Mh. January Makamba wakati anapewa wizara ya Nishati alitoka na swaga nyingi huku akituaminisha kwamba, amekuja na dawa ambayo mtangulizi wake Kalemani aliyekuwa waziri wa wizara hiyo kudai...
Sentence case: Kwa kweli nimejiskia aibu na fedheha kubwa kumsikia waziri wa mambo ya nje Augustine Mahiga akimtetea rais eti hajaenda kwasababu ya kubana matumizi. Kweli?
Kama ni kubana matumizi...
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema sukari haitakuwa tatizo katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani na wakuu wa mikoa wamepewa maelekezo kilo moja isizidi Sh 2,300.
Alisema hayo jana wakati wa...
Mbunge wa Jimbo la Kawe na mjumbe wa Halmashauri kuu ya Chama Cha Mapinduzi Askofu Gwajima leo tarehe 22 Februari 2024 amekabidhi ambulance kwenye kituo cha afya Kawe Ukwamani Dar es Salaam...
Wanabodi,
Hizi kelele za wanasheria manguli wabobezi na wabobevu kuhusu hii IGA ya DPW na Bandari zetu, sio za kuzipuuzia!. Katiba hii mbovu tuliyonayo!, Sheria zetu mbovu tuliyonayo, mikataba...
Ndugu habari za muda huu, naomba kuuliza kwa wadau mbali mbali na hata serikalini kama inawezekana tupewe majibu kabla sijatoa ya moyoni.
Kuna tetesi huko huko duniani nazisikia naomba uthibisho...
Katibu mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Padre Dkt. Kitima amesema TEC imetoa mafunzo kwa Mapadre Ili nao wakatoe Elimu ya Uraia na Ushiriki wa maswala ya Siasa kwa watu.
Credit: Lema ukurasani X
Wadau nawasalimu.Nimekuwa nasoma maoni mbalimbali ya Wadau juu ya Tatizo kubwa la Umeme Nchini ila kila mtu Ana sababu zake wapo wanaowalaumu Tanesco wapo wanaoilaumu Serikali
Bila kupepesa MACHO...
Ndugu zangu Watanzania, hebu tuchambue kwa kina suala moja linaloleta utata: demokrasia, kama tunavyoijua, huenda isiwe suluhisho la matatizo yetu kama ilivyokuwa imepigiwa debe. Badala yake...
Akiandika kwenye Ukurasa wake wa facebook, aliyeteuliwa kuwa Katibu Tawala wa wilaya ya Ubungo, Mtela Mwampamba ameandika kuwa amekabidhiwa Ofisi ya DAS wilaya ya Kisarawe. Kwamba yeye si DAS wa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan leo, Ijumaa Februari 23.2024 amewasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Hosea Kutako ulioko jijini Windhoek, nchini Namibia...
Wanajamvi kichwa cha habari chajieleza
CHADEMA walianza maandamano ya amani kuishinikiza serikali kupunguza makali ya maisha kwa wananchi tarehe 24.01.2024
Hali ya sasa inayoendelea nchini ni...
Najua nyuzi za namna hii huwa hazipendwi sana , hii ni kwa sababu zinaanika uozo wa nchi , viongozi wa nchi , pamoja na watendaji Wazito wenye madaraka Makubwa , maeneo mengine wanaitwa...
Ndugu zangu,
Kipindi cha utawala wa Rais Kikwete,CADEMA walisema yafuatayo kuhusu ziara za nje ya nchi; Safari za Rais zimeifilisi nchi. Rais anaenda nchi za nje kutalii, Rais anapaswa kubaki...
Kelele za Watanganyika kulilia dhidi ya mkataba mbovu wa bandari, hazijasikilizwa na DP WORLD wanaingia rasmi ofisini tarehe 01 November.
Watu walikuwa wanadhani watendaji wa DP WORLD ni...
Maandamano ya CHADEMA yanaendelea Mbeya sasa hivi
https://www.youtube.com/watch?v=IBSOyiuU4Nk
Tundu Lissu:
- Tutaandamana mpaka tutakapopata Katiba mpya, mfumo mpya wa uchaguzi, mpaka...
Kwa yanayoendelea sasa hapa nchini sambamba na mengine ya siku za nyuma, nikisema hii ni Jamuhuri ya Watu wa Kukurupuka nitakuwa nakosea?
Kabla ya kujibu hili swali, tafakari mfululizo wa...
"Kosa kubwa la kwanza utakalolifanya kwenye maisha yako ni kutegemea eti Serikali itakuletea mabadiliko kwenye maisha yako, na kupoteza muda wako ukiilaumu serikali kila kukicha, na la pili ni...
BARUA KWA RAIS SAMIA SULUHU KUHUSU UFISADI KWENYE SUKARI
11 December 2021
Mheshimiwa Rais nakusalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lakini ningependa badala ya kusema kazi Iendelee...
Waziri Bashe akiwa Ikulu, Dar ameongelea sakata la sukari nchini.
Bashe: Wafanyabiashara wana option mbili tu, waache kuuza sukari, Serikali itatafuta option nyingine. Wenye viwanda wana option...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.