Suala la Waziri Mkuu kununua simu kwa mkopo Vodacom ametupiga

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,016
9,885
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika Mkutano wa Future Ready Summit, unaofanyika JINCC likifandhiliwa na Vodacom, Stanbic, WB nk amesema amenunua simu kwa mkopo kwa kuwa hakuwa na cash.

Hili suala ametupiga, naona ni namna yake ya kusifia Vodacom ambao kwa hapa ndio wadhamini wakuu.

Nakaa namsikiliza alivyosema hivyo watu kibao wameguna.
20240215_120932.jpg
 
Anaipromoti sana voda wenda ana share huko. Miaka flani aliwaambia watu wanunue hisa za voda

Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika Mkutano wa Future Ready Summit, unaofanyika JINCC likifandhiliwa na Vodacom, Stanbic, WB nk amesema amenunua simu kwa mkopo kwa kuwa hakuwa na cash.

Hili suala ametupiga, naona ni namna yake ya kusifia Vodacom ambao kwa hapa ndio wadhamini wakuu.

Nakaa namsikiliza alivyosema hivyo watu kibao wameguna.
View attachment 2904810
kwan kuna kitu umewahi kuridhika na kukaa kimya wew?

ata angenunua kwa cashi pia ungesema tu na hao wengine wangeguna pia...

hakunaga jema kwa mwanadamu ...

R.I.P Laigwanan comrade ENL
 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika Mkutano wa Future Ready Summit, unaofanyika JINCC likifandhiliwa na Vodacom, Stanbic, WB nk amesema amenunua simu kwa mkopo kwa kuwa hakuwa na cash.

Hili suala ametupiga, naona ni namna yake ya kusifia Vodacom ambao kwa hapa ndio wadhamini wakuu.

Nakaa namsikiliza alivyosema hivyo watu kibao wameguna.
View attachment 2904810
Yani kuna Viongozi wanatufanya Watanzania Mazuzu.

kama ni kweli katamka hayo huyo hakufaa hata kuwa Mwenyekiti wa Mtaa.
 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika Mkutano wa Future Ready Summit, unaofanyika JINCC likifandhiliwa na Vodacom, Stanbic, WB nk amesema amenunua simu kwa mkopo kwa kuwa hakuwa na cash.

Hili suala ametupiga, naona ni namna yake ya kusifia Vodacom ambao kwa hapa ndio wadhamini wakuu.

Nakaa namsikiliza alivyosema hivyo watu kibao wameguna.
View attachment 2904810
Alisha wahi kutangaza kwamba amenunua hisa za mil 10 za vodacom
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Back
Top Bottom