Paul Makonda ni kipimo cha weledi mdogo wa viongozi wakuu wa nchini

fazili

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
13,819
18,556
Tusizungumze mengi sana twende tu moja kwa moja kwenye pointi ninayotaka kusema.

1. Paul Makonda elimu yake inatiliwa mashaka.
2. Paul Makonda alifanya mambo yasiyo na weledi wa kiuongozi alipokuwa mkuu wa mkoa wa Dar, mojawapo ni kuvamia kituo na redio cha Clounds FM, kuwaweka chini ya ulizi watangazaji, na kukifungia bila kufuata utaratibu.
3. Huyu mtu aliwahi kupigwa ban kuingia Marekani kwasababau ya rekodi yake mbaya ya haki za binadamu
4. Paul Makonda amewatukana na kuwakejeli watu wengi
5. Makonda amekuwa mropokaji mkubwa, asiye na tahadhari katika matamshi yake
6. Makonda hata Magufuli mwenyewe alimtupa baada ya kuona hafai akamwondoa ukuu wa mkoa
7. Ndio huyu Makonda aliyeibua matamshi yenye hisia za kikabila wakati wa kifo cha Reginald Mengi
8. Makonda amehusishwa na kashfa la makontena 20 bandarini wakati wa Magufuli na kuwekwa kando
9. Makonda amewahi kuonekana akitaka kumpiga waziri mkuu mstaafu Joseph Sinde Warioba katika picha
10. Ni huyu Makonda hata baada ya kuwa mwenezi wa CCM ameonekana akiwapangia majukumu kuanzia waziri mkuu, mawaziri na wakuu wengine wa nchi na akiamini kuwa ana uwezo wa kufanya hivyo
11. Makonda sio tu kwamba ana majivuno, dharau, roho mbaya na uchongezi, bali ni mtu mwenye ujinga mkubwa huku akiamini kuwa ndio bora zaidi ya kila mtu.
12. Makonda amehusishwa na kuteswa na kupotea kwa watu wengi nchini wakati wa Magufuli na anahusishwa kwa karibu na nusu kifo cha Tundu Lissu.

Binafsi namchukulia Makonda kama kipimo cha ujinga wa wakuu wake na ishara kuwa chama tawala kimedhamiria kufanya siasa chafu zisizo na manufaa kwa watanzania kwa kupitia Makonda.
 
Ukiangalia vile wanaCCM wanabebana na kufichiana maovu, hainiingii akilini eti waliamua kumuwajibisha Lowassa kwa maslahi ya wananchi.

Ingekuwa CCM inawapenda wananchi hivyo, leo Makonda asingekuwa anazurura na magari huku na kule kukisemea chama.
 
Tusizungumze mengi sana twende tu moja kwa moja kwenye pointi ninayotaka kusema.

1. Paul Makonda elimu yake inatiliwa mashaka.
2. Paul Makonda alifanya mambo yasiyo na weledi wa kiuongozi alipokuwa mkuu wa mkoa wa Dar, mojawapo ni kuvamia kituo na redio cha Clounds FM, kuwaweka chini ya ulizi watangazaji, na kukifungia bila kufuata utaratibu.
3. Huyu mtu aliwahi kupigwa ban kuingia Marekani kwasababau ya rekodi yake mbaya ya haki za binadamu
4. Paul Makonda amewatukana na kuwakejeli watu wengi
5. Makonda amekuwa mropokaji mkubwa, asiye na tahadhari katika matamshi yake
6. Makonda hata Magufuli mwenyewe alimtupa baada ya kuona hafai akamwondoa ukuu wa mkoa
7. Ndio huyu Makonda aliyeibua matamshi yenye hisia za kikabila wakati wa kifo cha Reginald Mengi
8. Makonda amehusishwa na kashfa la makontena 20 bandarini wakati wa Magufuli na kuwekwa kando
9. Makonda amewahi kuonekana akitaka kumpiga waziri mkuu mstaafu Joseph Sinde Warioba katika picha
10. Ni huyu Makonda hata baada ya kuwa mwenezi wa CCM ameonekana akiwapangia majukumu kuanzia waziri mkuu, mawaziri na wakuu wengine wa nchi na akiamini kuwa ana uwezo wa kufanya hivyo
11. Makonda sio tu kwamba ana majivuno, dharau, roho mbaya na uchongezi, bali ni mtu mwenye ujinga mkubwa huku akiamini kuwa ndio bora zaidi ya kila mtu.
12. Makonda amehusishwa na kuteswa na kupotea kwa watu wengi nchini wakati wa Magufuli na anahusishwa kwa karibu na nusu kifo cha Tundu Lissu.

Binafsi namchukulia Makonda kama kipimo cha ujinga wa wakuu wake na ishara kuwa chama tawala kimedhamiria kufanya siasa chafu zisizo na manufaa kwa watanzania kwa kupitia Makonda.
Mambo yanabadilika,
ukitaka kumwelezea Makonda mwelezee Makonda wa sasa 🐒

mengine ni story na porojo tu 🐒

viva comrade Makonda viva 💪🐒
 
Nadhan jomba kama alikuwa na makandokando hayo zama hizo, basi inawezekana amejirekebisha..Makonda huyu wa Sasa tunayemuona ni mtetezi wa wanyonge...ukitaka kujua uliza wananchi wanaonaje..usiwe mjinga ikabaki na ma assumption yako ya miaka 47 jomba..jua Sasa umeshapitwa na wakati
 
Wanyonge hawawezi kukuelewa juu ya Makonda.

Makonda ametetea na kunusuru haki za wanyonge wengi wasio na sauti.

Makonda amekuwa sauti ya wanyonge walio teseka, walio nyanyasika, walio minywa, walio zibwa midomo..........

Alipigwa bani kwa kuukataaa Ushoga....naamini watetezi wa ushoga na mashoga hawatompenda Makonda.
 
Huu nadhan ni utumbo tuu...tafuta takwimu halisi then u conclude..una data?? Unaweza thibitisha mahakamani hizi habari zako..acha uhuni bana
 
Wewe kama mtanzania umewahi kujiuliza unanufaika vipi na ubadhirifu wa ccm na kukaa kwao madarakani miaka zaidi ya 60 sasa? Hivi kweli unamkubali Makonda wewe? Kama ndio utakuwa ni mtu asiyependa haki na/au mjinga sana.
 
Nadhan jomba kama alikuwa na makandokando hayo zama hizo, basi inawezekana amejirekebisha..Makonda huyu wa Sasa tunayemuona ni mtetezi wa wanyonge...ukitaka kujua uliza wananchi wanaonaje..usiwe mjinga ikabaki na ma assumption yako ya miaka 47 jomba..jua Sasa umeshapitwa na wakati
Nimeshakupata, wewe ni wale watanzania typical, huwa hawajui sana na hawawezi kutenganisha uzuri na ubaya kwani wapo kwenye kuvurugwa sana na wanaishi kwenye hali ngumu kiasi kwamba wameshapoteza vigezo vya uzuri au ubaya wa mtu. Tuna kazi kubwa nchi hii.
 
Wanyonge hawawezi kukuelewa juu ya Makonda.

Makonda ametetea na kunusuru haki za wanyonge wengi wasio na sauti.

Makonda amekuwa sauti ya wanyonge walio teseka, walio nyanyasika, walio minywa, walio zibwa midomo..........

Alipigwa bani kwa kuukataaa Ushoga....naamini watetezi wa ushoga na mashoga hawatompenda Makonda.
Hivi kwanini nyie watu mnashindwa kuona kwamba huu ni mchezo wa kuigiza wa ccm?!
 
Tusizungumze mengi sana twende tu moja kwa moja kwenye pointi ninayotaka kusema.

1. Paul Makonda elimu yake inatiliwa mashaka.
2. Paul Makonda alifanya mambo yasiyo na weledi wa kiuongozi alipokuwa mkuu wa mkoa wa Dar, mojawapo ni kuvamia kituo na redio cha Clounds FM, kuwaweka chini ya ulizi watangazaji, na kukifungia bila kufuata utaratibu.
3. Huyu mtu aliwahi kupigwa ban kuingia Marekani kwasababau ya rekodi yake mbaya ya haki za binadamu
4. Paul Makonda amewatukana na kuwakejeli watu wengi
5. Makonda amekuwa mropokaji mkubwa, asiye na tahadhari katika matamshi yake
6. Makonda hata Magufuli mwenyewe alimtupa baada ya kuona hafai akamwondoa ukuu wa mkoa
7. Ndio huyu Makonda aliyeibua matamshi yenye hisia za kikabila wakati wa kifo cha Reginald Mengi
8. Makonda amehusishwa na kashfa la makontena 20 bandarini wakati wa Magufuli na kuwekwa kando
9. Makonda amewahi kuonekana akitaka kumpiga waziri mkuu mstaafu Joseph Sinde Warioba katika picha
10. Ni huyu Makonda hata baada ya kuwa mwenezi wa CCM ameonekana akiwapangia majukumu kuanzia waziri mkuu, mawaziri na wakuu wengine wa nchi na akiamini kuwa ana uwezo wa kufanya hivyo
11. Makonda sio tu kwamba ana majivuno, dharau, roho mbaya na uchongezi, bali ni mtu mwenye ujinga mkubwa huku akiamini kuwa ndio bora zaidi ya kila mtu.
12. Makonda amehusishwa na kuteswa na kupotea kwa watu wengi nchini wakati wa Magufuli na anahusishwa kwa karibu na nusu kifo cha Tundu Lissu.

Binafsi namchukulia Makonda kama kipimo cha ujinga wa wakuu wake na ishara kuwa chama tawala kimedhamiria kufanya siasa chafu zisizo na manufaa kwa watanzania kwa kupitia Makonda.
Kweli kabisa.
 
kitu pekee ambacho hakitiliwi mashaka kwa bashite ni "KIBURI, dharau na ignorance", hivyo watu wana uhakika 100% anavyo bila shaka yeyote, ila mengine yote iwe elimu, uongozi n.k yanatiliwa mashaka.
 
Back
Top Bottom