Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

SHIRIKA LA BIMA LIMEFILISIKA HOSPITALI ZINADAI PESA ZAIDI YA MIEZ 5 BILA MALIPO, WANANCHI TUMEANZA KUONJA JOTO HILI,UKIENDA MUHIMBILI HUDUMA YA HARAKA KWA MGONJWA WA BIMA IMEPUNGUA SANA, NI...
13 Reactions
69 Replies
5K Views
Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mzee Ali Hassan Mwinyi amepelekwa hospitali akiugua maradhi ya kifua. Anaendelea kupata matibabu chini ya uangalizi wa karibu wa...
23 Reactions
147 Replies
16K Views
Kifungu Cha 8(1) Cha Leaders Funeral Act No. 10 of 2002 Zanzibar kinasema Rais wa Zanzibar atatangaza kifo Cha kiongozi mzanzibar na Bendera kupepea nusu mlingoti. Iwapo Tanzania hawataunga mkono...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Anaandika mbunge wa Nzega Vijijini ukurasani X kwamba rafiki yake amekiri " kwa siku 4 mfululizo umeme haujakatika Dar tena una nguvu sana" Kigwangala anasema rafiki yake huyo aliyempinga Shujaa...
20 Reactions
76 Replies
8K Views
Huu ndio mtazamo wangu kwa saa kuhusu huyu mwanasiasa. Itachukua muda gani au ni lini atatuellliwa, hio ni swala la muda. Kupewa cheo serikalini pia inawezekana, lakini hili naliona sio rahisi...
8 Reactions
26 Replies
3K Views
Friends and Our Enemies, Sote tuna Kumbuka namna ambavyo Padre wilbroad slaa alivyokihama chama Hiko Cha chadema Kwa mbwembwe na mikogo na kusema kwamba Hawezi kukaa meza Moja na Fisadi Papa...
2 Reactions
74 Replies
5K Views
Mara zote tumewashutumu polisi humu jf na kwingineko , na hata tumefikia na kuazimia kulivunja Jeshi hilo ilii liundwe upya, Lakini kiukweli Polisi ni watu wazuri tu , Shida kubwa ni hao viongozi...
25 Reactions
46 Replies
4K Views
Hakuhitaji akili kubwa kujua upinzani Tanzania unaundwa na chama kimoja tu ambacho ni CHADEMA. Tanzania inajumla ya vyama 22 lakini kati ya hiyo chama pekee cha upinzani wa dhati ni CHADEMA na...
4 Reactions
9 Replies
831 Views
Wafuatao wanastahili maua yao kwa kazi kubwa ya kukipigania CCM hapa JF. Hawa ni legends wa Chama kilichobeba matumaini ya watamzania wote yaani CCM. Wamefanya kazi kubwa ya kukieneza chama JF...
5 Reactions
34 Replies
2K Views
Nimeambiwa Mgombea Urais wa Chadema 2025 ni aliyelemazwa Tundu Lissu. Jamani nafasi ya Urais ni nyeti na ya juu mno. Ni nafasi inayohitaji utulivu, akili na usawaziko wa akili. Lissu achana na...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Habari za leo wana JF, Kama kichwa Cha habari kinavosema ngoja nianalyse mtazamo wangu Kwa kuangalia connection iliopo ktk past event baada ya uhuru wa nchi za Africa, current events tulipo na...
1 Reactions
2 Replies
683 Views
Mimi binafsi nimetembelea vituo kadhaa vya BBT kwa upande wa Unenepeshaji mifugo kwa lengo la kujifunza. Vikiwemo Kikulula- Karagwe,Mabuki- Mwanza nk. Nimegundua yafuatayo; 1. Vijana wengi...
24 Reactions
81 Replies
9K Views
Wapinzani wana piga kelele na kuandamana, kwa hakina Watanzania walio wengi hawawaelewi. 1. Kwa miaka mingi Vyama vya Upinzani vimeomba Uhuru wa kufanya siasa ikiwa ni pamoja na kuandamana...
0 Reactions
0 Replies
323 Views
Nipo hapa Arusha. Jana nami niliyashuhudia (lakini sikushiriki) maandamano ya amani ya CHADEMA katika viunga vya jiji la Arusha. Sikwami wala kuogopa kusema kuwa yalikuwa ni maandamano makubwa...
22 Reactions
47 Replies
4K Views
Leo nimejaribu kufungua account ya kimtandao ya Online Registration System (ORS) katika taasisi ya Business and Property Registration Agency(BPRA).Taasisi hii iko Zanzibar na inafanya shughuli...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Nasikitika sana kwa kushidwa kazi aliyopewa gavana wetu wa bank kuu Florens Luoga. Huyu gavana ni chaguo baya sana ambalo limewahi kutokea. Tujue tu kwamba huyu professor ni mwanasheria na sio...
50 Reactions
103 Replies
13K Views
Nimewataja hao waheshimiwa wabunge wetu. Naheshimu ubunge wao. Lakini baadhi ya maneno yatokayo midomoni mwao yanaleta ukakasi. 1. Mtu atakuwaje mwalimu wa biashara wakati hana hata kiosk. Huu ni...
4 Reactions
17 Replies
951 Views
Mwenyekiti wa Umoja Umoja wa Vyama vya Siasa ni Katibu Mkuu wa Chama Cha DP, Abdul Mluya amasema wao wanayafahamu maandamano kwani wao walishapigwa ila kama CHADEMA wanataka maandamano basi...
3 Reactions
27 Replies
3K Views
Nitashukuru Rais Samia na Waziri Ummy Mwalimu mkatoa maelezo kwa umma ni kwa vipi wakati pricing list ya 2016 (NHIF) inatolewa bei ya petroli ilikuwa shilingi chini ya 1700 kwa lita dola moja...
5 Reactions
7 Replies
900 Views
Poleni na misiba mikubwa ya kitaifa. Nikiri kwamba kila siku naendelea kujifunza kuhusu siasa za taifa changa la Tanzania. Mambo makubwa ambayo mpaka sasa nikiri nimeshuhudia yakitokea bila...
50 Reactions
70 Replies
5K Views
Back
Top Bottom