CHADEMA walimsifia Rais Samia alipokwenda Nairobi kumsalimia Tundu Lissu lakini wanaona nongwa Fred Lowassa kumshukuru Rais Samia

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,028
142,079
Rais Samia ni yule yule mama mwenye Upendo, Muungwana, mnyenyekevu na Mwenye Huruma

Ni Kiongozi pekee wa Serikali aliyekwenda kumjulia hali mh Tundu Lisu kule Nairobi baada ya kupigwa risasi

Ni Kiongozi pekee wa Serikali aliyesifiwa na familia ya nguli wa Siasa nchini kwa kumsaidia kwa karibu sana Mpendwa Wetu Edward wakati akiwa mgonjwa

Katika Hili niko na Fred Lowasa kwa asilimia mia

Nawatakieni Jumatano ya Majivu Yenye Baraka 😄
 
Bi Samia ni Muislam anajua baada ya kufariki kuna hukumu.
 
We jamaa mchonganishi sana sijui unaishi vipi mtaani kwenu kwa unafki wako huo
 
Rais Samia ni yule yule mama mwenye Upendo, Muungwana, mnyenyekevu na Mwenye Huruma

Ni Kiongozi pekee wa Serikali aliyekwenda kumjulia hali mh Tundu Lisu kule Nairobi baada ya kupigwa risasi

Ni Kiongozi pekee wa Serikali aliyesifiwa na familia ya nguli wa Siasa nchini kwa kumsaidia kwa karibu sana Mpendwa Wetu Edward wakati akiwa mgonjwa

Katika Hili niko na Fred Lowasa kwa asilimia mia

Nawatakieni Jumatano ya Majivu Yenye Baraka 😄
CDM ni wanafiki sana na Mabumunda kuzid Nape. Walimtukana sana Lowassa kwenye list of shame pale mwembe Yanga. Na baadae walichukua pesa, zake na akawa mgombea wao wa Urais, 2015.Dr Slaa alikataa huo ujinga, unafiki na upumbafu . Hakuna mwenye akili pale chadema wengi ni wazee wa tamaa, wanafiki na Mabumunda.
 
Kama kuna laana Tanzania imepata ni ujio wa kampuni ya machame kupitia mlango wa siasa (CDM)
 
CDM ni wanafiki sana na Mabumunda kuzid Nape. Walimtukana sana Lowassa kwenye list of shame pale mwembe Yanga. Na baadae walichukua pesa, zake na akawa mgombea wao wa Urais, 2015.Dr Slaa alikataa huo ujinga, unafiki na upumbafu . Hakuna mwenye akili pale chadema wengi ni wazee wa tamaa, wanafiki na Mabumunda.
kampuni toka machame inayotumia mgongo wa siasa
 
Back
Top Bottom