Sasa hivi ukienda kila mahali na kila kona ya nchi, vilio vya umene vimetawala, mbaya zaidi ukiuliza sababu ya mgao wa umeme ni maajabu ya kushangaza kwani hakuna sababu yoyote ya msingi huku...
Hakuna hali inayokera na kuleta uhuzuni kwa kundi kubwa la watawaliwa kama kuona kiongozi wao akiishi maisha ya anasa huku wao wakizidi kutumbukia katika lindi la umasikini.
Tanzania kuna watu...
Wadau kama mtakumbuka, Waziri wa Ardhi, Jerry Silaa alipoteuliwa moja ya mambo aliyoahidi kuyavalia njuga ni:
1. Ubadilishaji wa matumizi wa viwanja usiofuata taratibu wa kujenga vituo vya...
Habari picha zikimuonesha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan alipohudhuria mazishi ya kitaifa ya aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Namibia Hayati Dkt. Hage Geingob...
Ndio ni mageuzi kwani hatua alizochukua hazikuwahi kufanyika hapo nyuma ama kama zilifanyika basi zilikiwa kwa kiwango kidogo.
Dr. Hussein Ali Mwinyi ni Daktari kitaaluma yaani Dakatari wa...
Askofu Josephat Gwajima - Mbunge wa Karne
Na Comrade Ally Maftah
Tunaposema "Mtu sahihi kwa wakati sahihi" hatukosei, balaa linalofanywa na Askofu kwanye nyanja ya maendeleo katika jimbo la...
Niwapongeze wale Mabula Wawili wa Mwanza kwa kuelewa Maandamano ya Chadema hayakuwalenga wao majimboni mwao bali yalikuwa ya kitaifa zaidi
Mrisho Gambo wala usipanic bwana mdogo yachukulie...
Mkitaka kufanya maandamano ya aina yoyote ile yawe ya shughuli za kisiasa, kidini, michezo au yawayo yoyote, sheria inawataka kulitaarifu jeshi la Polisi. Japo polisi hawana mamlaka ya kuzuia...
Habari JF , baada ya kupata taarifa za kicho cha Rais wa Nambia Hage Geingob ,82 kwa masikitiko makubwa nliamua kupitia kipengere cha urais katika katiba yao.
Kwa kifupi uchanguzi wa haraka...
Ndugu wana JF sina mengi na sitaki niwachoshe ila kuna Jambo moja naomba nipate ufafanuzi kutoka kwenu wajuvi wa idara hii ya usalama wa Taifa.
Tangu nikiwa mdogo nimekuwa nikisikia sikia uwepo...
23 February 2024
Morogoro, Tanzania
https://m.youtube.com/watch?v=Z53l5mEXWwU
Migogoro ya ardhi kutokana na wingi ya idadi ya watu nchini, matumizi ya ardhi kwa kilimo na ufugaji yanatakiwa...
Watu wengi wa CCM hata upinzani wamekuwa waoga kujitokeza kuwapongeza wabunge wa kambi rasmi ya upinzani ikiongozwa na wabunge 19 wa viti maalum kupitia CHADEMA na mmoja wa kuchaguliwa CHADEMA...
Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Nchimbi ametua Uwanja wa Ndege wa Tabora leo kushiriki mazishi ya Mzee Hassan Mohammed Wakasuvi.
Nimeona Daktari ametimba mjini Tabora na ndege ya Serikali. Swali langu...
NImekaa Hapa Baada ya Mapunziko ya Weekend nimeona nilete mjadala mdogo.
Mjadala huu unahoji ni kwa nini Wabunge wanateuliwa Kuwa Mawaziri?Kuteu Mbunge kuwa waziri ni matumizi mabaya ya Rasilimali...
Amani iwe kwako mkuu wangu wa nchi.
Nimeweka heading hiyo kuweza kukuvutia kusoma usuli wa hoja yangu.
Sote tunafahamu kwa Mujibu wa Katiba kuwa tasisi unayoiongoza imepewa mamlaka ya kuunda...
Kuna Watanzania wamejitokeza na kumlaumu sana Waziri wa Kilimo juu ya Upungufu mkubwa na bei kubwa ya Sukari.
Walio wengi wakamtaka Waziri Bashe AJIUZULU mwenyewe la sivyo Watamwomba Mh. Rais...
Mmesahahu sakata la kuanzisha ofisi ya Kadhi mkuu?
Hili taifa ni secular.
Iweje tatizo la uhaba sukari litatuliwe kipindi cha mfungo wa Ramadhani?
Wapagani na Wakristo nao wanajisikiaje?
Huyu...
Hili swali hata mimi naomba kuuliza japo nimelikuta mahali.
Naomba kuuliza swali? Kuwa chama tawala kunatokana na kushikilia mhilili wa Serikali, mhimili wa Bunge au vyote viwili?
Mfano;
Chama...
Mh. January Makamba wakati anapewa wizara ya Nishati alitoka na swaga nyingi huku akituaminisha kwamba, amekuja na dawa ambayo mtangulizi wake Kalemani aliyekuwa waziri wa wizara hiyo kudai...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.