Mbunge Aeshi aibua ufisadi, adai mjanja anunua shamba la serikali kwa Bilioni 2 badala ya Bilioni 14

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,076
49,779
Mbunge wa Sumbawanga Mjini Aeshi Hilary ameoneshwa na kusikitshwa kwake Kwa hatua ya Benki ya TIB kuuza shamba ambalo lilikuwa linamilikiwa na Marehemu Mzindakaya ambalo Lina thamani ya Shilingi Bilioni 14.

Wizara ya Kilimo ilitaka kulinunua shamba Hilo Kwa Bilioni 14 Kwa Ajili ya uzalishaji wa mbegu za Ngano na mahindi ila wajanja wakaona watakosa ulaji wakamuizia mtu asiyejulikana Kwa bil.2 Kwa madai kwamba Kuna maelekezo kutoka Juu.

View: https://youtu.be/Li_kqAGglL0?si=rnPAcH9KQ9hB7jiQ

My Take
Hii ushenzi wa Watumishi wa Serikali unatakiwa ukome,kabila amenunua Ili aanze kukodisha watu badala ya kutumia kwenye malengo ya kimkakati ya Nchi ya Kuzalisha ngano na mahindi.
 
Hebu ngoja,
1.) shamba lilikuwa la Serikali au la Mzimdakaya?

2.) Kama ni la Mizndakaya kuna unaya gani kumuuzia anayemtaka kwa bei anayoitaka? Kama ni la Serikali kwanini serikali tena kupitia wizara ya kilimo inunue mali yake yenyewe?
Lilikuwa la Umma ila lililodishwa Kwa Mzindakaya akashindwa kulipa Mkopo ambao TIB ilimdhamini hivyo TIB ikalichukua na kuwa Mali ya Umma.

Then wakatangaza kuliuza na Wizara ya Kilimo ikajitokeza kununua ila wakaona hawatapaga Rushwa wakatafuta mnunuzi wa Mkopo kama awali.

Mwisho badala ya TIB isapoti initiative ya Serikali kupunguza imports ya ngano Kwa 90% wao wakaona wauze Kwa kabaila Ili aendelee kulikodisha.

Wewe unaona hapo Pako sawa?
 
Mbunge wa Sumbawanga Mjini Aeshi Hilary ameoneshwa na kusikitshwa kwake Kwa hatua ya Benki ya TIB kuuza shamba ambalo lilikuwa linamilikiwa na Marehemu Mzindakaya ambalo Lina thamani ya Shilingi Bilioni 14.

Wizara ya Kilimo ilitaka kulinunua shamba Hilo Kwa Bilioni 14 Kwa Ajili ya uzalishaji wa mbegu za Ngano na mahindi ila wajanja wakaona watakosa ulaji wakamuizia mtu asiyejulikana Kwa bil.2 Kwa madai kwamba Kuna maelekezo kutoka Juu.

View: https://youtu.be/Li_kqAGglL0?si=rnPAcH9KQ9hB7jiQ

My Take
Hii ushenzi wa Watumishi wa Serikali unatakiwa ukome,kabila amenunua Ili aanze kukodisha watu badala ya kutumia kwenye malengo ya kimkakati ya Nchi ya Kuzalisha ngano na mahindi.

Ni sawa tu, kwani mafisadi waliotajwa kwenye ripoti ya CAG si imezuiliwa kuwajadili?

angepewa bure tu, hakuna shida.
 
Mbunge wa Sumbawanga Mjini Aeshi Hilary ameoneshwa na kusikitshwa kwake Kwa hatua ya Benki ya TIB kuuza shamba ambalo lilikuwa linamilikiwa na Marehemu Mzindakaya ambalo Lina thamani ya Shilingi Bilioni 14.

Wizara ya Kilimo ilitaka kulinunua shamba Hilo Kwa Bilioni 14 Kwa Ajili ya uzalishaji wa mbegu za Ngano na mahindi ila wajanja wakaona watakosa ulaji wakamuizia mtu asiyejulikana Kwa bil.2 Kwa madai kwamba Kuna maelekezo kutoka Juu.

View: https://youtu.be/Li_kqAGglL0?si=rnPAcH9KQ9hB7jiQ

My Take
Hii ushenzi wa Watumishi wa Serikali unatakiwa ukome,kabila amenunua Ili aanze kukodisha watu badala ya kutumia kwenye malengo ya kimkakati ya Nchi ya Kuzalisha ngano na mahindi.

Yaani kuna mtu atakuja kusema ni CHADEMA wamesababisha..!! Subirini tu..!!
 
Mbunge wa Sumbawanga Mjini Aeshi Hilary ameoneshwa na kusikitshwa kwake Kwa hatua ya Benki ya TIB kuuza shamba ambalo lilikuwa linamilikiwa na Marehemu Mzindakaya ambalo Lina thamani ya Shilingi Bilioni 14.

Wizara ya Kilimo ilitaka kulinunua shamba Hilo Kwa Bilioni 14 Kwa Ajili ya uzalishaji wa mbegu za Ngano na mahindi ila wajanja wakaona watakosa ulaji wakamuizia mtu asiyejulikana Kwa bil.2 Kwa madai kwamba Kuna maelekezo kutoka Juu.

View: https://youtu.be/Li_kqAGglL0?si=rnPAcH9KQ9hB7jiQ

My Take
Hii ushenzi wa Watumishi wa Serikali unatakiwa ukome,kabila amenunua Ili aanze kukodisha watu badala ya kutumia kwenye malengo ya kimkakati ya Nchi ya Kuzalisha ngano na mahindi.

Shamba lirejeshwe kwa matumizi ya umma.🚶🚶🚶
 
Lilikuwa la Umma ila lililodishwa Kwa Mzindakaya akashindwa kulipa Mkopo ambao TIB ilimdhamini hivyo TIB ikalichukua na kuwa Mali ya Umma.

Then wakatangaza kuliuza na Wizara ya Kilimo ikajitokeza kununua ila wakaona hawatapaga Rushwa wakatafuta mnunuzi wa Mkopo kama awali.

Mwisho badala ya TIB isapoti initiative ya Serikali kupunguza imports ya ngano Kwa 90% wao wakaona wauze Kwa kabaila Ili aendelee kulikodisha.

Wewe unaona hapo Pako sawa?

Mzindakaya kwanini aweke bond shamba la umma na kulikopea mkopo?
 
Taarifa ya habari ya ITV jana ilinitoa chozi...
Kuna daraja moja huko Tunduru limejaa maji na lilikarabatiwa na Tanroad kwa Tshs ... B 1.7.. Muda si mrefu
Kummanyoko CCM..
Tatizo sio kukarabatiwa Bali ni poor design na kufanya kazi Kwa kopi na pesti au pia kulazimisha pesa itoshe wakati sehemu inahitaji pesa nyingi.

Mwisho utaambiwa hayo ni Mafuriko ni Nje ya uwezo wa taasisi
 
Ni Yale mashamba ambayo yalikuwa iddle hayatuniki Serikali ikaona iyabinafsishe ndio huyo akajitokeza.

Sasa kama WIZARA ya Kilimo Iko tayari kuchukua Kwa nini akopeshwe tena kabaila?

Kwa tafsiri hiyo Mzindakaya alipewa shamba likawa mali yake ndio maana akawa na nguvu ya kulikopea?

Maana tunawalalamikia wahindi na waarabu juu Viwanda tulivyowapa na wao kuvigeuza magodown na kuyakopea hela hasa mabenki ya ughaibuni.

Kinachofanywa na hao watumishi ndio shida ya watumishi wote wa Serikali kila mahala maana hawana msimamizi wala Sheria ngumu zinazowaongoza.
 
Hilo shamba lina nini cha ajabu mpaka liuzwe kwa bilioni 14?
Lina rasilimali gani ndani yake?
Lina majengo na viwanda?
Lina mashine za kuvuna na kupandia ngapi?.
Kama nyika tupu Tanzania imejaa nyika Malaki na mamilioni ya hekta hayana hata mlimaji
 
Tatizo sio kukarabatiwa Bali ni poor design na kufanya kazi Kwa kopi na pesti au pia kulazimisha pesa itoshe wakati sehemu inahitaji pesa nyingi.

Mwisho utaambiwa hayo ni Mafuriko ni Nje ya uwezo wa taasisi
Kulazimisha Pesa itoshe analazimisha serikali au mkandarasi anaetaka kula ganji?
 
Back
Top Bottom