Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

KAWAIDA ATINGA JIMBO LA HAI "MLIKUA NA MTU ASIYE NA FAIDA" Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi Taifa, Kawaida amefika kukagua na kujionea shule mpya ya msingi Saashisha iliyopo...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Hello! Natanguliza shukrani kwa serikali kwa uamuzi makini wa kufuta baadhi ya taasisi zake na zingine kuziunganisha. Nadhani ni mwaka jana kama sijakosea nilileta uzi wa kutaka serikali ifute...
8 Reactions
65 Replies
4K Views
Aliacha kujenga taifa lake akabaki kupigania uhuru wa mataifa ya nje ambayo hivi leo hayana msaada kwetu. Kilichobakia ni kudharauliwa tu bila hata soni. Tulionekana hatujui kiingereza, nchi...
6 Reactions
22 Replies
1K Views
Hata madaktari na wanasayansi wanapofanya majaribio na utafiti wao kama ni tiba huwajaribu wanyama wakipona basi tiba hiyo hupewa wanadamu. Kama dawa au upasuaji haukufanikiwa kwa kitu halisi...
2 Reactions
4 Replies
757 Views
Leo napenda kuzungumzia suala hili angalau KWA ufupi ni kuhusu wasanii mbalimbali katika Taifa letu la Tanzania kutavunwa Baada ya uchunguzi kuisha/ KUKAMILIKA. Naimani msomaji wa Andiko hili...
0 Reactions
1 Replies
383 Views
Ikumbukwe kuwa Spika Dr Tulia ndio Rais wa Mabunge yote duniani Mbowe ndiye makamu wa Rais wa Umoja wa Vyama vya Demokrasia duniani Tuzidi kumuombea mzee Kikwete awe Mtendaji mkuu wa Umoja wa...
5 Reactions
22 Replies
2K Views
Hakuna wakati ambapo Kikwete amesemwa vibaya na kusutwa kama wakati huu wa msiba wa Lowasa. Mzee huyu amesutwa na kuzodolewa ktk namna ambayo siyo rahisi kwa nafsi yake kukosa maumivu. Ni kwa...
64 Reactions
215 Replies
19K Views
Sasa hivi ukienda kila mahali na kila kona ya nchi, vilio vya umene vimetawala, mbaya zaidi ukiuliza sababu ya mgao wa umeme ni maajabu ya kushangaza kwani hakuna sababu yoyote ya msingi huku...
9 Reactions
25 Replies
1K Views
Hakuna hali inayokera na kuleta uhuzuni kwa kundi kubwa la watawaliwa kama kuona kiongozi wao akiishi maisha ya anasa huku wao wakizidi kutumbukia katika lindi la umasikini. Tanzania kuna watu...
27 Reactions
71 Replies
4K Views
Wadau kama mtakumbuka, Waziri wa Ardhi, Jerry Silaa alipoteuliwa moja ya mambo aliyoahidi kuyavalia njuga ni: 1. Ubadilishaji wa matumizi wa viwanja usiofuata taratibu wa kujenga vituo vya...
0 Reactions
0 Replies
523 Views
Habari picha zikimuonesha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan alipohudhuria mazishi ya kitaifa ya aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Namibia Hayati Dkt. Hage Geingob...
8 Reactions
19 Replies
2K Views
Ndio ni mageuzi kwani hatua alizochukua hazikuwahi kufanyika hapo nyuma ama kama zilifanyika basi zilikiwa kwa kiwango kidogo. Dr. Hussein Ali Mwinyi ni Daktari kitaaluma yaani Dakatari wa...
3 Reactions
26 Replies
2K Views
Askofu Josephat Gwajima - Mbunge wa Karne Na Comrade Ally Maftah Tunaposema "Mtu sahihi kwa wakati sahihi" hatukosei, balaa linalofanywa na Askofu kwanye nyanja ya maendeleo katika jimbo la...
6 Reactions
26 Replies
2K Views
Niwapongeze wale Mabula Wawili wa Mwanza kwa kuelewa Maandamano ya Chadema hayakuwalenga wao majimboni mwao bali yalikuwa ya kitaifa zaidi Mrisho Gambo wala usipanic bwana mdogo yachukulie...
1 Reactions
1 Replies
637 Views
Mkitaka kufanya maandamano ya aina yoyote ile yawe ya shughuli za kisiasa, kidini, michezo au yawayo yoyote, sheria inawataka kulitaarifu jeshi la Polisi. Japo polisi hawana mamlaka ya kuzuia...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari JF , baada ya kupata taarifa za kicho cha Rais wa Nambia Hage Geingob ,82 kwa masikitiko makubwa nliamua kupitia kipengere cha urais katika katiba yao. Kwa kifupi uchanguzi wa haraka...
13 Reactions
85 Replies
8K Views
Ndugu wana JF sina mengi na sitaki niwachoshe ila kuna Jambo moja naomba nipate ufafanuzi kutoka kwenu wajuvi wa idara hii ya usalama wa Taifa. Tangu nikiwa mdogo nimekuwa nikisikia sikia uwepo...
9 Reactions
63 Replies
8K Views
23 February 2024 Morogoro, Tanzania https://m.youtube.com/watch?v=Z53l5mEXWwU Migogoro ya ardhi kutokana na wingi ya idadi ya watu nchini, matumizi ya ardhi kwa kilimo na ufugaji yanatakiwa...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Watu wengi wa CCM hata upinzani wamekuwa waoga kujitokeza kuwapongeza wabunge wa kambi rasmi ya upinzani ikiongozwa na wabunge 19 wa viti maalum kupitia CHADEMA na mmoja wa kuchaguliwa CHADEMA...
2 Reactions
3 Replies
860 Views
Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Nchimbi ametua Uwanja wa Ndege wa Tabora leo kushiriki mazishi ya Mzee Hassan Mohammed Wakasuvi. Nimeona Daktari ametimba mjini Tabora na ndege ya Serikali. Swali langu...
6 Reactions
22 Replies
2K Views
Back
Top Bottom