Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Chalamila kuwa makini sana na kujiingiza kwenye mambo marefu kuliko wewe. Kwenye hili la maamndanano kaa pembeni hizi sio zama za Magufuli. Hizi ni zama za uwekezaji, watalii, majirani kutumia...
3 Reactions
31 Replies
3K Views
Wanaccm wote wamesema kuanzisha Shule za Kata ni Ubunifu wa Lowasa Basi tumuenzi kwa kuziita Shule za Lowasa Kwa mfano Shule ya Lowasa Mtakuja Kunduchi
0 Reactions
0 Replies
425 Views
Edward Ngoyai Lowasa ameondoka. Yuko mahali salama pasipo na mgao wa umeme wala usanii wa treni za umeme. Amepumzika baada ya kazi ngumu. Anapokufa mtu mzito kama Lowassa, kuna makundi matatu...
19 Reactions
17 Replies
3K Views
Habari wanaJF, Watu 14 wanaodhaniwa kuwa Raia wa Burundi wamekamatwa nyumbani kwa Mbunge wa Jimbo la Kiteto, Manyara wakiwa wanafanyakazi kwa Mbunge huyo.
1 Reactions
123 Replies
31K Views
Moja kwa moja kwenye mada. Hatimaye Beberu USA ameirejesha tena Tanzania kwenye mpango wa kufaidi pesa za ruzuku(grants) kupitia programu ya "Millennium Challenge Corporation" -MCC ambapo...
8 Reactions
105 Replies
6K Views
Naomba ufafanuzi juu ya hili swala la deni la taifa. Hivi kuongezeka kwa deni la taifa Kuna athari kwa nchi au wananchi?
1 Reactions
3 Replies
733 Views
Masikini Mh Edward Ngoyai Lowassa, mwanasiasa machachari tuliyemjua kwa miaka mingi, ametangulia mbele za haki. Si vizuri kumuongelea vibaya marehemu, lakini hata Rais Mwinyi aliwahi kusema...
36 Reactions
223 Replies
17K Views
Maandamano DSM ilikuwa hususani kupinga miswada ya sheria ya uchaguzi kuendelea bungeni lakini iliendelea. Mwanza CHADEMA 15/2/2024 tunaandama kwa lipi?
5 Reactions
40 Replies
2K Views
Hello mwanaJF kila ninapopata nafasi nitakujuza mambo ya hovyo ambayo hufanyika serikalini na wengi wetu hatufahamu. Wengi tunafahamu zaidi kuhusu matokeo na sio chanzo. Wengi wetu hudhani kwamba...
9 Reactions
26 Replies
2K Views
Mwaka 2015 ulikuwa mwaka wa uchaguzi hapa Tanzania. Wagombea walikuwa ni wengi lakini wakubwa walikuwa ni MH Lowasa na Magufuli. Nilishangazwa sana na kauli za mh Kikwete kuwa CCM Wana uhakika wa...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
+255 katiba mpya okoa bandari ugumu wa maisha miswada mitatu Kunyimwa pilau na kuongea kwenye msiba
0 Reactions
1 Replies
506 Views
Rais mstaafu Jakaya Kikwete kwenye shughuli ya kuaga mwili wa hayati Edward Lowassa kwenye viwanja vya Karimjee, “TUMSHUKURU Mwenyezi Mungu kwa muda aliotupatia wa kuishi na kuhudumiwa na ndugu...
3 Reactions
84 Replies
7K Views
Kwa muda mrefu watanzania wamekuwa wakipiga kelele kuhusu mkataba unaoitwa wa kinyonyaji wa Richmond.lakini jambo la kushangaza ni kuwa Tanesco imeingia mikataba ya kinyonyaji mingi tu na mingine...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Ni katika kuitafuta haki, kuondoa fitina, majungu au habari zisizo na mshiko na za kusadikikasadikika. 1. Ufisadi wa Richmond ukoje? Je tunaupembua kama rushwa, kukiukwa sheria & taratibu za...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari zenu wanaJF wenzangu Kwanza natoa pole kwa familia ya mzee wetu hayati Edward Lowasa kwa kuondokewa na kipenzi chao, natoa pole pia kwa watanzania wenzangu kwa kuondokewa na aliewahi kuwa...
7 Reactions
56 Replies
4K Views
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema mh Boniface Jacob amesema msafara mkubwa sana wa Viongozi na Wanachama wa Chadema uko njiani kuelekea Mwanza tayari kabisa kwa Maandamano ya kesho Picha zitawajia...
5 Reactions
35 Replies
3K Views
Wakuu heshima kwenu. Poleni na msiba mkubwa sana wa kitaifa wenye historia kubwa hapa JamiiForums. Nipende kuwakumbusha kuwa akiwa ziarani Iringa ndugu Makonda alikutana na KERO ya wafanyakazi...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Asalaaam Aleykum Warrahmatullahi Wabarakattuhu. Ndugu Wa Tanzania. Ndege ya Rais Ndugu John Pombe Magufuli imetinga Geneva Uswisi masaa 24 yaliyopita. Commander in Chief (NDUGU MAGUFULI) kama...
1 Reactions
223 Replies
44K Views
Rais amefanya teuzi zifuatazo: 1. Dkt. Thomas Nestory Bwana kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI) Kabla ya uteuzi huu Dkt. Bwana alikuwa Mkurugenzi Msaidizi...
9 Reactions
64 Replies
13K Views
Tofauti na zamani nilivyokuwa nadhani nimekuja kugundua kuwa wanasiasa wa Tanzania nao wanakariri maisha kama vile mwanafunzi wa kidato cha kwanza anavyokariri masomo shuleni. Ni wazi kwamba...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom