisha ....

Siku moja ukweli utawekwa wazi...

Bado pia ni msambazaji mkubwa wa fake news
Ila mkuu kwenye hili la kujinufaisha nakupinga. Watu wote walioombewa msaada na Malisa walisaidiwa hadharani na Malisa hajawahi kutuficha lolote. Kama anafaidika ni indirect. Kumbuka post za Malisa zinasomwa hadi na Bi Mkubwa kwahiyo labda nyuma ya pazia wakubwa wanamrushia rushia minofu kwa kufurahishwa na anachokifanya.
 
Malisa tapeli Sana...anafikiri atadanganya watu milele.

Anajinufaisha na misaada anayojifanya anachangisha ....

Siku moja ukweli utawekwa wazi...

Bado pia ni msambazaji mkubwa wa fake news
Huna uwezo wa Malisa, Dogo ana utu na uthubutu.huo ni wivu wako wa kijinga.
Toka hadharani tukujue kam tumjuavyo Malisa tuone uwezo wako.
We ni mpuuzi tu.
Wewe ndo pekee unaejua anajinufaisha.
Vyombo vya usalama vipo, takukuru wapo kwani hawamjui malisa.
Malisa ni level nyingine, ni public figure hajifichi huku jf yuko wazi na syo zwazwa kama wewe
 
Du, kichambo mujarabu
 
Leo kwenye post ya kada wa chama cha Mbowe ndugu Yericko Nyerere nimeona post inayoelezea kada mwenzie Malisa Godlisten akilalamikia kulamba Block toka kwa Mheshimiwa Nape huko Twitter. Mimi sifurahishwi kabisa na mambo ya watu kupigana block mitandaoni kwasababu ni mwanzo wa chuki na upotevu wa amani. Sio jambo dogo kama linavyochukuliwa. Ikitoka block ya mtandaoni itafuatia block ya nje ya mtandao ambayo ni mbaya sana.

Nimemwonea huruma Malisa kwa kilichomkuta ila naye akumbuke kuwa hana tofauti na Nape kwenye suala la block. Tena inawezekana Nape ana unafuu kuliko Malisa. Huyu kada wa CHADEMA ukitoa maoni tofauti na yake unakula block fasta. Wahanga wa hii tabia yake mbaya ni wengi sana. Malisa hana uvumilivu wowote wa kisiasa na dikteta aliyejificha kwenye mwamvuli wa kusaidia watu.

Kama ameamua kuwa msaidiaji wa wenye shida kupitia watanzania wenzake basi ajikite zaidi huko badala ya ku-block watu ambao pia huchangia pesa kila anapotoa wito. Malisa anafanya mazuri mengi ila anaharibu kwa kitu kidogo ambacho ni kutoruhusu mawazo tofauti kwenye mada zake anazopost. Tabia aliyo nayo Malisa ndo tabia ya madikteta wote waliowahi kuwepo duniani na waliopo kwa sasa.

Namkumbusha kijana huyu kubadilika kwa sababu tabia hii ikiendelea itazaa tabia nyjngine mbaya zaidi ya kutotaka kupingwa kwa lolote. Yeye akiitwa coward atafurahi? Kuhusu kusaidia wenye shida tuendelee kumuunga mkono.

View attachment 2695600
Watu wanalalamikia NAPE sababu kitambi chake kinatunzwa na miTOZO unayokatwa! MALISA unamlipa?
 
Ananufaika vipi wakati anachangiwa mhanga direct? au una chuki na malisa
Majitu mengi myusi na roho ziko namna hiyo!....anashindwa kulalamikia watawala wake wanayomfilisi mpaka wanauza Nchi yote analalamikia mtu ambae wala haendeshi maisha yake kwa Tozo anazoFyekwa
 
Huna uwezo wa Malisa, Dogo ana utu na uthubutu.huo ni wivu wako wa kijinga.
Toka hadharani tukujue kam tumjuavyo Malisa tuone uwezo wako.
We ni mpuuzi tu.
Wewe ndo pekee unaejua anajinufaisha.
Vyombo vya usalama vipo, takukuru wapo kwani hawamjui malisa.
Malisa ni level nyingine, ni public figure hajifichi huku jf yuko wazi na syo zwazwa kama wewe
Asee Kuna mijitu ya hovyo kabisa
 
Malisa tapeli Sana...anafikiri atadanganya watu milele.

Anajinufaisha na misaada anayojifanya anachangisha ....

Siku moja ukweli utawekwa wazi...

Bado pia ni msambazaji mkubwa wa fake news
Umejivua nguo watu wanakupigia spana siku nyingine tuliza pupa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom