Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mambo ni magumu sana, Katika uongozi mambo ni tofauti sana. Kiongozi unaongoza watu, watu wote wanakuangalia wewe. Hivyo ndugu yangu ukitaka kupendwa na hao watu wekeza akili yako kwao. Hata...
1 Reactions
4 Replies
423 Views
Kwanini wazee wengi wako CCM kuliko vyama vingine? Kwanini vijana wengi walokuwa upinzani wakimaliza ujana na kuanza uzee hujongea kwenda kumalizia maisha yao CCM? CCM kina uhusiano gani na uzee...
1 Reactions
1 Replies
401 Views
Nchi hii ina kero nyingi zinazoikabili na kero hizo zinatokana na watendaji wabovu ambao ni waajiriwa wa serikali na serikali hiyo huongozwa na chama cha ccm kwa hiyo mwenezi anapopita Kila sehemu...
4 Reactions
10 Replies
979 Views
Leo kwenye post ya kada wa chama cha Mbowe ndugu Yericko Nyerere nimeona post inayoelezea kada mwenzie Malisa Godlisten akilalamikia kulamba Block toka kwa Mheshimiwa Nape huko Twitter. Mimi...
8 Reactions
79 Replies
6K Views
Kijiji cha Nyatwali wilayani Bunda kimetwaliwa kwa Mujibu ya Katiba wananchi hao waligoma kuhama lkn Serekali ikasema ni lazima wahame kwa manufaa ya Umma na kupita kila Nyumba na kuweka number za...
2 Reactions
26 Replies
2K Views
Je, bado kuna shida ya kukatika kwa umeme au maji!? Je, mwenezi Maul Makonda amepita eneo lako!? Je, shida zako zimetatuliwa!? Umati huu ulimfananisha mwenezi Paul Makonda na hayati Rais...
2 Reactions
5 Replies
658 Views
Kwanza kabisa nitangulize samahani kwa wale nitakowakwaza kwa uandishi mbovu. Mimi sio mwandishi na leo ni mara ya kwanza kabisa kuandika katika jukwaa hili la siasa. Mwita Waitara ni mbunge wa...
1 Reactions
3 Replies
789 Views
Kwa wale wote wanao shangaa maigizo ya makonda kukaripia viongozi wa kiserikali wanapaswa kufuatilia na kujifunza asili ya siasa zetu. Baada ya ziara ya Mwalimu Nyerere uchina na Tanzania kupitia...
6 Reactions
29 Replies
2K Views
Katika kipindi ambacho upinzani ungetakiwa kua na nguvu na kujiimarisha ni kipindi hiki ambacho Mafisadi waneongezeka kwa kasi kubwa baada ya Chuma cha Chato kulala. Ushahidi na Maneno ya Dkt...
0 Reactions
1 Replies
357 Views
Mradi wa EPIC Wawajengea Uwezo Wabunge Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya UKIMWI imejengewa uwezo kuhusu Mpango wa DREAMS unaotekelezwa na Mradi wa EPIC ambapo mpango huo unalenga...
0 Reactions
0 Replies
262 Views
KOMREDI RAJABU ABDURRAHMAN ACHANGIA MILIONI 10 UJENZI WA ZAHANATI KIJIJI CHA MWEMBENI "Katika kuitekeleza ilani ya CCM ya mwaka 2020-2025 nimechangia Tsh 10,000,000/ (milioni kumi) kwa ajili ya...
0 Reactions
1 Replies
775 Views
16 September 2023 KAZI YA KUIMARISHA TUTA KUZUIA MAJI KUTOROKA CHINI YA UKUTA WA BWAWA LA JNHPP RUFIJI Engineer amueleza naibu waziri mkuu mheshimiwa Dr. Doto Biteko jinsi wanavyopambana...
3 Reactions
36 Replies
6K Views
Wana Jamii Forums nawasalimu nyote Mimi ni mkazi wa wilaya ya Kibondo hapa mkoani Kigoma. Ninaomba msaada wa kisheria kutokana na ugomvi nilionao na kampuni ya KITAPELI ya sola inayoitwa MYSOL...
10 Reactions
62 Replies
4K Views
Mbona serikali imekua kimya kuhusu umeme?Je, ni nani wa kututoa hapa kwenye huu mkwamo tulipo kwa sasa?
2 Reactions
13 Replies
763 Views
Kila kitu kimepanda Bei Maisha yamekuwa Magumu kwa Watanzania Sukari haipo, Petrol, Michele, Unga n.k VYOTE HAVIPO na ukivipata BEI ZAKE HUZIWEZI. Wafanyabiashara wameushika Uchumi vilivyo...
3 Reactions
23 Replies
1K Views
Wasalaam, wote tumeshuhudia ziara za makonda akizunguka nchi zima na kutoa maagizo yasiotekelezeka ambayo kimsingi maagizo yalipaswa kutolewa na rais au waziri mkuu. Swali langu ni kwamba je...
5 Reactions
12 Replies
825 Views
Askofu Gwajima anaonesha kuwa ni mmojawapo waliokuwa wanamshauri vibaya Rais JPM (rip). Hizi chanjo hata Ulaya na Marekani wanachanja kwa wingi sana. Inamaana wao watakuwa mazombi ili Gwajima...
5 Reactions
34 Replies
4K Views
Chanjo kama chanjo Nimekaa na kuleta uzii huu ili tuelezane yaliopo kwenye nafsi zetu kuhusiana na hizi chanjo! Kwa wasiofahamu! Utengenezaji na research ya Chanjo ya covid 19 haina mdaa...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Wakati wa likizo miaka ya 1980 tulipokuwa watoto, ilikuwa ni utamaduni kwenda kuwasalimu bibi na babu,yalikuwa ni malezi bora yenye baraka pale babu na bibi wanapokushika mkono kukubariki na...
3 Reactions
6 Replies
915 Views
Sisi wanyonge wa chini kabisa ndiyo wapiga kura wakubwa, wenye uwezo wao muda wa kwenda kupanga mafoleni wataupata wapi? Ili wapige kura! Sisi huku chini ndiyo tunaodharauliwa, kuonewa...
3 Reactions
9 Replies
614 Views
Back
Top Bottom