Mradi wa umeme wa Julius Nyerere ni moja ya mradi unaotekelezeka kwa weledi mkubwa sana, sote tunajua mwezi wa sita mwaka huu ndiyo tulitegemea kuwasha mtambio namba 9 kwa mara ya kwanza lakini...
Siyo kwamba nampinga au namkubalia Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu bali kauli yake inatafakarisha sana
Tundu Lisu anadai kwenye Bunge Maalumu la Katiba kuna Watu waliandaliwa...
"Mara nyingi kunataratibu zikiendelea kwenye Kanisa watu wanafikili labda ndio sheria au utaratibu hatuna ulazima kwenye kanisa kufungua na kuoona mwili wa mwanadamu aliyelala, tuwe tunatazama...
Kumekucha
Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas Lissu amesema Chadema haijapewa Ruzuku na CCM bali imepewa na serikali ikiwa ni halali yao kwa mujibu wa Katiba
Lissu anasema wakati wa...
Kumekuwa na tabia za hivi karibuni, kwamba ili upate nafasi za kazi kwa vyombo vya ulinzi na usalama, mojawapo ya sifa ya waombaji ni kupitia mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa. Huu ni ubaguzi wa...
Habari Wadau,
Leo Februari 10, 2024 Makamu wa Rais Dkt. Mpango ametangaza kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu wa zamani wa Tanzania na Mgombea Urais wa CHADEMA mwaka 2015 Edward Ngoyai Lowasa
Soma...
Wengi wanasema Lowassa alisalitiwa na rafiki yake. Alikipigania Chama kikamtosa. Alikubali kuumia sababu ya Chama.
Tofauti ya Kikwete na Magufuli.
Kikwete alikuwa anakuchukia huku anacheka nawe...
Baada ya miaka 60+ Tumefeli kabisa kwenye swala la umeme.
Ukija kwenye maji mfano kwa Dar es Salaam kuna maeneo wana week ya pili maji hayatoki despite kulikua na mvua za vuli dawasco nao...
Kufuatia kauli ya Mnadhimu mkuu wa Kambi ya Upinzani Bungeni Tanzania na Rais wa Chama cha Mawakili Tanzania Mh Tundu Lissu, kwamba tukio la kupigwa kwake risasi kulikuwa ni mpango wa mauaji ya...
Wanajamvi,
Mimi nilikuwa mfanyakazi wa alphatel mwaka 2001. Kwa kifupi, kuna alphatel ambaye mmili ni fred Lowassa na shivacom ambayo mmiliki ni Rostam Azizi.
Kampuni ya pili ni Integrated...
Baada ya kuliangalia kwa makini bunge katika kikao chao cha jana nakiri kusema kuna tofauti ndogo sana kati ya kikao hicho na kile cha Halmashauri kuu ya CCM (NEC)
Upinzani una wabunge 25 kati ya...
Tunaelekea Uchaguzi wa Serikali za mitaa ila kiukweli CCM tutegemee ushindani na Changamoto za kutosha
Matatizo ya mtaani kwa sasa ni Umeme, Maji, Sukari, Bima ya Afya nk
Mawaziri niliowataja...
Mzee Bwege mbunge wa zamani wa CUF, anaumwa na amekatwa mguu kutokana na maradhi yaliyokuwa yanamsumbua.
Vyombo vya habari vya Tanzania vimeripoti.
Natoa wito kwa wadau wa jf na wengine...
"Mimi kama Spika katika demokrasia ya Kibunge suala siyo ujuzi wa kusema na kupanga hoja, ni muhimu sana Wabunge wa @ccm_tanzania wakazidi theluthi mbili ya Wabunge wote ili tuweze kuamua jambo...
Hapo Mbeya ndio alitokea mbunge aliyepata Kura nyingi kuliko Wabunge wote wa Tanzania mh Joseph Mbilinyi aka Sugu
Hapo Mbeya ndio Shujaa Magufuli alishuka kwenye Gari lake na kumpandisha mbunge...
Ndugu zangu Watanzania,
Aliyekuwa katibu wa Rais mstaafu ndugu Dkt Abdallal makame amesema ya kuwa mzee Alli Hassan Mwinyi Rais mstaafu wa awamu ya pili ,Anaendelea kupatiwa matibabu ya kifua...
Wakubwa zangu, nawasalimu. Natumai mu wazima wa afya.
Naomba niwaulize wakuu zangu wanaJF...
Huwa naona humu mara nyingi sana watu wakiongea kuhusu "Lumumba Buku 7". Je, hii ni ajira rasmi...
John Magufuli, the late president of Tanzania, made significant investments in the country's ports during his time in office. He saw ports as a key driver of economic growth and development, and...
Unaweza kuwadharau lakini ukweli utabaki ukweli kwamba Chadema inafufuka
Nilichoshangaa ni kuwaona kwenye Maandamano Makamanda original Wote akina Prof Lwaitama, akina BAK, Dr Slaa nk.
Mimi na...
Ukisikiza maelezo ya Waziri wa Fedha Dr.Mwigulu Nchemba kuhusu matumizi ya Fedha Yako clear na yenye hoja lakini ukisikiliza maswali na maelezo ya Wabunge walio wengi ni weupe kichwani.
Kwamba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.