Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 2,812
- 11,989
Majibu ya TAMISEMI yameeleza kwa sasa barua zote zilizopitishwa na Wakurugenzi wa Halmashauri na kupokelewa Ofisi ya Rais TAMISEMI kutoka kwa Makatibu Tawala wa Mikoa zimeshasainiwa na zaidi ya nusu zimeshaenda Mikoani, zilizosalia pia wanazikamilisha.
Taarifa hiyo imeeleza “Kuanzia maombi ya Septemba 1 yatafanywa kupitia Mfumo wa Kielektroniki na TAMISEMI hatutakuwa tunapokea barua bali mhusika atafanya maombi yake kwenye Mfumo kwa njia ya mtandao.”
Pia soma: TAMISEMI tufahamisheni, lazima Mtumishi alipie fedha ili apate uhamisho?