Mipaka ya Chama Tawala na Ukomo wake, Vipi kuhusu kambi kuu ya Upinzani Bungeni

DR Mambo Jambo

JF-Expert Member
May 10, 2012
8,586
17,697
Hili swali hata mimi naomba kuuliza japo nimelikuta mahali.

Naomba kuuliza swali? Kuwa chama tawala kunatokana na kushikilia mhilili wa Serikali, mhimili wa Bunge au vyote viwili?

Mfano;
Chama cha Mapinduzi CCM kikishinda kura za urais na ndio kikaunda serikali..

ila Bungeni CHADEMA ndio ikawa na idadi kubwa zaidi ya wabunge tuchukulie Mfano Chadema ikawa na Wabunge 198 ACT 62 na vyama vingine 20 na Chama cha mapinduzi wakawa ina idadi ya wabunge 110..

kwa maana hiyo Chama cha CCM kitaunda kambi rasmi ya upinzani bungeni?
Au CHADEMA?

Hapo chama tawala ni Chama CHA MAPINDUZI au CHADEMA au CHADEMA na CCM kwa pamoja?

Cred..Thomas Kibwana..
 
Hili swali hata mimi naomba kuuliza japo nimelikuta mahali.

Naomba kuuliza swali? Kuwa chama tawala kunatokana na kushikilia mhilili wa Serikali, mhimili wa Bunge au vyote viwili?

Mfano;
Chama cha Mapinduzi CCM kikishinda kura za uraisi na ndio kikaunda serikali..

Nimeona hilo swali kalijibu Zitto sasa sjui kama Itawezekana..
Screenshot_20240221_111858_X.jpg
 
Hili swali hata mimi naomba kuuliza japo nimelikuta mahali.

Naomba kuuliza swali? Kuwa chama tawala kunatokana na kushikilia mhilili wa Serikali, mhimili wa Bunge au vyote viwili?

Mfano;
Chama cha Mapinduzi CCM kikishinda kura za uraisi na ndio kikaunda serikali..

ila Bungeni CHADEMA ndio ikawa na idadi kubwa zaidi ya wabunge tuchukulie Mfano Chadema ikawa na Wabunge 198 ACT 62 na vyama vingine 20 na Chama cha mapinduzi wakawa ina idadi ya wabunge 110..

kwa maana hiyo Chama cha CCM kitaunda kambi rasmi ya upinzani bungeni?
Au CHADEMA?

Hapo chama tawala ni Chama CHA MAPINDUZI au CHADEMA au CHADEMA na CCM kwa pamoja?

Cred..Thomas Kibwana..
Jibu ndiyo hilo
 
Dr, hizi fikra ndio maana CCM hawaachii madaraka. Hatari gani?

Mbona tumeshuhudia serikali mseto hapahapa kwetu Zanzibar na Kenya na hakukuwa na hatari yoyote?
Kenya Na zanzibar ni tofauti wao walitoa Makamu wa Pili wa Rais..

Kutoa Waziri Mkuu maana yake msimamizi wa Shughuli zote za serkali awe wa chama Pinzani vipi kama akipeleka hoja Ya kutokuwa na Imani na Rais Bungeni?
 
Chama tawala ni kile kilichoshinda u-Rais.

Chama chenye wabunge wengi, kitatoa Waziri Mkuu

Chama cha pili kwa kuwa na wabunge wengi kitaunda Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni.
Siasa ya Chama Tawala Tunayo Tanzania tu..
hata hivyo huoni kama Chama Tawala ni kile kinachoongoza kuwa na Wabunge na Rais pia?

Maana Kama chama cha Upinzani Kitatoa Waziri Mkuu huoni serkali Itakuwa ni Ya chama cha Upinzani..
Maana Rais itabidi Ashirikiane na Waziri Mkuu kuteua mawaziri wa Baraza na wengi watatoka Upinzani..
Kwahyo.serikali itakuwa ya upinzani Bunge la upinzani na Rais atakuwa chama Tawala?
 
Wata rudi rudi ila sio kwa wingi kama 2015. Athari zilizotokana na serikali ya awamu ya tano kisiasa hazitoisha ndani ya kipindi hiki kifupi.

Sasa hivi ndio wamerudi kwenye kujitafuta, kurudisha chama kwa wananchi. Ni mchakato…
Ila 2015 ulikuwa mwaka Bora Sana wakitaka Wapate Wabunge wengi sana kuliko Miaka yote nawashauri Watu wafuatao wawavute waende Upinzani..
A.Majaliwa
B.Ndugai
C.Bashe
Na ikiwezekana Bashe ndo awe mgombea Urais..

Nimewapa strategies hizo Bashe akisimama Na mama wanaweza kushinda
 
Siasa ya Chama Tawala Tunayo Tanzania tu..
hata hivyo huoni kama Chama Tawala ni kile kinachoongoza kuwa na Wabunge na Rais pia?

Maana Kama chama cha Upinzani Kitatoa Waziri Mkuu huoni serkali Itakuwa ni Ya chama cha Upinzani..
Maana Rais itabidi Ashirikiane na Waziri Mkuu kuteua mawaziri wa Baraza na wengi watatoka Upinzani..
Kwahyo.serikali itakuwa ya upinzani Bunge la upinzani na Rais atakuwa chama Tawala?
Kwa Tanzania, ukisema chama tawala maana yake ni chama alichotoka rais na siyo chama chenye Waziri Mkuu au wabunge wengi.

Katiba inataka Waziri Mkuu atokane na chama chenye wabunge wengi, ila haimlazimishi rais kuunda serikali yenye mawaziri kutoka upinzani.
 
Ila 2015 ulikuwa mwaka Bora Sana wakitaka Wapate Wabunge wengi sana kuliko Miaka yote nawashauri Watu wafuatao wawavute waende Upinzani..
A.Majaliwa
B.Ndugai
C.Bashe
Na ikiwezekana Bashe ndo awe mgombea Urais..

Nimewapa strategies hizo Bashe akisimama Na mama wanaweza kushinda
Kutoka CCM sio kwa kuvutwa, ni kwa kukosa nafasi wakati upinzani kwenda CCM ni maslahi.

Mkuu huwezi kuwa serious, Bashe hata kusimama na Lissu hawezi ndio useme asimame na mama?
CCM wana uhaba wa viongozi wenye mvuto kwa sasa, Mama mwenyewe ni sababu ya dola tu lakini ndio hayohayo.
 
Anhaa Lakini Sasa kama waziri Mkuu atakuwa Wa Upinzani Huoni ni hatari kwa chama kilichotoa Rais
Inaonekana no hatari kwasababu chama Tawala kinawaambia wananchi Kila chaguzi kwamba mkichagua upinzani kutatokea vita!!

Aibu sana hii!!

Hakuna uhatari wore,Kwa mfano mbowe anaenda kuwa waziri mkuu au Lema hapo Kuna hatari gani !!?kama watu wenyewe hao wameshinda ikulu kila siku wakinywa chai ma kikwete na samiah Kwa nyakati tofauti!!?

Mimi ni mdau wa serikali mseto japo no mwanachama was chama Tawala najua itachochea maendeleo na kutokomeza ufisadi Kwa kiwango fulani!!
 
Kwa Tanzania, ukisema chama tawala maana yake ni chama alichotoka rais na siyo chama chenye Waziri Mkuu au wabunge wengi.

Katiba inataka Waziri Mkuu atokane na chama chenye wabunge wengi, ila haimlazimishi rais kuunda serikali yenye mawaziri kutoka upinzani.
Ok sasa Serikali yenye mawaziri Wa Upinzani itaitwa serkali ya chama Tawala au?
 
Back
Top Bottom