Maandamano ya Chadema yanazungumzia Masuala ya Kitaifa hivyo hakuna haja Wabunge wa Mwanza, Mbeya na Arusha kupanic!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,972
141,984
Niwapongeze wale Mabula Wawili wa Mwanza kwa kuelewa Maandamano ya Chadema hayakuwalenga wao majimboni mwao bali yalikuwa ya kitaifa zaidi

Mrisho Gambo wala usipanic bwana mdogo yachukulie Maandamano yao kama Fursa ya kukutangaza zaidi Wewe na Jimbo lako

Nawakumbusha tu Chadema hapo Arusha ndio nyumbani kwa Nabii Mkuu mh Geo Davie so ingieni kwa Heshima

Mlale Unono 😀😀🔥
 
Wewe mwenyewe unaongea huku umepanic.
 
Back
Top Bottom