Makonda: Kuna watu hawakumuona Mzee Lowassa wakati anaumwa, leo hii amefariki wanajifanya walikuwa pamoja

RWANDES

JF-Expert Member
Jun 12, 2019
1,615
3,909
Katibu mwenezi Wa CCM amewatolea uvivu watu wanafiki wanaojifanya kuwa walikuwa karibu na Lowassa huku wakati anaumwa hakuna aliyefika hata hospitali kumjulia Hali.

Amenena maneno hayo akiwa ziarani mkoani Mtwara katika shughuli za chama.

Amesema kwamba yeye hamungunyi maneno na kweli itakuweka huru kwamba badhi ya watanzania ni wanafiki hasa wale waliokuwa na ukaribu na kiongozi huyo enzi za uhai wake.

"Tuache unafiki kuna wengine wanajiita marafiki wa Lowassa na hawakwenda kumuona halafu baada ya kufariki wanajifanya wao marafiki zake lakini hawakujitokeza waache kumsemea mtu mazuri baada ya kufa"

Katibu mwenezi Wa ccm amewatolea uvivu watu wanafiki wanaojifanya kuwa walikuwa karibu na lowasa huku wakati anaumwa hakuna aliyefika hata hospitali kumjulia Hali .
Amenena maneno hayo akiwa ziarani mkoani mtwara katika shughuli za chama.
Amesema kwamba yeye hamungunyi maneno na kweli itakuweka huru kwamba badhi ya watanzania NI wanafiki hasa wale waliokuwa na ukaribu na kiongozi huyo enzi za uhai wake.
Mpeni ukurugenzi wa bendi ya TOT Taarab huyu ndugu yenu. Naamini itamfaa sana. Wanaume hatuna gubu kama huyu dogo aisee!
 
Katibu mwenezi Wa CCM amewatolea uvivu watu wanafiki wanaojifanya kuwa walikuwa karibu na Lowassa huku wakati anaumwa hakuna aliyefika hata hospitali kumjulia Hali.

Amenena maneno hayo akiwa ziarani mkoani Mtwara katika shughuli za chama.

Amesema kwamba yeye hamungunyi maneno na kweli itakuweka huru kwamba badhi ya watanzania ni wanafiki hasa wale waliokuwa na ukaribu na kiongozi huyo enzi za uhai wake.

"Tuache unafiki kuna wengine wanajiita marafiki wa Lowassa na hawakwenda kumuona halafu baada ya kufariki wanajifanya wao marafiki zake lakini hawakujitokeza waache kumsemea mtu mazuri baada ya kufa"

View attachment 2901826
BASHITE katika ubora wake
 
Kwa hiyo anagombea msiba? Huyu jamaa ni taahira kabisa.
 
Back
Top Bottom