Mbowe alibadili gia angani 2015 akamleta mzee Lowassa na kumtosa Dkt. Slaa, CHADEMA waliafiki

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,978
141,996
Uchaguzi wa 2015 uliendeshwa kidikteta kwenye Vyama karibia vyote

Mbowe alibadili gia angani akamleta Lowassa wa CCM na Babu Duni wa CUF

Dkt. Slaa na Prof Lipumba ndio waliopinga na wakakaa pembeni tena Dr Slaa akampigia Kampeni Shujaa Magufuli

Anayesema leo kwamba alimpinga Lowassa ni mwongo kwa sababu aliyepaswa kupingwa ni mwenye Chama mzee Mtei aliyemleta Lowassa

Ashukuriwe hayati Mtume na Nabii TB Joshua aliyekuwa nchini kabla Matokeo hayajathibitishwa

Mlale Unono 😄😄🔥
 
Kubadili ' Gea angani' ..!Ndo ilikuwa mwanzo Wa CDM Kuanza Kusua sua mpaka hii Leo.

Na Hatuna hakika iwapo CDM itarudisha tena nguvu zile.

Sasa hivi hata wale Wabunge Kinamama 19 imewaSHNDWA, wanaendelea Kupeta.

Kosa Kubwa kucheza na GEA Angani.
 
Ule ulikuwa ni mpango wa kimkakati mbona mafuvu yenu ni magumu sana kuelewa.

Na ule mkakati ulifanikiwa sana sema ninyi si washindani CCM ni kundi la Majambazi.
 
Uchaguzi wa 2015 uliendeshwa kidikteta Kwenye Vyama karibia vyote

Mbowe alibadili gia angani akamleta Lowassa wa CCM na Babu Duni wa CUF

Dkt. Slaa na Prof Lipumba ndio waliopinga na wakakaa pembeni tena Dr Slaa akampigia Kampeni Shujaa Magufuli

Anayesema leo kwamba alimpinga Lowassa ni mwongo kwa sababu aliyepaswa kupingwa ni mwenye Chama mzee Mtei aliyemleta Lowassa

Ashukuriwe hayati Mtume na Nabii TB Joshua aliyekuwa nchini kabla Matokeo hayajathibitishwa

Mlale Unono 😄😄🔥
manyika ni mpotoshaji mtafuta kiki misibani nadhani apuuzwe tu inatosha 🐒

kubadili gia angani ni dynamics za kawaida sana in politics kulingana na muda na mazingira ya wakati huo. That one haikua shida 🐒

Tatizo ni upotoshaji wa kiwango wa KM manyika...

R.I.P Laigwanan comrade ENL
 
Ule ulikuwa ni mpango wa kimkakati mbona mafuvu yenu ni magumu sana kuelewa.

Na ule mkakati ulifanikiwa sana sema ninyi si washindani CCM ni kundi la Majambazi.
Tibaijuka: Kimfumo Mpinzani hawezi kutangazwa mshindi wa uRais
 
manyika ni mpotoshaji mtafuta kiki misibani nadhani apuuzwe tu inatosha

kubadili gia angani ni dynamics za kawaida sana in politics kulingana na muda na mazingira ya wakati huo. That one haikua shida

Tatizo ni upotoshaji wa kiwango wa KM manyika...

R.I.P Laigwanan comrade ENL

Mbowe hajawahi kuwa mpinzani wa CCM.

Mpinzani wa kweli ni LISSU
 
Back
Top Bottom