MLIMAWANYOKA
JF-Expert Member
- Oct 25, 2019
- 487
- 1,633
Tumeona ziara ya Comrade Makonda MNEC na mwenezi wa CCM Taifa maeneo mengi ya nchi.
Hata tuliokuwa tuna muona Makonda kama muhalifu (mwenye kudhulumu haki ya kuishi) sasa tuna muona shujaa.
Ukiachana na kuwa watu wengi wana angalia vi clip ambapo vinaonesha jinsi anavyo tatua migogoro kwa ufanisi papo kwa papo, lakini ukifuatilia mikutano yake uta baini ajenda zake hizi pia.
1.Na yeye ni chawa wa mama, ana jitafutia nafasi ya juu zaidi. Anajikomba komba. Ila anawasema wenzake.
2. Ana jijenga yeye, muda wote ana jisifia yeye.. Kauli zake ni kama Makonda kaletwa na Mungu. bila makonda msingejua haya, walifanya makosa kunipa Uenezi, Watu wana taka kuniua, Watumishi wazembe wakisikia Makonda wana tetemeka.
Jamaa ni so grandiose
3. Anacheza ngoma ya wapinzani, kuwavuta kwenye mijadala yake, hasa Tundu Lisu. nawapongeza walivyo mpuuza. Muda mwingi ana tumia kuwapiga Vijembe.
4. Makonda ni yule yule, mwenye uadui na visasi. Mara zote analaumu kuwa ilikuwa ale shavu muda mrefu, ila kila jina lake likipelekwa kwa mama kuna watu wana fungua kesi kuwa eti kadhulumu nyumba (nadhani anamsema boss wa Yanga). "Nmekaa miaka mitatu nje ya mfumo, walikuwa na nafasi ya kunimaliza, sasa hawaniwezi"
TURUDI KWENYE MFUPA MGUMU JIJINI MBEYA
Kulikuwa na mambo kadhaa
Kwa sasa Jijini Mbeya kuna malalamiko ya kificho na bayana kuhusu utendaji Mbovu wa dada Spika. Miaka yake hana cha kujivunia zaidi ya matamasha na jogging.
Kwa kipindi chake cha miaka minne sijui ana jivunia nini, mi natamani nije nimsikilize. anasemaje?
Mitaani hata wale chawa wake maarufu wame ishiwa hoja. wana shindwa kumpamba tena.
Jiji la Mbeya lina asili ya kuongozwa na wapinzani kwa miaka mingi. huenda hii ilipelekea kutopewa kipaumbele. Daladala za kule zilikuwa zina itwa Mzunguko kwa maana ikianza stand kuu ni kuzunguka tu mpka igawilo, hakuna barabara za rami za mitaani tofauti na hizo barabara kuu (Moja ya kwenda dar, nyingine Malawi)
Alipoingia Sugu nadhani alikutana na Upepo wa Bank ya Dunia kujenga barabara za mitaani. kilometers nyingi Zika tandazwa akajipatia sifa.
Wakati wa shujaa mwenda zake, jiji likatengwa likawa ukiwa, hakukuwa na miradi mikubwa.. na mwenda zake akiwa uyole mahali ambapo alizomewa na kulazimishwa kuimba "mabadilikooo Lowasaaaa...." kipindi cha kampeni.
Sasa kawa Rais akawachana "Mlikosea na mnajua mlipo kosea, Mwaka 2020 msifanye tena makosa" Kwa hiyo hata kampeni za dada zika jikita hapo, Mbeya jini hamna Connection ndiyo maana hampewi maendeleo ikawa ni kuwa atakapo chaguliwa jiji lita pendeza tena, zita jengwa barabara nne (Hii ni plan ya kitambo sana, ila kwa kuwa wabongo wengi tuna utapia mlo wa kufikiri tuna ona kama ni kweli dada spika anaweza akajenga barabara nne kwa amri yake), pia waka aminisha watu kuwa mitaani barabara zitajengwa. Jiji litakuwa Evergreen
Intelligence ya CCM nadhani walijua kuwa Mbeya pagumu, Alipo fika makonda akabadilisha mtindo badala ya kusoma mabango, eti yeye ndiyo akawa ana msismamisha mtu na kuanza kumnaga.. akaamua kumtoa kafara meneja wa TARURA Mkoa.. ajieleze kwa nini barabara hazijengwi. " HILO SWALI ALIPASWA KUULIZWA MBUNGE, kwa sababu ndiye aliye ahidi.
Pamoja na promo kuubwa walio ifanya, bado hakukuwa na watu wengi. Wapinzani wakija kufanya maandamano yao pale wata pata watu wengi zaidi.
Amepita Mbeya bila kutatatua wala kuelezea Mambo magumu.. alikuwa na cheap Politics.
Ni Wakat wa CCM mbeya kuji tafakari na kuchukua Hatua kama wana nia ya kuendelea kuliongoza. Kama Sugu atakuwa makini na uchaguzi ukawa siyo uchafuzi, Jimbo lipo wazi.
Mbeya ni mfupa Mgumu.