Ukisikia usanii ndio huu sasa. Umeme ni wa mgao kwasababu inasemekana watu washafungulia maji huko mtera japo Mama na Tanesco yake wanadai ni service ya mitambo.
Mama kawapa Tanesco miezi 6, kwa...
MJADALA mkali umeibuka bungeni kuhusu upasuaji kurekebisha maumbile, ikiwamo kupunguza au kuongeza ukubwa wa makalio katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH).
Luhaga Mpina, Mbunge wa Kisesa...
Wizara ya nishati tangu naijua na kuisikia sijawahi kuona ikipewa waziri mtaalamu wa umeme, watu wa electrical engineering au power systems engineering.
Tofauti na Profesa Muhongo ambaye angalau...
Baada ya JPM kuharibu uchumi wa nchi, hotel nyingi ziligeuzwa hosteli za kulala watoto wa shule, badala ya kuingiza mamia ya madola.
Ngurdoto imerudi.
JPM alihakikisha anaziua hotel nyingine...
Tundu Lissu amefika kwenye Msiba wa Lowassa kuhani na kuwapa pole Wafiwa , ambapo amemmwagia sifa Lowassa na kuzungumza kwamba baada ya Nyerere Lowassa ndiye Mwanasiasa aliyefuatia kwa...
Edward Lowassa ameibua mjadala muhimu sana kwa taifa letu, hasa ikizingatiwa kwamba taifa linakabiliwa na uhaba mkubwa wa rasilimali kazi, hivyo ni muhimu tukafanya maamuzi juu ya wapi tuweke...
Uuzaji na ubinafsishaji wa mali za wananchi watua huko Kilimanjaro. Kuna kila dalili hali ikawa mbaya kwa wananchi waliojenga mahotel ya Kitalii arusha mjini kwani:
1. Watalii watashuka uwanjani...
Nimeona mjadala wa “Kusoma magazeti”. Nimeelekeza TCRA kuruhusu UBUNIFU kwenye tasnia ya Habari. Staili ya usomaji we magazeti imeongeza MVUTO kwenye usomaji huo, ni jambo linapaswa KUTIWA MOYO...
Mapambano ya kuufuta umasikini uliokithiri katika nchi zilizo kusini mwa jangwa la Sahara yanaendelea siku hadi siku yakiwa na mipango na mbinu mbali mbali, nchini Tanzania almaarufu nchi ilioko...
Jana nimeangalia kwenye TV TBC, Lowasa alikuwa anapinga initiative ya rafiki yake kuhusu kilimo kwanza, anasema yeye anaamini elimu kwanza, kilimo baadae, inawezekana akawa na point, lakini mbona...
WANANCHI wa kata ya Uru Kusini wilayani Moshi mkoani Kilimanjaro wameondokana na adha upatikanaji wa hudumu za afya baada ya serikali kujenga kituo cha afya ha kisasa
Kukamilika kwa kituo hicho...
Wakati wa mjadala mkali wa kashfa ya Richmond bungeni, huku tume iliyochunguza kashfa hiyo ikibanwa kuwa haikutoa nafasi kwa watuhumiwa hasa Lowassa kujitetea, aliibuka mwenyekiti wa tume ile...
Chama cha Mapinduzi (CCM) tangia kilipoanzishwa,Kilikuwa na utaratibu mzuri tu.Kila aliyeteuliwa alikuwa akiheshimu madaraka ya mwenzie na pia kulikuwa na ustaarabu wa kutokimbilia ovyo kwa...
Mjumbe wa kamati kuu na mgombea urais mwaka 2015 ndugu Edward Lowassa, amewasili makao makuu ya Polisi saa nne kama alivyoambiwa na DCI.
Lowassa alikuwa amefuatana na Magari manne ya kwake pamoja...
Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kudai kuna changamoto ya Watumishi wanaoomba kuhama kushindwa kutekelezewa maombi yao pamoja na kutengenezewa mazingira ya rushwa, Ofisi ya Rais – TAMISEMI imesema...
Heshima kwenu wakuu,
Hii Wizara imekuwa Mwiba kwa kila Mtu alokanyaga ndani kuiongoza. Haijamuacha salama.Leo nimeona niongelee hili swala ili kuweka kumbukumbu sawa. Ntaomba michango ya...
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika Mkutano wa Future Ready Summit, unaofanyika JINCC likifandhiliwa na Vodacom, Stanbic, WB nk amesema amenunua simu kwa mkopo kwa kuwa hakuwa na cash.
Hili...
Kuna uwezekano Doto Biteko hajui ukomo wa madaraka yake kunakoelekea nchi kuingia gizani na umaskini mkubwa kuwanyemelea Watanzania kwa kumtegemea mtu mmoja.
Doto anahangaika na Unaibu waziri...
Mbunge wa Sumbawanga Mjini Aeshi Hilary ameoneshwa na kusikitshwa kwake Kwa hatua ya Benki ya TIB kuuza shamba ambalo lilikuwa linamilikiwa na Marehemu Mzindakaya ambalo Lina thamani ya Shilingi...
Mhe. Spika na Katibu wa Bunge.
nimelazimika kuandika waraka huu kwenu kama malalamiko Rasmi ya jinsi ambavyo kwa muda mrefu jeshi la polisi wilaya ya Armeru na Mkoa wa Arusha wamekuwa wajaribu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.