Askofu Gwajima, mtu sahihi kwa wakati sahihi

Nov 6, 2016
52
141
Askofu Josephat Gwajima - Mbunge wa Karne

Na Comrade Ally Maftah

Tunaposema "Mtu sahihi kwa wakati sahihi" hatukosei, balaa linalofanywa na Askofu kwanye nyanja ya maendeleo katika jimbo la kawe vijana wanasema "Usipime".

Akofu Gwajima;
-Anajenga ofisi za Chama zaidi ya 20 kwenye jimbo lake kwa jitihada zake binafsi.

-Ameanzisha hamasa za michezo kuchangamsha wana Kawe Rede Cup, Jogging, Footbal na michezo mingi. Nasubiri mashindano ya kukamata nzi au kukimbiza kuku.

- Anapiga ziara za Tawi wa Shina kuimarisha chama.

Askofu Gwajima mtu sahihi kwa wakati sahihi.

Imeandikwa na
Comrade Ally Maftah, Mjumbe Mkutano Mkuu wa CCM & Jumuiya ya Wazazi Mkoa - DSM.

IMG_20231014_203830_378.jpg
 
Nipo ukwamani hapa nasubiri atekeleze ahadi yake ya kutupeleka nje ya nchi
 
Mashindano ya kukamata nzi?u people be serious!mnataka kuleta kipindupindu sasa
 
Askofu Josephat Gwajima - Mbunge wa Karne

Na Comrade Ally Maftah

Tunaposema "Mtu sahihi kwa wakati sahihi" hatukosei, balaa linalofanywa na Askofu kwanye nyanja ya maendeleo katika jimbo la kawe vijana wanasema "Usipime".

Akofu Gwajima;
-Anajenga ofisi za Chama zaidi ya 20 kwenye jimbo lake kwa jitihada zake binafsi.

-Ameanzisha hamasa za michezo kuchangamsha wana Kawe Rede Cup, Jogging, Footbal na michezo mingi. Nasubiri mashindano ya kukamata nzi au kukimbiza kuku.

- Anapiga ziara za Tawi wa Shina kuimarisha chama.

Askofu Gwajima mtu sahihi kwa wakati sahihi.

Imeandikwa na
Comrade Ally Maftah, Mjumbe Mkutano Mkuu wa CCM & Jumuiya ya Wazazi Mkoa - DSM.

View attachment 2782521
Ndio alikuja kijiweni kwetu akatununua kwa kahawa ya laki moja. Kweli mbuzi yetu majani, barazani kwa mamwinyi
 
Askofu Josephat Gwajima - Mbunge wa Karne

Na Comrade Ally Maftah

Tunaposema "Mtu sahihi kwa wakati sahihi" hatukosei, balaa linalofanywa na Askofu kwanye nyanja ya maendeleo katika jimbo la kawe vijana wanasema "Usipime".

Akofu Gwajima;
-Anajenga ofisi za Chama zaidi ya 20 kwenye jimbo lake kwa jitihada zake binafsi.

-Ameanzisha hamasa za michezo kuchangamsha wana Kawe Rede Cup, Jogging, Footbal na michezo mingi. Nasubiri mashindano ya kukamata nzi au kukimbiza kuku.

- Anapiga ziara za Tawi wa Shina kuimarisha chama.

Askofu Gwajima mtu sahihi kwa wakati sahihi.

Imeandikwa na
Comrade Ally Maftah, Mjumbe Mkutano Mkuu wa CCM & Jumuiya ya Wazazi Mkoa - DSM.

View attachment 2782521
Naunga mkono hoja
P
 
We ni chawa wa kijani ulitaka usemeje sasa!
 
Back
Top Bottom