RWANDES
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,615
- 3,909
Nchi hii ina kero nyingi zinazoikabili na kero hizo zinatokana na watendaji wabovu ambao NI waajiriwa wa serikali na serikali hiyo huongozwa na chama cha ccm kwa hiyo mwenezi anapopita Kila sehemu akakutana na kero hizo lazima aelezwe na wananchi ili kutetea chama chake.
Sasa kama watendaji wa serikali wanamasharubu makubwa hawasikilizi wananchi na kupuuza maagizo ya mwenezi rungu linakuja nasikia huko kwa mama kuna pdf linakuja kufyeka wale makambale ambao hawatumikii wananchi.