Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan leo, Ijumaa Februari 23.2024 amewasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Hosea Kutako ulioko jijini Windhoek, nchini Namibia...
Wanajamvi kichwa cha habari chajieleza
CHADEMA walianza maandamano ya amani kuishinikiza serikali kupunguza makali ya maisha kwa wananchi tarehe 24.01.2024
Hali ya sasa inayoendelea nchini ni...
Najua nyuzi za namna hii huwa hazipendwi sana , hii ni kwa sababu zinaanika uozo wa nchi , viongozi wa nchi , pamoja na watendaji Wazito wenye madaraka Makubwa , maeneo mengine wanaitwa...
Ndugu zangu,
Kipindi cha utawala wa Rais Kikwete,CADEMA walisema yafuatayo kuhusu ziara za nje ya nchi; Safari za Rais zimeifilisi nchi. Rais anaenda nchi za nje kutalii, Rais anapaswa kubaki...
Kelele za Watanganyika kulilia dhidi ya mkataba mbovu wa bandari, hazijasikilizwa na DP WORLD wanaingia rasmi ofisini tarehe 01 November.
Watu walikuwa wanadhani watendaji wa DP WORLD ni...
Maandamano ya CHADEMA yanaendelea Mbeya sasa hivi
https://www.youtube.com/watch?v=IBSOyiuU4Nk
Tundu Lissu:
- Tutaandamana mpaka tutakapopata Katiba mpya, mfumo mpya wa uchaguzi, mpaka...
Kwa yanayoendelea sasa hapa nchini sambamba na mengine ya siku za nyuma, nikisema hii ni Jamuhuri ya Watu wa Kukurupuka nitakuwa nakosea?
Kabla ya kujibu hili swali, tafakari mfululizo wa...
"Kosa kubwa la kwanza utakalolifanya kwenye maisha yako ni kutegemea eti Serikali itakuletea mabadiliko kwenye maisha yako, na kupoteza muda wako ukiilaumu serikali kila kukicha, na la pili ni...
BARUA KWA RAIS SAMIA SULUHU KUHUSU UFISADI KWENYE SUKARI
11 December 2021
Mheshimiwa Rais nakusalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lakini ningependa badala ya kusema kazi Iendelee...
Waziri Bashe akiwa Ikulu, Dar ameongelea sakata la sukari nchini.
Bashe: Wafanyabiashara wana option mbili tu, waache kuuza sukari, Serikali itatafuta option nyingine. Wenye viwanda wana option...
Sakata la bandari limeibua yote nyuma ya mipango ya rais na waarabu. Bandari waarabu, Ngorongoro waarabu, na BBT ya bashe waarabu.
Wakati tunapinga mipango ya Bashe kwa kuacha mipango ya wizara...
Na. Farida Ramadhani na Joseph Mahumi, WF, Dar es Salaam
Tanzania na Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) zimesaini mikataba miwili yenye thamani ya zaidi dola za Marekani milioni 158.1 (shilingi...
Taasisi ya Vyombo vya Habari Kusini mwa Afrika (MISA TAN) imeeleza kusikitishwa na kuhuzunishwa na tukio lilotokea mnamo February 19, 2024 la kufukuzwa kwa waandishi wa habari mkoani Simiyu katika...
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemuelekeza Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi kuipandisha hadhi barabara ya Tanga - Kilosa - Mikumi - Lupembe kuwa barabara kuu 'Trunk Road' ili kuinua uchumi...
Wakati kilio cha mgawo wa maji na umeme, na uhaba wa sukari kikiendelea nchini, Rais mstaafu Jakaya Kikwete, amemtaka Rais Samia Suluhu Hassan kuendelea kuwa imara anapoendelea kutafuta suluhisho...
Ujio wa Naibu waziri Mkuu ulifahamika Mapema
Maandamano ya Chadema yalifahamika Mapema
Sasa hii changamoto ya kuwakutanisha barabarani imetokeaje?
Nimeshangaa Sana 🐼
Habari za wakati;
Hivi majuzi nilikutana na bandiko la TRA ambalo walikuwa wanaalika watanzania kutoa maoni kuhusu mifumo yetu ya KODI.Bandiko lile pamoja na kwamba lilikuwa halali la TRA lakini...
Wafanyabiashara wa Tanzania , hasa wale wanaouza sukari ni kama Watumwa wa serikali , ni watu ambao wamekubali pia kuwa Watumwa , haijulikani sababu hasa ya wao kukubali kuwa mbuzi wa Kafara...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi amesema kuwa CCM, chini ya Mwenyekiti wake, ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dk. Samia Suluhu...
Nyakati za Uchaguzi zimekuwa chanzo cha mlipuko wa habari nyingi potofu. Makundi mbalimbali yamekuwa yakipotosha kwa makusudi ili kuwadunisha au kuwanufaisha Wagombea na Vyama vya Siasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.