Chanjo kama chanjo
Nimekaa na kuleta uzii huu ili tuelezane yaliopo kwenye nafsi zetu kuhusiana na hizi chanjo!
Kwa wasiofahamu! Utengenezaji na research ya Chanjo ya covid 19 haina mdaa...
Wakati wa likizo miaka ya 1980 tulipokuwa watoto, ilikuwa ni utamaduni kwenda kuwasalimu bibi na babu,yalikuwa ni malezi bora yenye baraka pale babu na bibi wanapokushika mkono kukubariki na...
Sisi wanyonge wa chini kabisa ndiyo wapiga kura wakubwa, wenye uwezo wao muda wa kwenda kupanga mafoleni wataupata wapi? Ili wapige kura!
Sisi huku chini ndiyo tunaodharauliwa, kuonewa...
📌📌MAKONDA ASISITIZA UWAJIBIKAJI NA KAULI NZURI KWA WATENDAJI WA SERIKALI.
Katibu wa NEC itikadi, uenezi na mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Paul Makonda amewataka watendaji wa serikali ya...
"Tumekuja katika Gereza la Wilaya ya Karatu katika siku ya kumbukizi ya kuzaliwa ya Rais wetu Mpendwa Mama Samia Suluhu Hassan. Nimekuja na akina mama wa Wilaya ya Karatu kwa kushirikiana na Mkuu...
Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Simai Mohamed Said ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo leo usiku.
Mhe. Simai ambaye pia ni Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu kwa...
AWESO AFANYA MABADILIKO YA WATENDAJI MAJI RUFIJI,
AMUONDOA KWENYE NAFASI YAKE MKURUGENZI UTETE.
Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso amefanya mabadiliko ya Kiuongozi katika Mamlaka ya Maji Utete kwa...
UPUMBAVU ni hali ya mtu au watu waliopata elimu lakini wameshindwa kuitumia kujikomboa wao wenyewe au kuikomboa jamii yao katika adha , dhiki, shida au aina yoyote ya mkwamo.
MPUMBAVU, ni mtu...
Happy birthday Mama
Mwenyezi Mungu akupe Miaka mingi uone vitukuu vyako kutoka kwenye uzao wangu.
Mh Rais nimefurahia kuunganisha siku yako ya kuzaliwa na kitendo cha kupanda miti nikuhakikishie...
AWESO AELEKEZA MKANDARASI ENEO LA CHANZO CHA MAJI RUANGWA KURIPOTI KAZINI, ARIDHISHWA NA UJENZI WA TENKI
Waziri wa Maji Mhe.Jumaa Aweso ametembelea na Kukagua ujenzi wa Mradi wa Maji wa vijiji...
Paul Makonda kadai anataka mdahalo na viongozi wa CHADEMA.
Wao wamemjibu kwa kuweka masharti ili mdahalo huo ufanyike.
Here I come. Mbeba maboksi niliyeishia kidato cha nne na kufeli.
Siweki...
Waziri Mkuu, mstaafu Jaji Joseph Warioba ameeleza wasiwasi wake kuhusu hatua ya Serikali ya kutaka kuanza kutoa elimu ya Katiba Mpya kwa miaka mitatu, akisema ni muda mrefu kwa mchakato huo...
Kiasili Watanzania ni Watu Wavivu Wavivu Ndio sababu Hata uhuru tulipewa wa mezani, ebu waangalie Wagogo ambao Ndio Watanganyika asilia.
Zamani walikuwepo maTX kutusaidia Shughuli mbalimbali za...
Hivi ndivyo Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo (CCM), Paul Makonda alivyoingia Kahama Mkoani Shinyanga leo January 27,2024 akiwa kwenye mwendelezo wa ziara yake.
Nini maoni yako?
📹 AyoTv
Rais Samia atakuwa na ziara mkoani mwanza mwishoni mwa mwezi January 2024.
Namshauri atoe maelekezo kwamba yaongezwe maeneo ya hifadhi ya mazalia ya samaki ambayo yatakuwa na kinga ya kisheria...
Nimeona akina Yoda, Tindo, Mshana Jr nk wanalalamikia msafara wa bodaboda zinazomsindikiza Komredi Makonda kwenye mikutano yake ya Chama
Niwashauri tu wangeanza kuhoji Matumizi mabaya ya ruzuku...
Nimeshangaa sana leo.
Hapa Arusha kuna ujio wa Mwenezi wa CCM Taifa bwana Makonda.
Cha kushangaza barabara zimefungwa. Watu wanalazimishwa kufunga biashara zao ati waka msikilize Makonda...
Siku chache tangu aliyekuwa Waziri wa Utalii na Mambo ya kale wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Simai Mohammed Saidi kujiuzulu nafasi hiyo leo, Jumamosi Januari 27.2024 Rais wa Zanzibar na...
Siasa michezo au mchezo duty?
Bandugu ba Jamii forum nimeanza kurecover kidogo kidogo baada ya kifo cha mwanangu maana imefika pahala nalazimika kuamini yakuwa kweli Binti yangu kipenzi sipo nae...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.