Rais Samia amesema baada ya Rais Mwinyi kuingia madarakani Gazeti la Economist la UK liliandika " Rais Mwinyi hawezi kuleta nafuu yoyote kwenye Uchumi dhaifu sana wa Tanzania kwa sababu Mwinyi ni...
Rais Samia amesema hayati Mwinyi alikuwa baba wa Demokrasia aliyeamini katika Uwajibikaji na Uzalendo
Mzee Mwinyi alisisitiza sana katika Uwajibikaji kila mmoja Eneo alipo badala ya kila Siku...
Zipo baadhi ya hospitali binafsi ambazo ziliwahi kubebwa sana na Serikali na hatimaye zikapata faida kubwa na kujiimarisha.
Zipo baadhi ya hospitali zilianza kama hospitali za kujitolea yaani...
Nimejitahidi kutafuta katika vyanzo mbalimbali sijazipata. Nimesikiliza radio na kuangalia TV mbalimbali katika kipindi hiki cha maombolezo yake lakini pia sijabahatika kuona hotuba yake akiwa...
Addis Ababa, Ethiopia July 8, 1990.
Rais Mwinyi akiwa na Rais mstaafu Mwalimu Nyerere na waziri wa mabo ya nchi za nje Mkapa.
Hoja ya Mbowe na CHADEMA kweney maandamano Arusha inakosa nguvu...
Mlengo wowote ambao nchi inataka kwenda, ifanikiwe ni lazima kuwepo na sheria ya kuhakikisha jambo hilo linafanikiwa. Bila ya sheria, jambo hilo haliwezi kufika popote. Baadhi watalifanyia...
Naomba kujulishwa hili
Ni Rais wa nchi gani aliehudhuria msiba wa hayati mwinyi kwa ukanda huu
Km hawakuhudhuria je ile dhana ya miaka ya 90 mwanzon na 80 mwishoni ilikuwa ni kweli kuhusu mwinyi?
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni anatarajia kuwasili Zanzibar kwa ajili ya Maziko ya rafiki yake Hayati Mwinyi. Ikumbukwe Museveni na Mwinyi walipata madaraka ya Rais miaka ya 1985/86 Ila mmoja...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi amerejea Zanzibar baada ya kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan...
Habari zenu wana JF wenzangu. Ama baada ya salamu, ningependa nijielekeze kwenye mada husika. Ndugu zangu watanzania, baba yetu wa Taifa mwl Julius K Nyerere aliiongoza nchi yetu kwa muda wa...
WANANCHI na Viongozi mbalimbali wanaendelea kujitokeza kwa wingi katika hafla ya Mazishi, Dua na Sala ya mwisho kumwombea Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Hayati Mzee Ali Hassan Mwinyi katika uwanja...
Alipojiuzulu uwaziri wa mambo ya ndani ya nchi mwaka 83 kama sijakosea nafasi yake aliteuliwa mzee mmoja kutoka Zanzibar anaitwa mzee Natepe kushika Uwaziri wa Mambo ya ndani ya nchi.
Natepe...
Mimi nafikiri maendeleo hayaletwi na chama au serikali bali na wananchi wenyewe kwa kufanya kazi kwa bidii na kwa kulipa kodi na kwa kuchagua viongozi sahihi ambao siyo mafisadi bali wacha mungu...
Ni kuhusu umoja wa kitaifa katika Matukio kama haya ya kitaifa.
Niliona limetokea kwa Lowassa nature ikalirekebisha ila nashangaa tena kwa Mwinyi limejitokeza tena.
Naona Mama anapambana sana...
Bongo : Ukichagua upinzani hatuleti maendeleo. Ila kodi kila Mtanzania anakatwa bila kuulizwa chama chake.
Nje Kiongozi akifanya kosa dogo tu huomba msamaha na ikiwezekana kuachia nafasi haraka.
Katika karne hii Huwa nasikia wanasiasa na viongozi wa serikali wakizungumzia ujenzi wa "matundu" ya vyoo katika shule kama mojawapo ya mafanikio yao nashangaa sana!
Matundu ya vyoo mara nyingi...
Mwenyekiti wa Vijana CCM (UVCCM), Kata ya Bwilingu (Chalinze-round about) Ndugu Abdul Nasa ameendelea kukitumia vibaya cheo cha baba yake (Diwani Kata ya Bwilingu Jimbo la Chalinze).
Inadaiwa...
Tarehe 25 November 2023 Niliandika barua kwenda kwa wafadhili wa serikali ya Tanzania wakiwemo USA, bunge la Ulaya na wengine nikilalamikia ufadhili wao kuuwa demokrasia na mfumo wa utoaji haki...
Baada ya kuzindua kitabu chake Jioni ya leo Rais Samia amesema anamshukuru Mungu kwa kumpa Mwinyi miaka 96 na sasa anamwombea afike 100
Pia amesema anaona Mzee Mwinyi akipata shida ya kupanda...
Baadhi ya hospital binafsi zimeshaweka matangazo kama yanavyosomeka hapo juu
Nini sulihisho la hili?tiririka ili serikali ipate madini na kuyafanyia kazi inawezekana kabisa hawajui nini cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.