Mazishi ya Lowassa yanahitaji hotuba kama ya Malema kwa Winnie Mandela

Mbona CIC Mr.Malema hakuongelea chairman wa Chama chake cha EFF,aliyevuruga ndoa ya Mandela na Winnie?au alisahau hili
 
Hii hotuba imenipa goosebumps all over my body!

Huenda ndio maana CDM wamenyimwa nafasi kukwepa haya, na kiukweli kabisa tunahitaji mtu wa kuwanyoosha wanafiki wanaojikosha msibani kwa waliyemfanya dhalili enzi za uhai wake.
 
Inaelekea ccm wameamua kuifuta chapter ya lowassa CDM. HOPEFULLY im wrong lakini si kwa chuki hizi.
 
Hotuba ya Julius Malema kwenye msiba wa Winnie Mandela ilihitajika sana kwenye siku ya kumuaga Lowassa na ingependeza itolewe na mtu kama Tundu Lissu.

Msiba huu umedogoshwa ulipaswa kuwa mkubwa sana

Angalia hotuba ya Malema

View: https://youtu.be/ddZdiIYqOAg?feature=shared

MAPIGO 10 YA CCM KWA LOWASSA

Haikuwa Jambo rahisi kwa CCM kumshuhudia Kiongozi mkubwa ngazi (Waziri Mkuu) kukihama CCM na kujiunga na Chama cha upinzani CHADEMA.

Usiwaone leo CCM msibani wanalia na kupishana kutoa maneno mazuri kwa Mzee Lowassa ukajua hadi roho zao ni nzuri, HAPANA.

Ukiondoa vicheko, tabasamu na maneno matamu ya CCM wanapokuwa mbele ya kamera huwa wanaupande wa pili wa sura zao na roho zao.

Lowassa alishawahi kuziona sura halisi za CCM, tena waliokuwa Viongozi wenzie, marafiki,'family friends' na aliokuwa anakula na kuywa nao kila siku. Baada ya kugusa maslahi yao kwa kuihama CCM

Walimpiga mapigo haya

1. Pigo la kwanza,ilikuwa marafiki aliokuwa nao katika kambi yake ya CCM (safari ya matumaini) na waliomshawishi 'amwage mboga' kwa kuihama CCM.Baada ya Lowassa kutii ushauri wao.marafiki hao hawakuhama,wakabakia CCM.

2. Baada ya uchaguzi 2015, Serikali ya CCM ikamuondoa mtoto wa kike wa Lowassa ( Pamela ) aliyekuwa anafanya kazi BOT Makao makuu Dar es Salaam na kumpeleka BoT tawi la Arusha tena bila kupangiwa kazi yoyote.

3. Apiri 16,2016 Mkwe wa Edward Ngoyai Lowassa (Sioi Sumari) akafunguliwa mashitaka ya uhujumu uchumi na utakatishaji fedha $6M akakaa gerezani miaka

4. Haikutosha,Shamba la kufugia na kukuzia mifugo la Mzee Edward Ngoyai Lowassa lililopo Mkoani Tanga,Handeni likataka kuporwa na serikali lote,Waziri mmoja kutoka Baraza la mawaziri la Magufuli akashauri walimege nusu tu,badala ya kupora lote. Wakalichukua nusu.

4. Shamba lingine la Mzee Lowassa lilipo mkoani Tanga ,Loshoto likiwa linasafishwa na Bulldozer, Serikali wakazuia zoezi lisiendelee. wakampelekea Mzee Lowassa bill ya billion 10,kama malimbilizo ya kodi ya ardhi ya shamba lile.Mzee akalitema,Serikali wakalibeba.

5. Serikali ya CCM,pia wakamfuata Fred Lowassa (mtoto wa Kiume wa kwanza wa Mzee Lowassa) wakamlima kodi kupitia TRA kiasi cha zaidi ya Tsh billioni 5,katika biashara zake,wakazifunga akaunti zake binafsi na za biashara mpaka atakapolipa kodi zote.

6. Mzee Lowassa alikuwa anatibiwa na kuhudumiwa na Serikalini,kama Waziri Mkuu Mstaafu,ambapo alikuwa anaenda katika klinic ya matibabu nje ya nchi kila mwaka.

Lakini baada ya kuhamia CHADEMA wakafuta huduma hiyo Mzee Lowassa akawa anajihudumia mwenyewe kwa fedha zake ktk matibabu.

7. Mzee Lowassa alikuwa anaishi Dodoma maeneo ya Area D,katika nyumba za Serikali (TBA) Kama mpangaji na Mtanzania mwingine

(Ile nyumba ambayo alipokuwa CCM watu mbalimbali walikuwa wanaenda kumuomba agombee urais)

aliporwa ile nyumba na serikali ya CCM,kwa sasa nyumba ile amepewa Rais Hussein Mwinyi anaitumia kama makazi yake anapokuwa Dodoma.

8. Pigo jingine,mlinzi wa muda mrefu wa Mzee Lowassa Bw. Tendewa ambaye alikuwa siyo Mlmlinzi tu bali mtu wa karibu kwa miaka mingi sana.

alisimamishwa kazi punde baada ya Mzee Lowassa kuhamia CHADEMA tu akiwa amebakisha miezi 6 kustaafu utumishi wake, na akapoteza mafao yake yote.

9. Wafanyabiashara na marafiki wa Mzee Lowassa Dar na Arusha wakafilisiwa,wengine kutishwa mashitaka au kufuatiliwa na TISS kama bado wanamawasiliano na Lowassa (wakataka afe njaa)

10. MONDULI-Siku moja Serikali ilienda Mkoani Arusha,Monduli katika shamba la Mwekezaji (Mzungu) wakiamini ni Shamba la Mzee Lowassa wakalitaifisha na kisha wakaligawa kwa Wanakijiji kumkomoa Mzee Lowassa.
lakini halikuwa shamba lake bali la Mwekezaji wa miaka mingi

Wakahakikisha pale Monduli wanaondoa heshima ya Mzee Lowassa kwa kuweka DC atakayekuwa anamdhalilisha Mzee Lowassa, wakahamisha Mbunge na Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Monduli kutoka CHADEMA kuhamia CCM ilikufuta kabisa legacy ya Mzee Lowassa.

Mwisho
Mapigo yote haya hayakumfanya Mzee Lowassa Kupiga magoti kwa serikali ya CCM au kurudi CCM.

kwa muda wa miaka 4,kuanzia 28-07-2015 alipohamia CHADEMA hadi tarehe 28 -02- 2019 alikuwa ni mtu mwenye msimamo mkali sana usiotetereka.

01/03/2019 Lowassa alirudi CCM ili kumnusuru rafiki yake kipenzi ROSTAM AZIZI ambaye alipigwa mapigo mawili tu na serikali ya CCM

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi ninaomba kujua uhusiano wake Kwenye sakata la Richmond
 
Ila CCM ina wanafiki jamani!
Leo hii wanamsifia Lowasa! Hivi kweli jamani! Hadi wengine wanasema bado alikuwqa rafili yake!
CCM ndio wenye hati miliki ya unafiki duniani baada ya 'yule mwovu'!
 
Ila Fred ameonyesha utulivu wa hali ya juu huku akionyesha positivity ingawa anaonekana ndani kunawaka moto
 
Mapigo hatari sana!

Maoni yangu, hawa wazee wamekaa madarakani tena kwenye nafasi kubwa kwa muda mrefu, walishindwa nini kuunda Katiba bora inayowafaa Watanzania wote bila kujali vyama vyao ama nafasi zao kisiasa?

Ndiposa ninakuwa na moyo mzito kuwahurumia inapotokea sheria, kanuni na taratibu walizotumia kujineemesha, zikiwageuka na kuwa mwiba mkali kwenye ngozi zao wenyewe.

Ikumbukwe, madaraka ni koti la kuazima
 
Ila Fred ameonyesha utulivu wa hali ya juu huku akionyesha positivity ingawa anaonekana ndani kunawaka moto
Ukizaa mtoto wa kiume akawa na akili na kujua wajibu wake, honestly huwa inaleta raha sana. Kama mzaz huwa hata hofu ya kifo huondoka huogopi kabusa kwakujua nina jembe. The vice versa is true,kuwa na mtoto wa kiume halaf hajielewi wala hajitambui, huwa inauma sanaa
 
MAPIGO 10 YA CCM KWA LOWASSA

Haikuwa Jambo rahisi kwa CCM kumshuhudia Kiongozi mkubwa ngazi (Waziri Mkuu) kukihama CCM na kujiunga na Chama cha upinzani CHADEMA.

Usiwaone leo CCM msibani wanalia na kupishana kutoa maneno mazuri kwa Mzee Lowassa ukajua hadi roho zao ni nzuri, HAPANA.

Ukiondoa vicheko, tabasamu na maneno matamu ya CCM wanapokuwa mbele ya kamera huwa wanaupande wa pili wa sura zao na roho zao.

Lowassa alishawahi kuziona sura halisi za CCM, tena waliokuwa Viongozi wenzie, marafiki,'family friends' na aliokuwa anakula na kuywa nao kila siku. Baada ya kugusa maslahi yao kwa kuihama CCM

Walimpiga mapigo haya

1. Pigo la kwanza,ilikuwa marafiki aliokuwa nao katika kambi yake ya CCM (safari ya matumaini) na waliomshawishi 'amwage mboga' kwa kuihama CCM.Baada ya Lowassa kutii ushauri wao.marafiki hao hawakuhama,wakabakia CCM.

2. Baada ya uchaguzi 2015, Serikali ya CCM ikamuondoa mtoto wa kike wa Lowassa ( Pamela ) aliyekuwa anafanya kazi BOT Makao makuu Dar es Salaam na kumpeleka BoT tawi la Arusha tena bila kupangiwa kazi yoyote.

3. Apiri 16,2016 Mkwe wa Edward Ngoyai Lowassa (Sioi Sumari) akafunguliwa mashitaka ya uhujumu uchumi na utakatishaji fedha $6M akakaa gerezani miaka

4. Haikutosha,Shamba la kufugia na kukuzia mifugo la Mzee Edward Ngoyai Lowassa lililopo Mkoani Tanga,Handeni likataka kuporwa na serikali lote,Waziri mmoja kutoka Baraza la mawaziri la Magufuli akashauri walimege nusu tu,badala ya kupora lote. Wakalichukua nusu.

4. Shamba lingine la Mzee Lowassa lilipo mkoani Tanga ,Loshoto likiwa linasafishwa na Bulldozer, Serikali wakazuia zoezi lisiendelee. wakampelekea Mzee Lowassa bill ya billion 10,kama malimbilizo ya kodi ya ardhi ya shamba lile.Mzee akalitema,Serikali wakalibeba.

5. Serikali ya CCM,pia wakamfuata Fred Lowassa (mtoto wa Kiume wa kwanza wa Mzee Lowassa) wakamlima kodi kupitia TRA kiasi cha zaidi ya Tsh billioni 5,katika biashara zake,wakazifunga akaunti zake binafsi na za biashara mpaka atakapolipa kodi zote.

6. Mzee Lowassa alikuwa anatibiwa na kuhudumiwa na Serikalini,kama Waziri Mkuu Mstaafu,ambapo alikuwa anaenda katika klinic ya matibabu nje ya nchi kila mwaka.

Lakini baada ya kuhamia CHADEMA wakafuta huduma hiyo Mzee Lowassa akawa anajihudumia mwenyewe kwa fedha zake ktk matibabu.

7. Mzee Lowassa alikuwa anaishi Dodoma maeneo ya Area D,katika nyumba za Serikali (TBA) Kama mpangaji na Mtanzania mwingine

(Ile nyumba ambayo alipokuwa CCM watu mbalimbali walikuwa wanaenda kumuomba agombee urais)

aliporwa ile nyumba na serikali ya CCM,kwa sasa nyumba ile amepewa Rais Hussein Mwinyi anaitumia kama makazi yake anapokuwa Dodoma.

8. Pigo jingine,mlinzi wa muda mrefu wa Mzee Lowassa Bw. Tendewa ambaye alikuwa siyo Mlmlinzi tu bali mtu wa karibu kwa miaka mingi sana.

alisimamishwa kazi punde baada ya Mzee Lowassa kuhamia CHADEMA tu akiwa amebakisha miezi 6 kustaafu utumishi wake, na akapoteza mafao yake yote.

9. Wafanyabiashara na marafiki wa Mzee Lowassa Dar na Arusha wakafilisiwa,wengine kutishwa mashitaka au kufuatiliwa na TISS kama bado wanamawasiliano na Lowassa (wakataka afe njaa)

10. MONDULI-Siku moja Serikali ilienda Mkoani Arusha,Monduli katika shamba la Mwekezaji (Mzungu) wakiamini ni Shamba la Mzee Lowassa wakalitaifisha na kisha wakaligawa kwa Wanakijiji kumkomoa Mzee Lowassa.
lakini halikuwa shamba lake bali la Mwekezaji wa miaka mingi

Wakahakikisha pale Monduli wanaondoa heshima ya Mzee Lowassa kwa kuweka DC atakayekuwa anamdhalilisha Mzee Lowassa, wakahamisha Mbunge na Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Monduli kutoka CHADEMA kuhamia CCM ilikufuta kabisa legacy ya Mzee Lowassa.

Mwisho
Mapigo yote haya hayakumfanya Mzee Lowassa Kupiga magoti kwa serikali ya CCM au kurudi CCM.

kwa muda wa miaka 4,kuanzia 28-07-2015 alipohamia CHADEMA hadi tarehe 28 -02- 2019 alikuwa ni mtu mwenye msimamo mkali sana usiotetereka.

01/03/2019 Lowassa alirudi CCM ili kumnusuru rafiki yake kipenzi ROSTAM AZIZI ambaye alipigwa mapigo mawili tu na serikali ya CCM

Sent using Jamii Forums mobile app
duuh hatari sanaa!tuambie mapigo ya rostam kaka!!
 
Daah hatar sana, vipi baada ya kurudi CCM alirudishiwa Mali zake alizoporwa?
 
Ila CCM ina wanafiki jamani!
Leo hii wanamsifia Lowasa! Hivi kweli jamani! Hadi wengine wanasema bado alikuwqa rafili yake!
CCM ndio wenye hati miliki ya unafiki duniani baada ya 'yule mwovu'!
Hahaha. Kuna UVCCM Mmoja jana alipiga magoti mbele ya jeneza pumbavu sana yule. Yaani watt na familia yake hawajapiga goti yule mpumbavu wa uvccm anapiga magoti kama nani? Uchawa hadi msibani?
 
Back
Top Bottom