Vitabu Vinavyoelezea Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM Jimbo la Musoma Vijijini

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
May 16, 2020
2,024
973
VITABU VINAVYOELEZEA UTEKELEZAJI WA ILANI YA UCHAGUZI YA CCM NDANI YA JIMBO LA MUSOMA VIJIJINI

ILANI 2020-2025
Vitabu viwili vimechapishwa na vinasambazwa. Uchapishaji wa vitabu vingine unaendelea hadi 2025. Unaweza ukavisoma kupitia TOVUTI ya Jimbo letu:
www.musomavijijini.or.tz

ILANI 2015-2020
Vitabu viwili vilichapishwa na kusambazwa. Unaweza kuvisoma kupitia TOVUTI ya Jimbo letu:
www.musomavijijini.or.tz

Ofisi ya Mbunge
Jimbo la Musoma Vijijini
www.musomavijijini.or.tz

Tarehe:
Jumatatu, 29.1.2024
 
Attachments

  • WhatsApp Image 2024-01-29 at 08.25.36.jpeg
    WhatsApp Image 2024-01-29 at 08.25.36.jpeg
    146.6 KB · Views: 2
VITABU VINAVYOELEZEA UTEKELEZAJI WA ILANI YA UCHAGUZI YA CCM NDANI YA JIMBO LA MUSOMA VIJIJINI

ILANI 2020-2025
Vitabu viwili vimechapishwa na vinasambazwa. Uchapishaji wa vitabu vingine unaendelea hadi 2025. Unaweza ukavisoma kupitia TOVUTI ya Jimbo letu:
www.musomavijijini.or.tz

ILANI 2015-2020
Vitabu viwili vilichapishwa na kusambazwa. Unaweza kuvisoma kupitia TOVUTI ya Jimbo letu:
www.musomavijijini.or.tz

Ofisi ya Mbunge
Jimbo la Musoma Vijijini
www.musomavijijini.or.tz

Tarehe:
Jumatatu, 29.1.2024
Nje ya mada ndugu msemaji wa Muhongo.
Shauriana na madiwani na wahusika wengine jina la hiyo halmashauri libadilishwe.
Ninapendekeza liwe NYANJA ambalo ni jina la tarafa kubwa kuliko zote ndani ya wilaya lkn pia kwa maana ya uhalisia kuwa 80% ya eneo lake ni kandokando ya ziwa (INYANJA/NYANJA)
 
Back
Top Bottom