Picha: Rais Samia ashiriki mazishi ya kitaifa ya Dkt. Hage Geingob

Mjanja M1

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
3,660
12,304
Habari picha zikimuonesha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan alipohudhuria mazishi ya kitaifa ya aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Namibia Hayati Dkt. Hage Geingob yaliyofanyika leo, Jumamosi Februari 24.2024 kwenye uwanja wa michezo wa Uhuru uliopo jijini Windhoek nchini Namibia,

20240224_155937.jpg

20240224_155913.jpg

Rais Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais wa Burundi Mhe. Évariste Ndayishimiye.

20240224_155922.jpg

20240224_155902.jpg

Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza na Rais wa Burundi Mhe. Évariste Ndayishimiye.

20240224_155853.jpg

Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza na Rais wa Kenya Mhe. William Ruto.
 
Habari picha zikimuonesha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan alipohudhuria mazishi ya kitaifa ya aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Namibia Hayati Dkt. Hage Geingob yaliyofanyika leo, Jumamosi Februari 23.2024 kwenye uwanja wa michezo wa Uhuru uliopo jijini Windhoek nchini Namibia,

View attachment 2914783

View attachment 2914785
Rais Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais wa Burundi Mhe. Évariste Ndayishimiye

View attachment 2914784

View attachment 2914786
Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza na Rais wa Burundi Mhe. Évariste Ndayishimiye

View attachment 2914787
Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza na Rais wa Kenya Mhe. William Ruto

Hayati Dkt. Hage Geingob atazikwa kesho, Jumapili Februari 24.2024
Kwani si leo ndio 24.02.2024 Jumamosi? Kama anazikwa kesho basi tarehe haziko sahihi.
 
Habari picha zikimuonesha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan alipohudhuria mazishi ya kitaifa ya aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Namibia Hayati Dkt. Hage Geingob yaliyofanyika leo, Jumamosi Februari 24.2024 kwenye uwanja wa michezo wa Uhuru uliopo jijini Windhoek nchini Namibia,

View attachment 2914783

View attachment 2914785
Rais Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais wa Burundi Mhe. Évariste Ndayishimiye.

View attachment 2914784

View attachment 2914786
Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza na Rais wa Burundi Mhe. Évariste Ndayishimiye.

View attachment 2914787
Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza na Rais wa Kenya Mhe. William Ruto.
😲
 
R.I.P President

Dkt. Hage Geingob​

Back
Top Bottom