CCM ni chama cha Wazee?

Filosofia ya Rorya

JF-Expert Member
Sep 20, 2021
3,214
3,587
Kwanini wazee wengi wako CCM kuliko vyama vingine?

Kwanini vijana wengi walokuwa upinzani wakimaliza ujana na kuanza uzee hujongea kwenda kumalizia maisha yao CCM?

CCM kina uhusiano gani na uzee na upinzani una uhusiano gani na ujana?

Upinzani hatuna uhakika kama wamekuwa na jukwaa (siyo jumuiya ya wazee wa chama) la wazee.

CCM kupitia serikali iliyoweka madarakani kila awamu imekuwa na mikutano ya mashauriano na wazee ukumbi wa Diamond Dar es Salaam.

Sababu ni nini CCM kuwa na wazee wengi?
 
NJAA INAWASUMBUA

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom