Hayo ni maisha yake binafsiHuyu mvuta bangi, alikuwa anakunywa gongo sana
Jibu hoja sio utu wa mtu.Huyu mvuta bangi, alikuwa anakunywa gongo sana
Unafuatilia mikutano ya hadhara?CCM inalelewa na vyombo vya dola tu. Huku mitaani ccm haipo kabisa.
Kwa hiyo unatarajia chupa ya bia ukiifungua itoke konyagi?
Mikutano ipi hii yakusomba watu kwenye malori na kulazmisha wanafunz wa kata wakaijazeUnafuatilia mikutano ya hadhara?
Hujui maandamano ya chadema watu walisombwa kutoka serengeti, morogoro, na wale wamasai uliwaona? Heche wa Tarime, Lema wa ArushaMikutano ipi hii yakusomba watu kwenye malori na kulazmisha wanafunz wa kata wakaijaze
Umeanza lini mchezo wa kunyonya "vyuma"
Kutokuwa na akili ni mzigo achana nae kichwa Cha taifa stars hicho( uendawazimu)
Hujui maandamano ya chadema watu walisombwa kutoka serengeti, morogoro, na wale wamasai uliwaona? Heche wa Tarime, Lema wa Arusha.
Kwahiyo kama cdm walifanya hivyo ndo na ccm waige huo ujingaHujui maandamano ya chadema watu walisombwa kutoka serengeti, morogoro, na wale wamasai uliwaona? Heche wa Tarime, Lema wa Arusha
Bila mbeleko ya dola ccm ni hakuna kitu..Ila kumbe chuki za raia dhidi ya CCM hazijaanza leo,
Hili goma lipigwe kila kona Machawa YachawikeeeWamepotelea wapi wenye courage namna hii? Hivi wasanii wa sasa wangekuwa na uwezo wa kuwachapa namna hii sii pengine kila mtu angeamka?
Ila kumbe chuki za raia dhidi ya CCM hazijaanza leo, ona vibe hilo wanaserebuka kwa raha zao.
View attachment 2886365
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Kapikie watoto utaachika we kisondokkoHuyu mvuta bangi, alikuwa anakunywa gongo sana
Mikutano inayotawaliwa na bodaboda waliolipwa elfu 15 kila mmoja na wanaccm waliosombwa kwa malori??Unafuatilia mikutano ya hadhara?