Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ziara za Makonda zimebainisha kwamba Mahakama sio chombo Cha kupata Haki Kwa maskini ambao hawana pesa sana sana itahalalisha dhuluma kwao. Kiufupi Makonda anasema Mahakama inauza Haki Kwa wenye...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Wadau kama Mtakumbuka Mara baada ya kuteuliwa kuwa Waziri wa Ardhi Jerry Silaa alitangaza kuwa anataka atumiwe orodha ya Petrol stations zote nchi nzima. MAKAMISHA wasaidizi wa Ardhi Mikoa yote...
1 Reactions
1 Replies
603 Views
Mtu akila utasikia namshukuru rais kwakuwezesha mdomo wangu kufunguka mtu, hata kama atavuka bara bara utasikia. Anasema namshukuru rais kaniwezesha kuvuka bara bara salama sifa sifa...
8 Reactions
11 Replies
756 Views
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Ndg. Ridhiwani Kikwete amewaonya watumishi na waratibu wa mradi wa kuondoa umaskini (TASAF) kuhusu matumizi mabaya ya pesa za mradi na...
1 Reactions
1 Replies
731 Views
Rais Kikwete amesema rais ajae atakuwa bora zaidi na anatamani muda wake uishe haraka akachunge ng'ombe. RAIS Jakaya Kikwete amesema mfumo unaotumika Tanzania ambako Rais anatumikia nafasi...
1 Reactions
121 Replies
12K Views
Raphael Chegeni amemweleza Mkuu wa Kanisa la KKKT baba askofu Dr Malasusa kwamba kama isingekuwa Ajali mbalimbali za kisiasa mzee Lowassa angeendelea Kuishi. Chegeni amesema Lowassa hakuwahi kuwa...
10 Reactions
59 Replies
5K Views
Tukiwa katika kuomboleza kifo cha Ndugu Edward Lowasa, na kwa kuzingatia mchango wake katika kulijenga taifa vis a vis matarajio ya watanzania na dunia kwa ujumla; Na kwa kuzingatia michango ya...
2 Reactions
15 Replies
942 Views
Safi sana. Mimi binafsi nampongeza kwa kujitafuta na mwishowe kujipata. Kuwa yeye kipaji chake ni uigizaji. Kwa kweli tumtie moyo kwa kuamua kuwa muigizaji. Ni jambo jema. Hiyo kada imewatoa watu...
20 Reactions
46 Replies
3K Views
Paul Makonda, Mwenezi wa CCM akiwa anazunguka nchi nzima kwa misafara mirefu kuliko kiongozi yeyote na kusikiliza kero na kuwalalamikia CCM wenzake kwa kutofanya kazi. Mwanzo alianza na...
16 Reactions
94 Replies
7K Views
Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania mama Samia Suluhu Hasssan mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa...
5 Reactions
50 Replies
3K Views
Baada ya maandamano ya Chadema Dar kushindwa kufana kama ilivyotakiwa, sababu kubwa ilisemwa ni taarifa kushindwa kuwafikia wananchi kwa wakati. Hili tatizo haliwezi kujitokeza tena Mwanza...
2 Reactions
5 Replies
811 Views
Update14 February;baada ya mwezi kuanza kuranguliwa wananchi sukari.. Je mkoa ulipo sukari kilo shs ngapi?!! Hoja kuu: Kwenye uchumi wowote hupimwa kwa mfumko wa bei(inflation rate) wa bidhaa...
37 Reactions
69 Replies
5K Views
Wanajamvi ni swali tu sijamuona muda mrefu mwanasheria nguli huyu si sehemu za furaha au misiba haonekani Anajua alipo atujuze.
2 Reactions
15 Replies
2K Views
"Hospitali za Serikali kuacha jukumu lake la msingi na kuanza kufanya kazi za anasa kama kuongeza ukubwa wa makalio badala ya kujishughulisha kikamilifu kutibu maradhi yanayosumbua wananchi, tunao...
16 Reactions
53 Replies
6K Views
Chalamila kuwa makini sana na kujiingiza kwenye mambo marefu kuliko wewe. Kwenye hili la maamndanano kaa pembeni hizi sio zama za Magufuli. Hizi ni zama za uwekezaji, watalii, majirani kutumia...
3 Reactions
31 Replies
3K Views
Wanaccm wote wamesema kuanzisha Shule za Kata ni Ubunifu wa Lowasa Basi tumuenzi kwa kuziita Shule za Lowasa Kwa mfano Shule ya Lowasa Mtakuja Kunduchi
0 Reactions
0 Replies
425 Views
Edward Ngoyai Lowasa ameondoka. Yuko mahali salama pasipo na mgao wa umeme wala usanii wa treni za umeme. Amepumzika baada ya kazi ngumu. Anapokufa mtu mzito kama Lowassa, kuna makundi matatu...
19 Reactions
17 Replies
3K Views
Habari wanaJF, Watu 14 wanaodhaniwa kuwa Raia wa Burundi wamekamatwa nyumbani kwa Mbunge wa Jimbo la Kiteto, Manyara wakiwa wanafanyakazi kwa Mbunge huyo.
1 Reactions
123 Replies
31K Views
Moja kwa moja kwenye mada. Hatimaye Beberu USA ameirejesha tena Tanzania kwenye mpango wa kufaidi pesa za ruzuku(grants) kupitia programu ya "Millennium Challenge Corporation" -MCC ambapo...
8 Reactions
105 Replies
6K Views
Naomba ufafanuzi juu ya hili swala la deni la taifa. Hivi kuongezeka kwa deni la taifa Kuna athari kwa nchi au wananchi?
1 Reactions
3 Replies
733 Views
Back
Top Bottom