Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nimefuatilia Hotuba za viongozi karibu wote wa CCM na serikali wa sasa na wastaafu, sijasikia hata mmoja anayesema kwamba Lowassa aliwahi kuhamia Chadema na kugombea Urais kupitia Chama hicho...
25 Reactions
118 Replies
8K Views
Hii ndio Taarifa mpya ya sasa kutoka mkoani humo, kwamba baada ya Ratiba ya Maandamano ya awamu ya pili, ya kupinga Ugumu wa maisha na miswada mibovu ya sheria za uchaguzi kutangazwa na Katibu...
13 Reactions
70 Replies
5K Views
TUCTA Inawauza Wafanyakazi: Kikokotoo Kipya cha Mafao Kitawaumiza Wastaafu. Utangulizi: Hivi karibuni, yametokea maamuzi makubwa kuhusu hatima ya wafanyakazi nchini, tangu Mei Mosi, kuanzia...
20 Reactions
65 Replies
9K Views
Rais wangu bila kupepesa macho wala kuona haya wewe ndo chanzo cha matatizo ya umeme nchini yote haya yana baraka zako na chanzo ni wewe Mama aliingia akakuta shirika la TANESCO na umeme ulikua...
68 Reactions
195 Replies
11K Views
Ndio Taarifa zilizopo hapa Arusha Mjini ambapo safari ya Viongozi hao wakuu wanaotokea Mwanza inaratibiwa Chadema Arusha wamewashukuru Wana Mwanza kwa kumuenzi Lowassa kwa nyomi ya kihistoria...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Katiba inasema chama chochote kikifikisha asilimia 5 ya kura za Wabunge kwenye uchaguzi mkuu lazima kiteue wabunge wa Viti Maalum. Katiba haisemi kwamba uchaguzi mpaka ukiwa huru na haki ndiyo...
10 Reactions
113 Replies
10K Views
Habari. Mwaka jana kulivuja sauti ya wabunge wa CHADEMA Said Kubenea na Anthony Komu wakipanga njama za kumdhuru Boniface Jacob ili hatimae wafanikishe adhima yao ya kumng'oa Freeman Mbowe kwenye...
3 Reactions
29 Replies
5K Views
Sisi wapenzi wa umoja wa nchi yetu ya Tanzania tunasikitishwa sana na tabia ya CHADEMA kujitenga tenga. Mbowe, Lissu, Lema, Mdee kwanini huwa mnajitenga kwenye masuala ya kitaifa? Kwenye Corona...
9 Reactions
52 Replies
6K Views
Nchi yetu ina matatizo ya aina 2 1. Matatizo ya kimfumo ambayo haya chanzo kikuu ni Katiba 2. Matatizo ya kiasili ambayo haya msingi wake ni Ujinga na mada hii ni pana sana. Ili tuweze kupambana...
0 Reactions
18 Replies
882 Views
Umofia kwenu Tatizo kubwa la Afrika lilianzia pale wale waliopigania UHURU wa nchi hizi kujipa nafasi ya utakatifu na kuamua kujimilikisha nchi wao, jamaa zao na vizazi vyao. Uhuru wa nchi za...
4 Reactions
4 Replies
512 Views
Yaani nashangaa umeme bado ni kero kubwa sana kwetu sisi wananchi wa Tanzania. Tuliaminishwa kwamba kijana huyu mheshimiwa Waziri Biteko akiingia mgawo wa umeme utakuwa historia lakini mpaka muda...
7 Reactions
27 Replies
2K Views
Ni dhahiri CCM inajitambulisha zaidi kwa uovu kuliko wema, hekima na utu. Wanaoitwa wabunge wa CCM, asilimia 75, hawakuchaguliwa na wajumbe kwenye kura za maoni. Walitokea wapi, hakuna ajuaye...
4 Reactions
10 Replies
585 Views
Kwa miezi hii kadhaa niliyokaa nchini baada ya kuishi miaka ya ujana wangu takribani yote nje ya bara la Afrika, nimegundua kuwa waafrika ni watu wavumilivu sana. Hali hii sikuiona mahali pengine...
9 Reactions
13 Replies
1K Views
Heshima sana wanajamvi, Nimefuatilia mienendo ya msiba wa Mzee Lowassa kwa kiasi fulani na kubaini yafuatayo. Mosi, watawala baada ya kugundua wameshindwa kuwapatia wananchi umeme wa uhakika...
6 Reactions
12 Replies
2K Views
Kwa hali irivyo kwa sasa naona tuje na maandamano ya umeme na maji kwa hapa Daslam Tuna miezi miwili hatuna huduma ya maji umeme hatuuoni masaa mengi Mpaka unajiuriza kwani karemani arifanya...
0 Reactions
0 Replies
350 Views
Ili kunusuru Fedha za Wananchi kwa ajili ya Uchaguzi wa Madiwani wa Kata 23 ambao TUME ya UCHAGUZI imeutangaza naiomba TUME ya UCHAGUZI ifanye UTEUZI tu Kama Ilivyowateua Wabunge wa VITI MAALUM 19...
1 Reactions
1 Replies
550 Views
Kwa mujibu wa mtangazaji wa Star TV Aloyce Nyanda wiki iliyopita, usiku huu saa tatu na nusu kwenye kipindi anachokiendesha kiitwacho Agenda, atafanya mahojiono na Tundu Lissu. Iwapo hakutakuwa...
15 Reactions
74 Replies
6K Views
Najaribu kutafakari mabadiliko ya sheria ya uchaguzi, kisiasa na tume ya uchaguzi dhidi ya uchaguzi huru na haki, Najaribu kuoanisha na nguvu kubwa ya umma iliyo nyuma ya CHADEMA, Nazingatia pia...
0 Reactions
2 Replies
570 Views
Niseme kiukweli tupo kwenye majonzi mazito, misiba mbalimbali imetokea. lakini licha ya hayo bado kero ya umeme imezidi kushamiri na mfano mzuri nitukio la kukatika umeme pale karemjee wakati...
19 Reactions
61 Replies
4K Views
Mtoto wa Nyerere aunga mkono maandamano nchi nzima Andrew Nyerere mwanachama wa CCM akizungumza katika mkutano wa ndani wa CHADEMA , amkosoa makamu mwenyekiti wa CCM- Bara komredi Abdulrahman...
5 Reactions
27 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…