Wazo lenye akili: Bashe ajiuzuru ni kwa kuendesha ofisi ya umma kwa misingi ya dini

Labda Bashe anapenda tu kuwa controversial saa nyingine, huwa namuona hata anapenda kutinga kanzu bungeni na katika ofisi yake
 
Unahisi ugumu wa maisha yako utakuwa na ahueni yeyote endapo Bashe atajiuzulu??

Msitake kutengeneza mlima kutoka kwenye kichuguu, kauli iliyosemwa na Bashe ilikuwa ni msisitizo wa time frame ya mabadiliko ya bei. Unadhani sukari ikipungua bei mwezi Ramadhani watauziwa waislam tu???

Tujaribu kuepuka kuhusisha dhiki zetu na maisha ya wengine. Huo ukristo wako unaohisi umetengwa ulishawahi kukuletea sukari nyumbani kwako??
Ruhusa kuamini imani yeyote lakini isifikie kiasi cha kukutoa ufahamu kama vile hiyo dunia imeasisiwa na babu yako.
 
Sina shaka wewe ni MFAIDIKA wa kauri ya Bashe, au we ndiye Bashe mwenyewe!
 
Umesema raia wa wapi vile
FB_IMG_17081255620009192.jpg
 
Mmesahahu sakata la kuanzisha ofisi ya Kadhi mkuu?

Hili taifa ni secular.

Iweje tatizo la uhaba sukari litatuliwe kipindi cha mfungo wa Ramadhani?

Wapagani na Wakristo nao wanajisikiaje?

Huyu raia wa Igad aondoke hapa Tanzania
Akili umepeleka wapi....?
Siyo kila upuuzi unao anzishwa na CDM unaudandia.
Siyo mara ya kwanza serikali kuahidi kuleta ahueni kwa bidhaa kadhaa kupatika kwa kiasi/ wingi kwenye mwezi wa Ramadhan.

Yaan neno RAMADHANI limezua mjadala wa kipuuzi na kusahau vitu vya maana.

Kwa hali hii itaichukua CDM miaka 300 kushika madaraka.
 
Mmesahahu sakata la kuanzisha ofisi ya Kadhi mkuu?

Hili taifa ni secular.

Iweje tatizo la uhaba sukari litatuliwe kipindi cha mfungo wa Ramadhani?

Wapagani na Wakristo nao wanajisikiaje?

Huyu raia wa Igad aondoke hapa Tanzania
Wewe haupo kujenga . ...upo kubomoa tu, na watu wengi wa aina yako kamwe hawaconcentrate na positivite view kwenye issue yoyote ile ...ni negative tu.
 
Mmesahahu sakata la kuanzisha ofisi ya Kadhi mkuu?

Hili taifa ni secular.

Iweje tatizo la uhaba sukari litatuliwe kipindi cha mfungo wa Ramadhani?

Wapagani na Wakristo nao wanajisikiaje?

Huyu raia wa Igad aondoke hapa Tanzania
Kuna siku utasema Mungu ajiuzulu kWa kuendesha dunia bila uwazi na kuonekana

Check bashe Appointments uone wakristu ni wengi zaidi
 
Mmesahahu sakata la kuanzisha ofisi ya Kadhi mkuu?

Hili taifa ni secular.

Iweje tatizo la uhaba sukari litatuliwe kipindi cha mfungo wa Ramadhani?

Wapagani na Wakristo nao wanajisikiaje?

Huyu raia wa Igad aondoke hapa Tanzania
Kumbe we ni mdini.
Una udini mkali sana.
Yaani sukari tu ndo ikutoe povu lote hilo.
 
Back
Top Bottom