Mzee wa Twitter
JF-Expert Member
- Nov 5, 2023
- 1,272
- 2,033
Kuna Watanzania wamejitokeza na kumlaumu sana Waziri wa Kilimo juu ya Upungufu mkubwa na bei kubwa ya Sukari.
Walio wengi wakamtaka Waziri Bashe AJIUZULU mwenyewe la sivyo Watamwomba Mh. Rais amuwajibishe.
Sambamba na hilo nawashangaa sana.
Kwanini hamtaki pia Waziri wa Nishati nae AJIUZULU kwani Tatizo la Umeme halina tofauti na kwa utaratibu wa UWAJIBIKAJI wa VIONGOZI wa Tanzania SIO rahisi kwa Mawaziri hao KUJIUZULU.
Nawaomba Wananchi wakaze mikanda tu kukabiliana na Suala la Sukari na Umeme.