Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Katika historia ya vyama vingi nchini, uchaguzi wa Serikali za mitaa 2019 na uchauzi mkuu wa 2020 ulighubikwa na sintofahamu nyingi na kupelekea vyama vya upinzani kukosa uwakilishi wa kutosha...
0 Reactions
2 Replies
629 Views
Sisemi kwamba ni wakamilifu, lakini kwa matendo yao, wameonesha kuwa wanao uvumilivu mkubwa wa kisiasa, na hivyo ni sahihi au ilikuwa sahihi kwa wao kushika nafasi kubwa za kisiasa nchini...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi amekutana na Naibu Waziri wa Maliasili wa China Mhe. Sun Shuxian na ujumbe wake Ikulu Zanzibar tarehe: 28 Januari...
1 Reactions
3 Replies
457 Views
Kanda ya Ziwa wanapiga kelele kuhusu Makonda na namna anavyolazimisha kila mtu atii na kuongozana naye kwenye misafara. Pamoja na elimu za viongozi wakiwemo wakuu wa mikoa na wilaya bado wamekuwa...
6 Reactions
9 Replies
1K Views
Waziri wa Fedha pamoja na wasaidizi wako nataka niwashauri kuhusu kodi ya plate number binafsi [Majina kwenye plate Namba] za vyombo vya moto (Magari) kama tunataka kuongeza mapato huduma hiyo iwe...
0 Reactions
6 Replies
871 Views
Ziara ya katibu itikadi uenezi na mafunzo wa CCM siyo ya kubeza. Ziara hii ni karata muhimu Sana kwa Serikali. Nimeona watu wakitoa kero ya kupoteza wenzi wao kutokana na dhuluma ya Mali zao...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Kwa tunaofuatilia mikutano ya mwenezi wa CCM ndugu Makonda, tutakubaliana kuna shida kubwa sana kwenye Jeshi la Polisi. Kumekuwa na malalamiko ya watu kuporwa pesa na polisi, kumekuwa na shutuma...
7 Reactions
19 Replies
2K Views
•Lema ni mwanasiasa mzuri Sana lakini apunguze ego. • Lema afuate protocol za interview kumpa nafasi muongoza kipindi ili mahojiano yaende Kwa mtiririko unaofaa badala ya kutaka kuongea yeye tu...
24 Reactions
120 Replies
8K Views
Kwa kweli suala la watu kupigwa na maafsa ardhi au kuzungushwa ni suala mtambuka sana. Kazi konk back to back ya katibu muenezi, mjumbe wa sekretarieti cde Makonda inaibua hisia kali sana.wewe...
0 Reactions
0 Replies
442 Views
Habari zenu familia ya JF. Niende kwenye mada hapo juu. Naomba mwenye CV ya Mheshimiwa huyu. Kifupi ni Mbunge, jimbo sijui na ni mmoja wa wanakanati ya Bunge ya uchunguzi wa Almasi na Tanzanite...
1 Reactions
138 Replies
57K Views
Mkitaka Maendeleo mtu sahihi ni muhimu na lazima. Baada ya Wana Mbeya kumkacha na kumdamp Sugu na kuamua kwenda na Dr.Tulia Ackson(PhD) ambae ni Spika wa Bunge la JMT na Rais wa Mabunge...
6 Reactions
71 Replies
5K Views
Umewahi kumpigia kura mgombea tofauti na wa chama chako kwa kuwa unaona ana sifa bora za kuwa kiongozi kuliko wa chamani kwako? Au unampigia yule tu aliyesimamishwa na chama chako hata kama unaona...
0 Reactions
0 Replies
544 Views
Salaam ndugu yangu, Ilikuwa mwaka 2019 siku chache kabla ya Uchaguzi, Mzee mmoja aliyekuwa akigombea nafasi ya Uenyekiti alikuwa na ukaribu Mkubwa na mjomba wangu. Mgombea huyo ilikuwa hakosi...
5 Reactions
7 Replies
1K Views
Mbunge wa zamani wa Arusha juu ya Makonda inafikirisha sana na kuogofya. Nafikiri mh Lema anajiamini sana kupitiliza kwenye taifa linalo on ongozwa na ccm. Naomba tumsikilize kwa makini alafu...
18 Reactions
107 Replies
9K Views
Sisi veterans tunalishauri jeshi la polisi yafuatayo. Liache na kujitenga kutumika kisiasa Lijitathmini utendaji na utumishi wake kama linaishi kwa mujibu wa Katiba na Sheria inayoliunda...
0 Reactions
0 Replies
391 Views
Kama haya mambo yanafanywa na watu wa Serikali kunyanyasa wengine basi Kuna haja ya Tume ya Kimahakama. Kwa nini Baadhi ya Watumishi wa Umma na hasa Polisi Wanadhukumu Haki lakini hatua...
2 Reactions
29 Replies
3K Views
MAKONDA APOKELEWA KWA KISHINDO NA TABASAMU LENYE UPENDO KUTOKA KWA WANANCHI WA MASWA - SIMIYU Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndugu. Paul...
1 Reactions
7 Replies
949 Views
Narudia tena na tena kusema " Ni wajinga pekee ndio watazisifia drama za Makonda". Mtu anatumia billions of money kuzunguka Tanzania ilhali hana uwezo kimamlaka wa kutoa hata tone la maji kwa...
24 Reactions
71 Replies
4K Views
Nyuzi zangu zote huwa zinapotezwa, ukibaki huu, nauliza Mfumo ni nini? Ni Mazingira ya kuwasaidia walalahoi wainuke au ni mazingira ya kuchukua kila cha walalahoi?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Paul Makonda, Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndugu zangu Watanzania, Fahamu ya kuwa Ndugu Paul Makonda Katibu wa itikadi na uenezi wa CCM...
8 Reactions
161 Replies
7K Views
Back
Top Bottom