Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Amani iwe kwako mkuu wangu wa nchi. Nimeweka heading hiyo kuweza kukuvutia kusoma usuli wa hoja yangu. Sote tunafahamu kwa Mujibu wa Katiba kuwa tasisi unayoiongoza imepewa mamlaka ya kuunda...
17 Reactions
56 Replies
3K Views
Kuna Watanzania wamejitokeza na kumlaumu sana Waziri wa Kilimo juu ya Upungufu mkubwa na bei kubwa ya Sukari. Walio wengi wakamtaka Waziri Bashe AJIUZULU mwenyewe la sivyo Watamwomba Mh. Rais...
6 Reactions
23 Replies
2K Views
Mmesahahu sakata la kuanzisha ofisi ya Kadhi mkuu? Hili taifa ni secular. Iweje tatizo la uhaba sukari litatuliwe kipindi cha mfungo wa Ramadhani? Wapagani na Wakristo nao wanajisikiaje? Huyu...
9 Reactions
35 Replies
2K Views
Hili swali hata mimi naomba kuuliza japo nimelikuta mahali. Naomba kuuliza swali? Kuwa chama tawala kunatokana na kushikilia mhilili wa Serikali, mhimili wa Bunge au vyote viwili? Mfano; Chama...
5 Reactions
78 Replies
4K Views
Mh. January Makamba wakati anapewa wizara ya Nishati alitoka na swaga nyingi huku akituaminisha kwamba, amekuja na dawa ambayo mtangulizi wake Kalemani aliyekuwa waziri wa wizara hiyo kudai...
11 Reactions
57 Replies
3K Views
Sentence case: Kwa kweli nimejiskia aibu na fedheha kubwa kumsikia waziri wa mambo ya nje Augustine Mahiga akimtetea rais eti hajaenda kwasababu ya kubana matumizi. Kweli? Kama ni kubana matumizi...
11 Reactions
128 Replies
9K Views
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema sukari haitakuwa tatizo katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani na wakuu wa mikoa wamepewa maelekezo kilo moja isizidi Sh 2,300. Alisema hayo jana wakati wa...
3 Reactions
170 Replies
18K Views
Mbunge wa Jimbo la Kawe na mjumbe wa Halmashauri kuu ya Chama Cha Mapinduzi Askofu Gwajima leo tarehe 22 Februari 2024 amekabidhi ambulance kwenye kituo cha afya Kawe Ukwamani Dar es Salaam...
9 Reactions
27 Replies
3K Views
Wanabodi, Hizi kelele za wanasheria manguli wabobezi na wabobevu kuhusu hii IGA ya DPW na Bandari zetu, sio za kuzipuuzia!. Katiba hii mbovu tuliyonayo!, Sheria zetu mbovu tuliyonayo, mikataba...
57 Reactions
192 Replies
14K Views
Ndugu habari za muda huu, naomba kuuliza kwa wadau mbali mbali na hata serikalini kama inawezekana tupewe majibu kabla sijatoa ya moyoni. Kuna tetesi huko huko duniani nazisikia naomba uthibisho...
14 Reactions
160 Replies
12K Views
Katibu mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Padre Dkt. Kitima amesema TEC imetoa mafunzo kwa Mapadre Ili nao wakatoe Elimu ya Uraia na Ushiriki wa maswala ya Siasa kwa watu. Credit: Lema ukurasani X
6 Reactions
38 Replies
2K Views
Wadau nawasalimu.Nimekuwa nasoma maoni mbalimbali ya Wadau juu ya Tatizo kubwa la Umeme Nchini ila kila mtu Ana sababu zake wapo wanaowalaumu Tanesco wapo wanaoilaumu Serikali Bila kupepesa MACHO...
0 Reactions
0 Replies
362 Views
Ndugu zangu Watanzania, hebu tuchambue kwa kina suala moja linaloleta utata: demokrasia, kama tunavyoijua, huenda isiwe suluhisho la matatizo yetu kama ilivyokuwa imepigiwa debe. Badala yake...
2 Reactions
7 Replies
538 Views
Akiandika kwenye Ukurasa wake wa facebook, aliyeteuliwa kuwa Katibu Tawala wa wilaya ya Ubungo, Mtela Mwampamba ameandika kuwa amekabidhiwa Ofisi ya DAS wilaya ya Kisarawe. Kwamba yeye si DAS wa...
1 Reactions
128 Replies
27K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan leo, Ijumaa Februari 23.2024 amewasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Hosea Kutako ulioko jijini Windhoek, nchini Namibia...
6 Reactions
43 Replies
3K Views
Wanajamvi kichwa cha habari chajieleza CHADEMA walianza maandamano ya amani kuishinikiza serikali kupunguza makali ya maisha kwa wananchi tarehe 24.01.2024 Hali ya sasa inayoendelea nchini ni...
1 Reactions
41 Replies
2K Views
Najua nyuzi za namna hii huwa hazipendwi sana , hii ni kwa sababu zinaanika uozo wa nchi , viongozi wa nchi , pamoja na watendaji Wazito wenye madaraka Makubwa , maeneo mengine wanaitwa...
15 Reactions
28 Replies
2K Views
Ndugu zangu, Kipindi cha utawala wa Rais Kikwete,CADEMA walisema yafuatayo kuhusu ziara za nje ya nchi; Safari za Rais zimeifilisi nchi. Rais anaenda nchi za nje kutalii, Rais anapaswa kubaki...
30 Reactions
185 Replies
12K Views
Kelele za Watanganyika kulilia dhidi ya mkataba mbovu wa bandari, hazijasikilizwa na DP WORLD wanaingia rasmi ofisini tarehe 01 November. Watu walikuwa wanadhani watendaji wa DP WORLD ni...
30 Reactions
248 Replies
20K Views
Maandamano ya CHADEMA yanaendelea Mbeya sasa hivi https://www.youtube.com/watch?v=IBSOyiuU4Nk Tundu Lissu: - Tutaandamana mpaka tutakapopata Katiba mpya, mfumo mpya wa uchaguzi, mpaka...
15 Reactions
93 Replies
11K Views
Back
Top Bottom