Wakuu wa vituo Polisi, OCD, RPC ndio wanaoongoza kunyima haki za watu pindi linapokuja suala la uchunguzi

Mtemi mpambalioto

JF-Expert Member
Aug 23, 2015
3,264
7,404
Sijui ni uwezo mdogo kielimu ndiko kunapelekea polisi kunyima haki pindi watu wanapopeleka malalamiko! au ni serikali kupitia CCM ndio mnawafumbia macho hawa polisi? kuna kesi nyingi sana za watu kupotea, kudhulumiwa, ma kuonewa ila.ikifika polisi wanaangalia mwenye hela na uwezo kiofisi!

Mtu anasema mumewe katekwa na mfanyabiashara miaka 3 polisi wanakuja kuibuliwa na Makonda ndio wanaanza kujikanyaga kweli jaman! ina maana asingekuja Makonda huko ndio ingekuwa imeisha hiyo! daah Mungu tusaidie!

hivi RIPOTI ya HAKIJINAI imeishia kwenye makabati?.

Mama alimuweka WAMBURA IGP akijua ana sura ya kanda maalum ukuryani kumbe kapata galasa!

Mimi sjawahi dhulumiwa na Polisi lakini naapa ikitokea nitajua nitakachomfanya watu wataona kapotea tu!

Yanayowezekana kufanya usimsubirie Mungu! just One man show!

View: https://vm.tiktok.com/ZM6pCTj9P/

View: https://vm.tiktok.com/ZM6pC4J7t/

KAAMA HII VIDEO HAPAA CHINI, RPC NDIYE KAMTEKA NA KUMPOTEZA MTOTO WAA HUYO MAMA

View: https://vm.tiktok.com/ZM6pbqEFg/
 
Mumeo ametekwa wapi? TOA maelezo yaliyonyooka tuelewe tunaanzia wapi au fika kituo kilichopo karibu nawe upatiwe MSAADA wa haraka
 
Sijui ni uwezo mdogo kielimu ndiko kunapelekea polisi kunyima haki pindi watu wanapopeleka malalamiko! au ni serikali kupitia CCM ndio mnawafumbia macho hawa polisi? kuna kesi nyingi sana za watu kupotea, kudhulumiwa, ma kuonewa ila.ikifika polisi wanaangalia mwenye hela na uwezo kiofisi!
mtu anasema mumewe katekwa na mfanyabiashara miaka 3 polisi wanakuja kuibuliwa na Makonda ndio wanaanza kujikanyaga kweli jaman! ina maana asingekuja makonda huko ndio ingekuwa imeisha hiyo! daah Mungu tusaidie!

mimi sjawahi dhulumiwa na Polisi lakini naapa ikitokea nitajua nitakachomfanya watu wataona kapotea tu!

Yanayowezekana kufanya usimsubirie Mungu! just One man show!
sifahamu kitu kwakweli 🐒
 
watu wataona kapotea tu!
Yaan unamaanisha utamfungia kwenye chumba cha Giza asipate hata kukuona utampa MATESO ya kibabe akishalegea utammalizia kwa kuanza kumnyofoa vidole kimoja kimoja na kukwamgua masikio yake kisha utatoboa macho yake kwa drill ya umeme asipate kukuona kabisa na kidha utachukua msumeno wa umeme na .........

Hapo maliza mwenyewe
 
ataimba sana humo
 
Baada ya hapo unachukua vidole na masikio uliyomnyofoa unamtupia Germany Shefad ambae hajala kitu siku 3

Ukimaliza unakamatia msumeno wa umeme alafu unawasha alafu ........

Malizia mwenyewe
mie naomba sana Mungu isinitokew hali ya Polisi kunidhulumu! kuna trafiki tu alininyanyasaga mahali mjini tukamhamishia vijijini akakamate baskeli tu!

ila atokee wa kunidhulumu au kunidhalilisha! baada ya miez mitatu na revenge pekeyangu
 
kazi ya wakuu wa Mikoa anafanya Makonda kweli jaman? kuna haja gani ya kuwa na mkuu wa mkoa sasa?
 
Back
Top Bottom