Kwenye Sekta ya Afya Rais Dr. Hussein Mwinyi amefanya Mageuzi, tumpe maua yake

Bush Dokta

JF-Expert Member
Apr 11, 2023
12,133
20,295
Ndio ni mageuzi kwani hatua alizochukua hazikuwahi kufanyika hapo nyuma ama kama zilifanyika basi zilikiwa kwa kiwango kidogo.

Dr. Hussein Ali Mwinyi ni Daktari kitaaluma yaani Dakatari wa Binadamu.

Tangu ameingia Madarakani Zanzibar kama Rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi amefanya yafuatayo yanayogusa Mwananchi moja kwa moja kwenye Sekta Mahususi ya Afya.

1. Ameongeza ajira kwa wafanya kazi wa sekta ya afya kwenye kada za Udaktari, Utabibu, Wauguzi, Maabara na Mionzi.

2. Dr Hussein Mwinyi imemchukua kipindi cha Mwaka mmoja tu madarakani ameweza kuongeza mishahara kwa wafanya kazi sekta ya afya. Kwa sasa Madaktari na Wauguzi katika serikali ya Mapinduzi Zanzibar yaani ni Neema tupu.

3. Ameongeza ufanisi ktk usimamiaji wa kutoa huduma bora kwa Wananchi na kuachana na hulka ya bussness asual. Ameweza kutoa management tendership na kuongeza watu wenye uwezo kusimamia utumishi kwenye sekta ya afya ( hii ni mada ya siku nyingine).

4. Dr. Hussein Mwinyi chini ya uongozi wake ameweza kuongeza Vituo vipya vya kutolea huduma za afya na kuboresha vilivyopo.

Ameongeza Hospitalu za wilaya kila wilaya na Mkoa kila Mkoa. Haya ni mafanikio makubwa kuhakikisha Jamii ya Wazanzibar wenye idadi takribani Milioni Mbili wanapata huduma bora na ya kuaminika.

Lakini ktk yoote hayo Dr Hussein Mwinyi ameonesha nia na uongozi thabiti kwenye jambo hili na amehakikisha mipango inafanyika kama ilivyopangwa.

Tumpe maua yake aweze kufanya vizuri zaidi.

Nawatakia Sabato Njema.
 
Dr Hussein Ali Mwinyi ni Daktari by Profession yaani Dakatari wa Binadamu.

Tangu ameingia Madarakani ,zanzibar kama Rais Wa Zanzibar na mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi amefanya yafuatayo yanayogusa Mwananchi moja kwa moja kwenye Sekta Mahususi ya Afya.

2. Dr Hussein Mwinyi imemchukua kipindi cha Mwaka mmoja tu madarakani ameweza kuongeza mishahara kwa wafanya kazi sekta ya afya. Kwa sasa Madaktari na Wauguzi ktk serikali ya Mapinduzi Zanzibar yaani ni Neema tupu.

3. Ameongeza ufanisi ktk usimamiaji wa kutoa huduma bora kwa Wananchi na kuachana na hulka ya bussness asual.
Ameweza kutoa management tendership na kuongeza watu wenye uwezo kusimamia utumishi kwenye sekta ya afya( hii ni mada ya siku nyingine)

4. Dr Hussein Mwinyi chini ya uongozi wake ameweza kuongeza Vituo vipya vya kutolea huduma za afya na kuboresha vilivyopo.

Ameongeza Hospitalu za wilaya kila wilaya na Mkoa kila Mkoa. Haya ni mafanikio makubwa kuhakikisha Jamii ya Wazanzibar wenye idadi Takribani Milioni Mbili wanapata huduma bora na ya kuaminika.

Lakini ktk yoote hayo Dr Hussein Mwinyi ameonesha nia na uongozi Thabiti kwenye jambo hili na amehakikisha mipango inafanyika kama ilivyopangwa.

Tumpe Maua yake aweze kufanya vizuri zaidi.

Nawatakia Sabato Njema.
Upatikanaji wa Dawa na vitendea kazi ktk Hospitali ya Rufaa ya Mnazi Mmoja kwa sasa ni Uhakika tofauti na ilivyokuwa hapo awali.
 
Wanalipwaje sasa hivi? Mfano daktari, daktari wa meno, mfamasia, mtaalam wa maabara, nesi na wataalam wa mionzi (wote daraja la II), wanalipwaje shilingi ngapi??
 
Ngoja waje wenyewe watajisemea. Taarifa za serikali zinaonesha wameonhszwa mishahara kada mbali mbali
 
Ndio ni mageuzi kwani hatua alizochukua hazikuwahi kufanyika hapo nyuma ama kama zilifanyika basi zilikiwa kwa kiwango kidogo.

Dr. Hussein Ali Mwinyi ni Daktari kitaaluma yaani Dakatari wa Binadamu.

Tangu ameingia Madarakani Zanzibar kama Rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi amefanya yafuatayo yanayogusa Mwananchi moja kwa moja kwenye Sekta Mahususi ya Afya.

1. Ameongeza ajira kwa wafanya kazi wa sekta ya afya kwenye kada za Udaktari, Utabibu, Wauguzi, Maabara na Mionzi.

2. Dr Hussein Mwinyi imemchukua kipindi cha Mwaka mmoja tu madarakani ameweza kuongeza mishahara kwa wafanya kazi sekta ya afya. Kwa sasa Madaktari na Wauguzi katika serikali ya Mapinduzi Zanzibar yaani ni Neema tupu.

3. Ameongeza ufanisi ktk usimamiaji wa kutoa huduma bora kwa Wananchi na kuachana na hulka ya bussness asual. Ameweza kutoa management tendership na kuongeza watu wenye uwezo kusimamia utumishi kwenye sekta ya afya ( hii ni mada ya siku nyingine).

4. Dr. Hussein Mwinyi chini ya uongozi wake ameweza kuongeza Vituo vipya vya kutolea huduma za afya na kuboresha vilivyopo.

Ameongeza Hospitalu za wilaya kila wilaya na Mkoa kila Mkoa. Haya ni mafanikio makubwa kuhakikisha Jamii ya Wazanzibar wenye idadi takribani Milioni Mbili wanapata huduma bora na ya kuaminika.

Lakini ktk yoote hayo Dr Hussein Mwinyi ameonesha nia na uongozi thabiti kwenye jambo hili na amehakikisha mipango inafanyika kama ilivyopangwa.

Tumpe maua yake aweze kufanya vizuri zaidi.

Nawatakia Sabato Njema.
well done Pres.A.H.Mwinyi🌹
 
Anapaswa kusifiwa kwa kuwa wapo wengine walitangulia na hawakutumia pesa shemeji kuwaletea maendeleo wananchi.
Sifa afanyapo vizuri ni sawa, ila pia akiboronga alaumiwe.

Isiwe kama shangazi yake huku analundikiwa sifa lukuki kwa yale ambayo yanaonekana kuwa sawa, lakini mambo yakienda kombo lawama kwa wasaidizi.
 
Na hiyo ndio sifa ya kuwa mkweli......Ukweli usemwe bila unafiki.
 
Ndio ni mageuzi kwani hatua alizochukua hazikuwahi kufanyika hapo nyuma ama kama zilifanyika basi zilikiwa kwa kiwango kidogo.

Dr. Hussein Ali Mwinyi ni Daktari kitaaluma yaani Dakatari wa Binadamu.

Tangu ameingia Madarakani Zanzibar kama Rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi amefanya yafuatayo yanayogusa Mwananchi moja kwa moja kwenye Sekta Mahususi ya Afya.

1. Ameongeza ajira kwa wafanya kazi wa sekta ya afya kwenye kada za Udaktari, Utabibu, Wauguzi, Maabara na Mionzi.

2. Dr Hussein Mwinyi imemchukua kipindi cha Mwaka mmoja tu madarakani ameweza kuongeza mishahara kwa wafanya kazi sekta ya afya. Kwa sasa Madaktari na Wauguzi katika serikali ya Mapinduzi Zanzibar yaani ni Neema tupu.

3. Ameongeza ufanisi ktk usimamiaji wa kutoa huduma bora kwa Wananchi na kuachana na hulka ya bussness asual. Ameweza kutoa management tendership na kuongeza watu wenye uwezo kusimamia utumishi kwenye sekta ya afya ( hii ni mada ya siku nyingine).

4. Dr. Hussein Mwinyi chini ya uongozi wake ameweza kuongeza Vituo vipya vya kutolea huduma za afya na kuboresha vilivyopo.

Ameongeza Hospitalu za wilaya kila wilaya na Mkoa kila Mkoa. Haya ni mafanikio makubwa kuhakikisha Jamii ya Wazanzibar wenye idadi takribani Milioni Mbili wanapata huduma bora na ya kuaminika.

Lakini ktk yoote hayo Dr Hussein Mwinyi ameonesha nia na uongozi thabiti kwenye jambo hili na amehakikisha mipango inafanyika kama ilivyopangwa.

Tumpe maua yake aweze kufanya vizuri zaidi.

Nawatakia Sabato Njema.
Mshahara wa daktari Znz unaanzia kiasi gani?
 
Back
Top Bottom